permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Israel atumie hii nafasi kupiga vile vinu, sijui kwa nini hakuacha baadhi ya makombora yalete uharibifu ili iwe kigezo cha kufanya hivyo.Mpaka Sasa kwenye huu mtanange Israel inaongoza moja bila dhidi ya Iran. 99% ya drones na makombora toka Iran yamedunduliwa. Iran imepata green light kushambulia Iran especially vinu vya nyuklia 🤔