Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

Acha kupeleka kauli za kina ndugulike na mchengerwa kimataifa. Huku zinahitajika akili kubwa si akili mnemba
Nipe facts yoyote ambayo Israel in Recent Years ame anza yeye kumshambulia Iran katika ardhi yake, Elewa hapo ameanza yeye kumshambulia Iran, Ndo utajua hilo bichwa lako ni Mzigo kwa miguu tu haliku saidii chochote.
 
Gaza imeshambuliwa sasa ni miaka miwili inakaribia na vita bado haijaisha !
Sijui ikishambuliwa Iran Vita itachukua miaka mingapi ? 😳🙄
😄😅😂 Ngoja Tusubiri tuone !
Tumechoka hata kuzisikia hizi habari za Vita 😳 !
Israel hana uwezo huo kabisa alikua anamtegemea USA 🇺🇸 na Trump hawezi kuingia kwenye vita yeye anaenda zake China kwenye deal za biashara
 
Israel huwa inashambulia kuteketeza vituo vya nyuklia vya Iran. Huwa haina lengo jingine lolote. Na hiyo huwa ni kazi ya siku moja tu. Na Iran nayo itjibu kwa siku moja tu kwa kurusha makombora ambayo karibia yote yatadunguliwa. Na vita itaishia hapo. Israel itateketeza kile inachodai ni hatari kwa usalama wake, na Iran itajibu kwa nia ya kuonesha tu kuwa siyo mnyonge.
Israel level zake ni Wanamgambo bila USA Israel hata M23 kunaweza kuchimbika
 
Trump alisema Netanyahu hawezi kuishambulia Iran bila ruhusa yake.
 
Nipe facts yoyote ambayo Israel in Recent Years ame anza yeye kumshambulia Iran katika ardhi yake, Elewa hapo ameanza yeye kumshambulia Iran, Ndo utajua hilo bichwa lako ni Mzigo kwa miguu tu haliku saidii chochote.
Tayang'ora oree mchabhani
 
Back
Top Bottom