Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

Idhaa ya Al Arabiya inaripoti: Israel itaishambulia Iran ndani ya saa 7 iwapo mazungumzo kati ya Iran na Marekani yatashindwa.
Gaza imeshambuliwa sasa ni miaka miwili inakaribia na vita bado haijaisha !
Sijui ikishambuliwa Iran Vita itachukua miaka mingapi ? 😳🙄
😄😅😂 Ngoja Tusubiri tuone !
Tumechoka hata kuzisikia hizi habari za Vita 😳 !
 
Huwezi kulinganisha kipigo wanachopigwa magaidi wa Gaza na atakachopigwa Iran hiyo miaka ni yako wewe tu. Gaza inachukua muda mrefu kwa sababu huko Gaza kuna Mateka wao huko ndiyo maana wanachukua tahadhali kubwa wasidhuru raia na mateka wao lakini kwa ujinga wako wewe unafikiri Israel wameshindwa.

Nimekusikia unasema umechoka kusikia habari za Vita!!!!!
JF wanakupenda sana. wewe unachotakiwa ni kuchagua jukwaa unalolipenda la Mapishi uendelee huko huku utuachie sisi wazee wa shoka!!
 
Hakuna wa kushambulia IRAN mark my word.
Kama ulikuwa hujui Iran Ali pigwa na Israel na askari wake kuuwawa na alipojaribu kulipiza kisasi kwa kutumia Operation The Promise-2 ambako alivurumisha makombola 400 na Makombola 200 yalipopolewa na 200 mengine yaliangukia sehemu za wazi najua kabisa ulivyo mjinga na mpumbavu huyajui hayo!!!

View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=61
 
Attachments

  • IMG_3176.jpeg
    IMG_3176.jpeg
    136.1 KB · Views: 27
Kama ulikuwa hujui Iran Ali pigwa na Israel na askari wake kuuwawa na alipojaribu kulipiza kisasi kwa kutumia Operation The Promise-2 ambako alivurumisha makombola 400 na Makombola 200 yalipopolewa na 200 mengine yaliangukia sehemu za wazi najua kabisa ulivyo mjinga na mpumbavu huyajui hayo!!!

View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=61

Sasa unanipa ushahidi wa twitter, hivi wewe jamaa ni mzima kweli, akili yote unaimaliziaga chooni sio.
 
Nevatim AirBase ambayo ndipo nyumbani kwa F-35 za Israel ni eneo la wazi huko Namtumbo kwenu si ndiyo, acha kubishana na maneno makavu leta ushahidi hapa, sio unakuja na hoja za kwenye vituo vya boda hapa.
Leta ushahidi acha kuzuga kijana.
IMG_20250607_155219.jpg

IMG_20250607_155141.jpg

Nenda tena kajipange mdogo wangu, huna hoja acha kuichosha miguu kwa kichwa kikubwa kisicho na akili hata mija.
 
Idhaa ya Al Arabiya inaripoti: Israel itaishambulia Iran ndani ya saa 7 iwapo mazungumzo kati ya Iran na Marekani yatashindwa.
Ushashiba migebuka na Eid yote hiii sasa umeanza kuota mchana kwepe!!!!!!

ISRAEL hiii wapo hoiiiii apo Gaza kila siku wanazika vijana wao!!!

kwasasa itangaze Vita na IRAN ata walokole wenzio watakaa mbali naww awatokuunga mkono!!!!!!!
 
Icho chombo ni Propaganda ya Saudia akuna kitu pale!!!!!
 
Kama ulikuwa hujui Iran Ali pigwa na Israel na askari wake kuuwawa na alipojaribu kulipiza kisasi kwa kutumia Operation The Promise-2 ambako alivurumisha makombola 400 na Makombola 200 yalipopolewa na 200 mengine yaliangukia sehemu za wazi najua kabisa ulivyo mjinga na mpumbavu huyajui hayo!!!

View: https://x.com/phareselisha1/status/1849085645848818061?s=61

View: https://x.com/phareselisha1/status/1843207931766227422?s=61

Weka video tuone Iran ikipigwa wacha mapambio yako!!!????

ukitaka kujua Ukweli kwann akuna video Iran ikipigwa mbona zipo za kina SADAM wakipigwa vip ya Iran ikiitwanga iyo Israel !!

sasa ikwapi ya Iran ikipigwa !!????

akuna video zaid ya tupicha picha cha Studio!!!!!!!
 
Gaza imeshambuliwa sasa ni miaka miwili inakaribia na vita bado haijaisha !
Sijui ikishambuliwa Iran Vita itachukua miaka mingapi ? 😳🙄
😄😅😂 Ngoja Tusubiri tuone !
Tumechoka hata kuzisikia hizi habari za Vita 😳 !
Israel huwa inashambulia kuteketeza vituo vya nyuklia vya Iran. Huwa haina lengo jingine lolote. Na hiyo huwa ni kazi ya siku moja tu. Na Iran nayo itjibu kwa siku moja tu kwa kurusha makombora ambayo karibia yote yatadunguliwa. Na vita itaishia hapo. Israel itateketeza kile inachodai ni hatari kwa usalama wake, na Iran itajibu kwa nia ya kuonesha tu kuwa siyo mnyonge.
 
🤣
 
Back
Top Bottom