BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,151
- 2,162
Sio makombora zaidi ya 300..Drone tu zilikua takriban 200 na sio makombora.. cruise missile zilikua chache na Ballistic missiles... Israel ashukuru US,UK,France na Jordan maana hao ndo wamefanya kazi kubwa ku intercept hizo coming threat from Iran tena wamezidungulia Irak,Syria na Jordan lakin bado kadhaa zilipenya na nyingine Israel mwenyewe ndo alizidungua lakin bado chache zimefika...Imagine kwann US japo kafukuzwa Irak lakin kagoma kutoka? Kwann US kajiingiza Syria na ana military base km 3 ivi na kasimika airdefence system zake lengo ni kumlinda Israel... Iran akiendelea kurusha hizi kamikaze 100 alafu akatusha na cruise missile chache unadhan US,UK au Jordan wataendelea ku intercept? Maana current inventories yake inaendelea kupukutika kwa vidude vya bei rahisi...Nimekuuliza kwann Russia aliomba msaada kwa Iran kwa ivi vikamikaze nadhan ndo vilibadirisha upepo uko Ukraine ni bei chee usipo ki intercept kinakuumiza ukii intercept kwa missile kinakupa hasara maana madude km Iskender yakija yanakuta airdefence zako ziko tupu hivo yatapiga...ndo kinachoendelea uko Ukraine ..Russia alishambulia atapelekea Kamikaze za Iran 40 na Cruise au ballistic missile ata 10 tu utasikia Ukraine akisema imedungua kamikaze 38 mbili zimefikia lengo uku missile zikifanya yake....Leo Israel ashukuru US,UK,France na kibaraka wao Jordan la sivyo badam bangemwagika leoMwenye uelewa mkubwa,naomba nikuulize.Iran hajapata hasara kurusha makombora zaidi ya 300 halafu yaliyohit target ni 7?