Zimejeruhi mtoto tena kidogo, huenda sasa anacheza na wenzieZime hit target au zote zimekuwa intercepted
Mkuu madhara yali kuwepo.Atleast Iran imetimiza Ahadi yake hata kama matokeo ni madogo lakini tumeona.
Sasa kete inayosubiriwa ni Israel asukume tuone mchezo utachezwaje
Yako wapi MkuuMkuu madhara yali kuwepo.
mnashigilia ujinga? mafuta yakipanda bei mwezi ujao mrudi humu pia kushangiliamafuta kupanda bei,Atleast Iran imetimiza Ahadi yake hata kama matokeo ni madogo lakini tumeona.
Sasa kete inayosubiriwa ni Israel asukume tuone mchezo utachezwaje
Nawaona mnavyo jifariji.Zimejeruhi mtoto tena kidogo, huenda sasa anacheza na wenzie
Unakuchaa nenda milembe siyo bure Iran kateketeza maeneo muhimu vituo vya nishati vituo vya kijeshi,pia Drone zina kwenda 180+/mph halafu unasema zinaanguka hiyo iliyoanguka Jordan ilitunguliwa na US Navy wenye base hapo! Au wewe unasikiliza vyombo vya kidiniKinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka njiani kwa kuishiwa chaji!
Kwa alichokifanya Israel cha kushambulia ubalozi na kuua makamanda wa Iran kwenye ugomvi ni sawa na umepigwa kofi la usoni na ukaishia kumsukuma au kumkunja tu shati aliyekuzabua kofi. Aliyesukumwa ndio ataamua huu ugomvi utaendeleaje au utaishaje. Ngoja tusubiri majibu yake.
Basi ibishie na AzamYako wapi Mkuu
JUST IN: Israeli military releases video showing F-35 fighter jet landing at Nevatim base after Iran claimed to have caused significant damage to it.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779386924815561102?t=tCqdNwJNWymquPLn_jLRaw&s=19
Ni zaidi ya vifo vya makamandaGharama iliyotumika kuzuia hizo drones ni zaidi ya adhabu
Mkuu madhara yali kuwepo.
mnashigilia ujinga? mafuta yakipanda bei mwezi ujao mrudi humu pia kushangiliamafuta kupanda bei,
Lawama kwa mamamnashigilia ujinga? mafuta yakipanda bei mwezi ujao mrudi humu pia kushangiliamafuta kupanda bei,
Bro kwenye ulinzi kuna kitu wanaita strategic detterence nguvu kubwa inatumika kufanya adui yako asiwaze kukurushia chochote au kukushambulia sasa leo hii hocho isarel hanaKinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka njiani kwa kuishiwa chaji!
Kwa alichokifanya Israel cha kushambulia ubalozi na kuua makamanda wa Iran kwenye ugomvi ni sawa na umepigwa kofi la usoni na ukaishia kumsukuma au kumkunja tu shati aliyekuzabua kofi. Aliyesukumwa ndio ataamua huu ugomvi utaendeleaje au utaishaje. Ngoja tusubiri majibu yake.