stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Kati mashambuili 300 only 7 Ndio yame anguka kwenye uwanja wa ndegeZime hit target au zote zimekuwa intercepted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati mashambuili 300 only 7 Ndio yame anguka kwenye uwanja wa ndegeZime hit target au zote zimekuwa intercepted
Uelewa wako bado ni mdogo sana..Kinachoitwa shambulizi la Iran kwa Israel jana ni kelele kubwa tu za majidai na usumbufu ambazo hazikuleta chochote cha maana. Unashambulia nchi iliyo umbali wa KM 2300 kwa kutuma drones ambazo zinakatiza anga za nchi nyingine kadhaa kwa masaa na karibia zote kuishia kutunguliwa au kuanguka njiani kwa kuishiwa chaji!
Kwa alichokifanya Israel cha kushambulia ubalozi na kuua makamanda wa Iran kwenye ugomvi ni sawa na umepigwa kofi la usoni na ukaishia kumsukuma au kumkunja tu shati aliyekuzabua kofi. Aliyesukumwa ndio ataamua huu ugomvi utaendeleaje au utaishaje. Ngoja tusubiri majibu yake.
Acheni kutoa hoja dhaifu.Bro kwenye ulinzi kuna kitu wanaita strategic detterence nguvu kubwa inatumika kufanya adui yako asiwaze kukurushia chochote au kukushambulia sasa leo hii hocho isarel hana
Namba mbili tbe entire middle east usa centcom was activated kuisaidia hio israel usa jana one night tu kaspend almost 1billion usd dhidi ya cheap drone na pia kwa wairan hii imekuwa kama drill na kustudy activation ya hayo maairdefense yaliyomzunguka ili siku za mbeleni anajua what to do nayo tatu ni kuonyesha uwezo na kuiobomoa kisaikolojia israel kwenye ile inaitwa psycho warfare wananchi wamekimbilia kuishi kwenye mahandaki na ktk historia ya israel imeandikwa jana usiku iran iliishambulia israel wakati wa Benjamin Netanyahu full stop, na kumbuka hii sio surprise attack taarifa zilikuwa zinajulikana iran ata attack na kwa nature ya shambulizi na aina ya silaha unaona kabisa hazikuwa na lengo la kuibamiza kisawa sawa israel ila wameshajua kuwa siku wakidhamiria kutibamiza kisawasawa inawezekana na muiran kumbe anaweza wamejionea last night.
Yako wapi Mkuu
JUST IN: Israeli military releases video showing F-35 fighter jet landing at Nevatim base after Iran claimed to have caused significant damage to it.
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1779386924815561102?t=tCqdNwJNWymquPLn_jLRaw&s=19
Upo dunia ya wapi?Unakuchaa nenda milembe siyo bure Iran kateketeza maeneo muhimu vituo vya nishati vituo vya kijeshi,pia Drone zina kwenda 180+/mph halafu unasema zinaanguka hiyo iliyoanguka Jordan ilitunguliwa na US Navy wenye base hapo! Au wewe unasikiliza vyombo vya kidini
Video ya FebruaryEndelea kukaza fuvu kupigwa wamepigwa wewe ukubali ukatae
Mwenye uelewa mkubwa,naomba nikuulize.Iran hajapata hasara kurusha makombora zaidi ya 300 halafu yaliyohit target ni 7?Uelewa wako bado ni mdogo sana..
Drone zinaanza kwanza ili ku saturate airdefence system za mpinzani wako alafu nyuma yanakuja makombora au ballistic missile....wakati wewe unajarib ku intercept cheap kamikaze drone kumbuka unakua unamaliza makombora yako yanayotumika kudungua hizo kamikaze drone... Russia ilianza kuishiwa makombora na Ukraine alianza kupata nguvu lakini Russia alivoanza kutumika kamikaze za drone nadhan km una akili timamu ukisikia kelele za Wakubwa wa Dunia waliokua wanamsaidia Ukraine...Kamikaze drone za Iran ni cheap mf $1200 ila interceptor missile $120,000 kwa moja je huoni ni hasara kiasi gani utapata??? Na leo Israel ishukuru maana US,UK,Jordan na France wame intercept drone na Missile nyingi apo Irak,Syria na Jordan lakin bado kuna air base inayo host F-35 imepigwa....Imagine US na wahirika wake wasingefanga kitu leo Israel na kujam GPS lakin bado vitu vimefika....US anajua kabisa Israel hawez inatercept kwa magnitude ya drone zote na cruise missile na ballistic maana Iron dome, Arrow, david sting haziwez kwa magnitude hiyo
Balck america
Utashangaa mara mlipo mkubwa watokea Iran na kuua watu 100Mpaka Sasa kwenye huu mtanange Israel inaongoza moja bila dhidi ya Iran. 99% ya drones na makombora toka Iran yamedunduliwa. Iran imepata green light kushambulia Iran especially vinu vya nyukliaUta
Hiyo history ni ile uliyofundishwa na Mwl. Mama Nyamhanga au uliandikia thesis?Kwa tuliosoma history ya WW1 na WW2 tunaona kabisa kila dalili ipo ya kuchapana hapa. World War 3 inanukia
Zime hit target au zote zimekuwa intercepted
Wanasema huko ardhi ya Iraq na Jordan kumetapakaa scrapers za vidroni vya Iran all over!Acheni kutoa hoja dhaifu.
300 attacks bila Air defense nzuri unadhani Madhara gani yangetokea?
It is the very demonstration on how to defend against Iranians Drones and missiles attacks.
Hizo Drones zimewasumbua Ukraine kwa sababu hawana lines of defenses so wanajikuta few air defenses zinabidi zichagua Kati ya drones au cruise missiles.
But how Israel did, they downed then outside their country and let air defenses batteries attack large targets
Waisrael mwenyewe hiyo jana wameonyeshwa wakiendelea na maisha yao kama kawaidaEndeleeni kujitekenya tu. Sisi tulichoona ni Iran kurusha mabomu moja kwa moja ndani ya Israel, wala hajavizia. Hiki ni kitu ambacho Pro US mlikuwa mnasema Iran hawezi kukifanya!
Pia nadhani USA ana mchango mkubwa sana kwenye kuzuia makombora na drones zilizotumwa, bila hivyo nadhani ingekuwa habari nyingine saa hii.
Pia hizi tambo ni Muisrael koko tu anaweza kuzifanya, ninaamini Waisrael waliopo Israel saa hii hawana amani kabisa na wala hawataki kuona hii kitu ikijirudia tena!
Subirini kidogo mtaanza kuandamana baada ya swala ya ijumaaNawaona mnavyo jifariji.
Wauze scaps hizo hahaWanasema huko ardhi ya Iraq na Jordan kumetapakaa scrapers za vidroni vya Iran all over!
Si unajua mwamba hakoseagi?Atleast Iran imetimiza Ahadi yake hata kama matokeo ni madogo lakini tumeona.
Sasa kete inayosubiriwa ni Israel asukume tuone mchezo utachezwaje