Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwan walilazmishwa kuishi IRAN si waliamua wenyeweSasa kwa nini hatuwaoni waislam wa Africa wakimiminika kutaka kuishi Iran? Badala yake wote mnapakataa, mnataka kuishi Ulaya na Marekani!!
Kama hamuwataki warudisheni
Sent using Jamii Forums mobile app