Iran inakosa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi wanaiogopa Israel

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science.

Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
 
Israel ni taifa teule lazima waogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…