Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Ndio mnadanganyana kwy vikicheni partyWanawake wanaweza sisi huku tu ndio tunajifanyaga kuwazarau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mnadanganyana kwy vikicheni partyWanawake wanaweza sisi huku tu ndio tunajifanyaga kuwazarau.
Lete Cha kwako ambacho kweli tupitieAnachokifanya mleta mada nikuandika concispirancy theory nyingi halafu moja ikitiki anaonekana mtaalamu wa utabiri kitu ambacho hata mwanangu Bryan anaweza fanya akaonekana mtaalamu
Binafs nakuona Kama JACK OF ALL TRADES BUT MASTER OF NONE
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Pamoja na hayo yote ......nyumba ya ayatollah imechomwa Moto SASA ayatollah anaishi jeshini......maana ulaiani watu wata mchoma mshikakiIran will never fall again.
Iran kuangukia utaendelea kuskia Jambo hili bombani. Maandamano Ni Jambo la kawaida kwao Wala si kitu kipya kwao. 2008, 2012, na hata 2018 ilikuwa miaka yenye maandamano mazito zaidi. Iran ya leo si ile ya 1979 Iran ya leo imeendelea kujitokeza wazi kwenye uga wa kimataifa kijeshi, kijamii, kisayansi na hata kiuchumi .
Katika 1979 Iran haikua ikitengeneza magari ya kiraia, ya kijeshi , madawa, silaha Wala vibiriti. Iran ya leo inatengeneza drone hatari, ATGM, assault riffles, madawa na wanasayansi mamia kwa mamia kwenye teknolojia mbalimbali.
Uchumi wao pia si mbovu wa kutisha licha ya vikwazo Iran imeibuka yenye uchumi was kipekee unaohimili vikwazo vya kila namna.
Nb.
Wairan Ni wababe ile mbaya kijeshi . Hawana time ya kukenuka meno na US. Jino kwa jino Ni system ya majibizano. Bila shaka US ikifika ishu ya Iran solution Ni mazungumzo na sio Vita .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kawaida hiyo mbona. Tena huko Iran inaelekea Kuna demokrasia kubwa Sana.Pamoja na hayo yote ......nyumba ya ayatollah imechomwa Moto SASA ayatollah anaishi jeshini......maana ulaiani watu wata mchoma mshikaki
Hata kapito hill watu walitaka kuipiga kiberiti [emoji16][emoji16][emoji16]Pamoja na hayo yote ......nyumba ya ayatollah imechomwa Moto SASA ayatollah anaishi jeshini......maana ulaiani watu wata mchoma mshikaki
Wanaume wengi ni wezi na wapigaji.au unabisha?Ndio mnadanganyana kwy vikicheni party
Kwasababu wanawake wengi hawajazipata hizo fursa ndio maanaWanaume wengi ni wezi na wapigaji.au unabisha?
Demokrasia Marekani????marekan hayupo kuangusha Dini ya mtu. yeye yupo kutetea demokrasia na kufukuza magaidi basi.
bepari2020 ilo neno chini ya uandishi wko lina maana gani mbna unatengeneza chuki zisizo na maan ingali ktk taifa tunaishi vyemaSerikali za kidini kuanguka siyo rahisi na hata zikianguka zitarudi tena madarakani. Angalia Taliban kule Afghanistan. America iliwaangusha, wakachapana miaka 20 na leo wamerudi tena madarakani. Usichezee dini wewe.
Mbinu iliyopo sasa na destroy them from within..muda utaongea ngoja tuone..hakuna taifa au ufalme mkubwa kuwahi kutokea kama ottoman na roman wako wapi leo hii.Iran haiwez kuanguka sababu ni taifa lenye nguvu kijeshi duniani, hakuna nchi itakayoweza kuingia moja kwa moja eti tunawasaidia raia Kama walivyofanya kule Libya hakuna hiko kitu .nadhani yuhu anaandika ushabiki tu haijui vizuri Iran. Hivi nchi gani unaweza kuthubutu kuingiza ndege za kivita Iran iwasaidie waandamanaji si kichekesho hiki .cha zaidi watafanya uchochezi tu kupitia vyombo vya habari na mitandao
Iran wataisikia kwenye bomba tofauti na wanavyoisomaIran haiwez kuanguka sababu ni taifa lenye nguvu kijeshi duniani, hakuna nchi itakayoweza kuingia moja kwa moja eti tunawasaidia raia Kama walivyofanya kule Libya hakuna hiko kitu .nadhani yuhu anaandika ushabiki tu haijui vizuri Iran. Hivi nchi gani unaweza kuthubutu kuingiza ndege za kivita Iran iwasaidie waandamanaji si kichekesho hiki .cha zaidi watafanya uchochezi tu kupitia vyombo vya habari na mitandao
Hii kauli au haya maneno unayarudia rudia sana.Dunia itapigwa butwaa kusikia Rais wa Taifa fulani lenye miguvu ya kiuchumi kulala usingizini.
Hiyo iliyochomwa sio ya huyu kiongozi wa sasa(Khamenei) ni ya yule mwasisi (Khomeini) ambayo ni museumPamoja na hayo yote ......nyumba ya ayatollah imechomwa Moto SASA ayatollah anaishi jeshini......maana ulaiani watu wata mchoma mshikaki
Jamaa unatupiga kamba sana.
civil wars haitegemei ubora wa jeshi lako bali ubora wa intelligence yako maana unapigana na raia wako huenda wadhamin wakawa ndan ya serikaliIran haiwez kuanguka sababu ni taifa lenye nguvu kijeshi duniani, hakuna nchi itakayoweza kuingia moja kwa moja eti tunawasaidia raia Kama walivyofanya kule Libya hakuna hiko kitu .nadhani yuhu anaandika ushabiki tu haijui vizuri Iran. Hivi nchi gani unaweza kuthubutu kuingiza ndege za kivita Iran iwasaidie waandamanaji si kichekesho hiki .cha zaidi watafanya uchochezi tu kupitia vyombo vya habari na mitandao
Hiyo kweli ila mfano uliotolewa wa Syria ndio ulisababisha niandike hivyo sababu wamagharibi walitumia mbinu hiyo Libya wakataka kutumia Syria na Venezuela ,wanaanza Raia wao mwishoni wanakuja kumalizia kwa mgongo wa UN .ndio maana nikamwambia kwa IRAN hiyo mbinu ya kitoto kutokana na uwezo wake wa kijeshi utakapoingiza ndege yeye anaweza kupiga kwako popote kwa makombora huwezi fananisha IRAN na Syriacivil wars haitegemei ubora wa jeshi lako bali ubora wa intelligence yako maana unapigana na raia wako huenda wadhamin wakawa ndan ya serikali
Kwahyo imewauma sana Iran kuangusha ndege Yao ya abiria Hila wao walivyoangusha ndege ya abiria ya iran ilikuwa poa tuDunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918...
Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran.
Iran bwana Ameruka mkojo amekanyaga kinyesi akaruka mkaa wa moto akakanyaga vumbi la moto sasa haamini kinacho tokea ndani ya Taifa lake tena watu ambao wapo nyuma ya anguko la serikali ni wanawake... Hapana chezea Vyombo vya usalama vya Magharibi. Kiufupi Iran serikali imesha vurugikiwa na huwezi amini haya ni mpaka majasusi wakupe siri za ndani .
Kwa miaka mingi sana tangu kuanguka kwa serikali ya Iran ilio kuwa na mrengo wa Magharibi Taifa kubwa na lenye miguvu duniani halijalala. Wakipanga kwa kujumlisha na kutoa na kila aina ya complex mathematic kuhakikisha siku moja Khayatola analipa fidia Yani kama yalio mkuta Sadam Hussein na jamaa yake Ghadafi yes. Ulipuwaji wao wa ndege ya shirika la UK if sio Marekani kuliwauma sana mataifa ya Magharibi na kama ilivyo ktk chata yao ya special team "We do bad thing to Bad people" wamekuwa wakiishi na kuitekeleza kwa gharama kubwa.
Na wamefanikiwa tangu September 11 vita Marekani alio iyanzisha haija acha tawala dhalimu salama wameangusha serikali moja baada ya nyingine na wamejibu kwa dam kwa niaba ya watu wao. Kama ulipanga, uliruhusu magaidi ndani ya Taifa lako kupata access na kula Raha while Wakipanga mabaya kwa nchi za mgaharibi au ulipongeza kwakusikika ama kwa siri CIA under very special elite team hakuna atakaye Baki salama. Yes.
Ktk speech ya Rais wa wakati ule George W Bush alitaka tawala dhalimu namimi nita zinukuu. Ipo Korea aka kiduku, ipo Iran, ipo Iraq, Sudan, Libya nk
Mpaka sasa list wamesha angusha serikali nne bado mbili wapumzike. Hizi mbili serikali akili nyingi ina hitajika. Nje ya hapo ni hata kwa usalama wa Dunia.
Baada ya majaribio kadhaa at last majasusi wa Marekani na Washirika wake wanakaribia kuangusha serikali ya Khayatola ktk mpango ambao Dunia itabaki mdomo wazi while China na Russia wakiwa ktk kiza kinene ndani ya idara zao ikumbukwe wakati haya yakiendelea Dunia itapigwa butwaa kusikia Rais wa Taifa fulani lenye miguvu ya kiuchumi kulala usingizini.
Nitaendelea
siku hz hakuna wa kuja nchini mwako mbali na wakufunz wa kijeshi tuHiyo kweli ila mfano uliotolewa wa Syria ndio ulisababisha niandike hivyo sababu wamagharibi walitumia mbinu hiyo Libya wakataka kutumia Syria na Venezuela ,wanaanza Raia wao mwishoni wanakuja kumalizia kwa mgongo wa UN .ndio maana nikamwambia kwa IRAN hiyo mbinu ya kitoto kutokana na uwezo wake wa kijeshi utakapoingiza ndege yeye anaweza kupiga kwako popote kwa makombora huwezi fananisha IRAN na Syria