Iran inaenda kuanguka na huenda baba wa Taifa hilo yakamkuta ya Sadam Hussein

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918...
Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran.
Iran bwana Ameruka mkojo amekanyaga kinyesi akaruka mkaa wa moto akakanyaga vumbi la moto sasa haamini kinacho tokea ndani ya Taifa lake tena watu ambao wapo nyuma ya anguko la serikali ni wanawake... Hapana chezea Vyombo vya usalama vya Magharibi. Kiufupi Iran serikali imesha vurugikiwa na huwezi amini haya ni mpaka majasusi wakupe siri za ndani .
Kwa miaka mingi sana tangu kuanguka kwa serikali ya Iran ilio kuwa na mrengo wa Magharibi Taifa kubwa na lenye miguvu duniani halijalala. Wakipanga kwa kujumlisha na kutoa na kila aina ya complex mathematic kuhakikisha siku moja Khayatola analipa fidia Yani kama yalio mkuta Sadam Hussein na jamaa yake Ghadafi yes. Ulipuwaji wao wa ndege ya shirika la UK if sio Marekani kuliwauma sana mataifa ya Magharibi na kama ilivyo ktk chata yao ya special team "We do bad thing to Bad people" wamekuwa wakiishi na kuitekeleza kwa gharama kubwa.
Na wamefanikiwa tangu September 11 vita Marekani alio iyanzisha haija acha tawala dhalimu salama wameangusha serikali moja baada ya nyingine na wamejibu kwa dam kwa niaba ya watu wao. Kama ulipanga, uliruhusu magaidi ndani ya Taifa lako kupata access na kula Raha while Wakipanga mabaya kwa nchi za mgaharibi au ulipongeza kwakusikika ama kwa siri CIA under very special elite team hakuna atakaye Baki salama. Yes.
Ktk speech ya Rais wa wakati ule George W Bush alitaka tawala dhalimu namimi nita zinukuu. Ipo Korea aka kiduku, ipo Iran, ipo Iraq, Sudan, Libya nk
Mpaka sasa list wamesha angusha serikali nne bado mbili wapumzike. Hizi mbili serikali akili nyingi ina hitajika. Nje ya hapo ni hata kwa usalama wa Dunia.
Baada ya majaribio kadhaa at last majasusi wa Marekani na Washirika wake wanakaribia kuangusha serikali ya Khayatola ktk mpango ambao Dunia itabaki mdomo wazi while China na Russia wakiwa ktk kiza kinene ndani ya idara zao ikumbukwe wakati haya yakiendelea Dunia itapigwa butwaa kusikia Rais wa Taifa fulani lenye miguvu ya kiuchumi kulala usingizini.
Nitaendelea
 
Jamaa unatupiga kamba sana.
 
Nafikiri unaongozwa zaidi na mahaba kuliko uhalisia, unaamini vyombo vya kijasusi vya nchi za kimagharibi ni bora sana kuliko vyombo vya kijasusi vya nchi nyingine.!!!!!!!!!!! Futa dhana hii kwani ni potofu!!!!!!!!!!

Nb 1: Mbinu za ujasusi nyingi kama siyo zote hufanana duniani kote!!!!!!!

Nb 2: Kanuni za kijasusi hufanana na hutofautiana kidogo sana duniani kote!!!!!!!!!!!!!!

Nb 3: Njia za kuwapata majasusi hazitofautiani sana duniani kote!!!!!!!!!!!!!!

Nb 4: Teknolojia huwatofautisha majasusi duniani kote lakini ni kwa kiasi kidogo sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni mtazamo wangu!!!!!!!!!
 
IRAN INAKUJA KUWA NA MWISHO MBAYA SANA HILO LIPO WAZI
KUNA WATU WANAIENDESHA DUNIA, WENGINE NA HAO WAVAA KOBAZI NI KAMA WAROPOKAJI TU, HAWANA LOLOTE

PIA KUNA MSHENZI MMOJA ANAITWA PUTOUT ALISEMA RUSSIA AKIONDOLEWA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA, BASI HALITAFANYIKA🤣🤣🤣
WATU WAKAMTOA RUSSIA NA AKAKAA KIMYA🤣🤣🤣
 
Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918...
Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran.
Iran bwana Ameruka mkojo amekanyaga kinyesi akaruka mkaa wa moto akakanyaga vumbi la moto sasa haamini kinacho tokea ndani ya Taifa lake tena watu ambao wapo nyuma ya anguko la serikali ni wanawake... Hapana chezea Vyombo vya usalama vya Magharibi. Kiufupi Iran serikali imesha vurugikiwa na huwezi amini haya ni mpaka majasusi wakupe siri za ndani .
Kwa miaka mingi sana tangu kuanguka kwa serikali ya Iran ilio kuwa na mrengo wa Magharibi Taifa kubwa na lenye miguvu duniani halijalala. Wakipanga kwa kujumlisha na kutoa na kila aina ya complex mathematic kuhakikisha siku moja Khayatola analipa fidia Yani kama yalio mkuta Sadam Hussein na jamaa yake Ghadafi yes. Ulipuwaji wao wa ndege ya shirika la UK if sio Marekani kuliwauma sana mataifa ya Magharibi na kama ilivyo ktk chata yao ya special team "We do bad thing to Bad people" wamekuwa wakiishi na kuitekeleza kwa gharama kubwa.
Na wamefanikiwa tangu September 11 vita Marekani alio iyanzisha haija acha tawala dhalimu salama wameangusha serikali moja baada ya nyingine na wamejibu kwa dam kwa niaba ya watu wao. Kama ulipanga, uliruhusu magaidi ndani ya Taifa lako kupata access na kula Raha while Wakipanga mabaya kwa nchi za mgaharibi au ulipongeza kwakusikika ama kwa siri CIA under very special elite team hakuna atakaye Baki salama. Yes.
Ktk speech ya Rais wa wakati ule George W Bush alitaka tawala dhalimu namimi nita zinukuu. Ipo Korea aka kiduku, ipo Iran, ipo Iraq, Sudan, Libya nk
Mpaka sasa list wamesha angusha serikali nne bado mbili wapumzike. Hizi mbili serikali akili nyingi ina hitajika. Nje ya hapo ni hata kwa usalama wa Dunia.
Baada ya majaribio kadhaa at last majasusi wa Marekani na Washirika wake wanakaribia kuangusha serikali ya Khayatola ktk mpango ambao Dunia itabaki mdomo wazi while China na Russia wakiwa ktk kiza kinene ndani ya idara zao ikumbukwe wakati haya yakiendelea Dunia itapigwa butwaa kusikia Rais wa Taifa fulani lenye miguvu ya kiuchumi kulala usingizini.
Nitaendelea
Ayatola ataenda uhamishoni Kama maji yatamsidia..

Watu wa intelligence na wakuu wa vyombo wakiona Mambo yatakuwa uncontrollable basi hiyo ndio option but itakuja at high cost..

Japo Cha kushangaza hakipo maana hiyo Ni historia ya Irqnians.

Kusema Western intelligences ndio zimeweza huo Ni uongo wa mchana,hiyo Ni boldness ya Iranians.

Moyo Kama huonkutojea Africa Ni nadra sana..
 
Iran haianguki kamwe

Ova
Iran haiwez kuanguka sababu ni taifa lenye nguvu kijeshi duniani, hakuna nchi itakayoweza kuingia moja kwa moja eti tunawasaidia raia Kama walivyofanya kule Libya hakuna hiko kitu .nadhani yuhu anaandika ushabiki tu haijui vizuri Iran. Hivi nchi gani unaweza kuthubutu kuingiza ndege za kivita Iran iwasaidie waandamanaji si kichekesho hiki .cha zaidi watafanya uchochezi tu kupitia vyombo vya habari na mitandao
 
Iran will never fall again.
Iran kuangukia utaendelea kuskia Jambo hili bombani. Maandamano Ni Jambo la kawaida kwao Wala si kitu kipya kwao. 2008, 2012, na hata 2018 ilikuwa miaka yenye maandamano mazito zaidi. Iran ya leo si ile ya 1979 Iran ya leo imeendelea kujitokeza wazi kwenye uga wa kimataifa kijeshi, kijamii, kisayansi na hata kiuchumi .
Katika 1979 Iran haikua ikitengeneza magari ya kiraia, ya kijeshi , madawa, silaha Wala vibiriti. Iran ya leo inatengeneza drone hatari, ATGM, assault riffles, madawa na wanasayansi mamia kwa mamia kwenye teknolojia mbalimbali.
Uchumi wao pia si mbovu wa kutisha licha ya vikwazo Iran imeibuka yenye uchumi was kipekee unaohimili vikwazo vya kila namna.
Nb.
Wairan Ni wababe ile mbaya kijeshi . Hawana time ya kukenuka meno na US. Jino kwa jino Ni system ya majibizano. Bila shaka US ikifika ishu ya Iran solution Ni mazungumzo na sio Vita .

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Haka kajamaa hua kakujaga na ngojera za ajabu sana, kalisema West watamuua Putin ndani ya mda mfupi. Mpaka leo putin anadunda, wanasahau kua Russia ndio baba wa intelligence, sababu hawana kelele za media na Hollywood basi watu wanawachukulia poa sana.
Huyu jamaaa ndio aliyempa taarifa Putin kwamba watakuua, ndio Putin akawa anajipikia mwenyewe na analala kwy mapango ya uko karibia na Kyrgyzstan
 
Back
Top Bottom