sio rahisi hivyo bosiNukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan):
Aprili 12, 2026 asubuhi na mapema.
Kuhusu Msimamo wa Iran:
"Tumekaa nao usiku kucha, tukiwapa nafasi ya wazi ya kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo. Lakini viongozi wa Iran wamechagua njia nyingine. Wamechagua kutokubali masharti yetu ambayo yalikuwa na lengo la kuifanya dunia kuwa salama."
Kuhusu Masharti ya Marekani:
"Rais Trump alikuwa wazi tangu mwanzo: Marekani haitakubali makubaliano yoyote yanayoiacha Iran na uwezo wa kutishia majirani zake au kuzuia biashara ya dunia kupitia Hormuz. Hatutoi ahadi za amani kwa maneno matupu, tunataka vitendo."
Onyo la Baadaye:
"Wamepoteza nafasi adhimu ya kidiplomasia. Sasa, hatua zinazofuata zitategemea uamuzi wa Rais Trump na uwezo wa jeshi letu kulinda maslahi ya Marekani na washirika wetu."
Mambo 3 Muhimu Aliyoyagusia (Point of Analysis):
1. Hakuna Pesa: Vance amesisitiza kuwa kwa vile wamekataa masharti, suala la kuachia zile Tsh trilioni 15.5 ($6B) zilizoko Qatar limefutwa rasmi kwenye meza.
2. Muda wa Trump: Ameweka wazi kuwa "uvumilivu wa Marekani una kikomo," akirejea ile kauli ya Trump ya kutoa wiki mbili pekee za kusitisha mapigano.
3. Hormuz: Amethibitisha kuwa Marekani haitasubiri ruhusa ya Iran kuendelea na operesheni za kusafisha Mlango-bahari wa Hormuz.
Usanii tuKiunabii Marekani atashindwa hii vita na dola ya Marekani itaanguka na kuinuka kwa vita ya Hermageddon..k
vita inafuata SCRIPT YA UNABII.
View: https://www.youtube.com/live/cJEJHKoC-vc?is=axeu-akCqNQlLZEG
Hawa jamaa huwa wanajaribu kuvutia wasikilizaji ila ukweli wake huwa ni mdogo kuliko uwongoKiunabii Marekani atashindwa hii vita na dola ya Marekani itaanguka na kuinuka kwa vita ya Hermageddon..k
vita inafuata SCRIPT YA UNABII.
View: https://www.youtube.com/live/cJEJHKoC-vc?is=axeu-akCqNQlLZEG
Nini maana ya ugaidi??Nini chanzo cha ugaidi??Iran hataki amani, ndio kwanza anaunda vikundi vya ugaidi kule Lebanon
Mwenye chuki na waislamu wenzake ni Iran ndo maana anashambulia Hadi Kwa Mtume Saudi ArabiaMtu mwenye chuki zaidi na waislam na uislam,,, na bado jitihada zako zimepiga hatu 0
Tupe unabii wake iliotimia kwanzaKiunabii Marekani atashindwa hii vita na dola ya Marekani itaanguka na kuinuka kwa vita ya Hermageddon..k
vita inafuata SCRIPT YA UNABII.
View: https://www.youtube.com/live/cJEJHKoC-vc?is=axeu-akCqNQlLZEG
Umeongea Nini sasaBinafsi nipo upande wa irani, na iran hadi kufikia sasa hajaangushwa binafsi nahesabu ameshinda vita hata kama atashindwa. Nionavyo irani itachakazwa vibaya ila marekani hatakaa aishi kwa amani tena, waislam wale wana kisasi cha maisha na marekani
Itrump anaendeshwa na mlitanyahu kama remote. Mwaka huu kaingia choo cha kikr. Wakiristo wa jf mtaingia wazimu kwa kushika propaganda za wazinguNukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan):