Iran inaenda kuanguka na huenda baba wa Taifa hilo yakamkuta ya Sadam Hussein

Iran inaenda kuanguka na huenda baba wa Taifa hilo yakamkuta ya Sadam Hussein

Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918...
Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran.
Iran bwana Ameruka mkojo amekanyaga kinyesi akaruka mkaa wa moto akakanyaga vumbi la moto sasa haamini kinacho tokea ndani ya Taifa lake tena watu ambao wapo nyuma ya anguko la serikali ni wanawake... Hapana chezea Vyombo vya usalama vya Magharibi. Kiufupi Iran serikali imesha vurugikiwa na huwezi amini haya ni mpaka majasusi wakupe siri za ndani .
Kwa miaka mingi sana tangu kuanguka kwa serikali ya Iran ilio kuwa na mrengo wa Magharibi Taifa kubwa na lenye miguvu duniani halijalala. Wakipanga kwa kujumlisha na kutoa na kila aina ya complex mathematic kuhakikisha siku moja Khayatola analipa fidia Yani kama yalio mkuta Sadam Hussein na jamaa yake Ghadafi yes. Ulipuwaji wao wa ndege ya shirika la UK if sio Marekani kuliwauma sana mataifa ya Magharibi na kama ilivyo ktk chata yao ya special team "We do bad thing to Bad people" wamekuwa wakiishi na kuitekeleza kwa gharama kubwa.
Na wamefanikiwa tangu September 11 vita Marekani alio iyanzisha haija acha tawala dhalimu salama wameangusha serikali moja baada ya nyingine na wamejibu kwa dam kwa niaba ya watu wao. Kama ulipanga, uliruhusu magaidi ndani ya Taifa lako kupata access na kula Raha while Wakipanga mabaya kwa nchi za mgaharibi au ulipongeza kwakusikika ama kwa siri CIA under very special elite team hakuna atakaye Baki salama. Yes.
Ktk speech ya Rais wa wakati ule George W Bush alitaka tawala dhalimu namimi nita zinukuu. Ipo Korea aka kiduku, ipo Iran, ipo Iraq, Sudan, Libya nk
Mpaka sasa list wamesha angusha serikali nne bado mbili wapumzike. Hizi mbili serikali akili nyingi ina hitajika. Nje ya hapo ni hata kwa usalama wa Dunia.
Baada ya majaribio kadhaa at last majasusi wa Marekani na Washirika wake wanakaribia kuangusha serikali ya Khayatola ktk mpango ambao Dunia itabaki mdomo wazi while China na Russia wakiwa ktk kiza kinene ndani ya idara zao ikumbukwe wakati haya yakiendelea Dunia itapigwa butwaa kusikia Rais wa Taifa fulani lenye miguvu ya kiuchumi kulala usingizini.
Nitaendelea
IRAN itabaki imara .
Kama Bush na Netanyau walishindwa,ndo ataweza huyu sleepy joe[emoji42][emoji42] dementia striken ill looked[emoji855][emoji855] old zombie [emoji15][emoji3518]
 
Iran ni waajemi nguvu za utawala wana asili nazo tangia enzi hizo za Parsian Empire.kuwaangusha sio kwa maandamano ya wasichana wanaoandamana huku wakinyoosha vidole viwili juu.
 
Mzee hapo sikuungi mkono kabisaaa...
Venezuela pale ambapo chance ilikuwa kubwa, wameshindwa, sembuse Iran ambako kuna masuala ya udini ndani yake...hamna kitu...
 
Wewe jamaa unaichukulia Iran kama Koromije
Screenshot_20221124-082911.png
 
Back
Top Bottom