Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

Acha kupeleka kauli za kina ndugulike na mchengerwa kimataifa. Huku zinahitajika akili kubwa si akili mnemba
Nipe facts yoyote ambayo Israel in Recent Years ame anza yeye kumshambulia Iran katika ardhi yake, Elewa hapo ameanza yeye kumshambulia Iran, Ndo utajua hilo bichwa lako ni Mzigo kwa miguu tu haliku saidii chochote.
 
Israel hana uwezo huo kabisa alikua anamtegemea USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ na Trump hawezi kuingia kwenye vita yeye anaenda zake China kwenye deal za biashara
 
Israel level zake ni Wanamgambo bila USA Israel hata M23 kunaweza kuchimbika
 
Trump alisema Netanyahu hawezi kuishambulia Iran bila ruhusa yake.
 
Nipe facts yoyote ambayo Israel in Recent Years ame anza yeye kumshambulia Iran katika ardhi yake, Elewa hapo ameanza yeye kumshambulia Iran, Ndo utajua hilo bichwa lako ni Mzigo kwa miguu tu haliku saidii chochote.
Tayang'ora oree mchabhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…