Mkuu wewe shida yako ipo kwa waarabu tu., katika uislamu haijaandikwa mahali popote kwamba waarabu watakuwa ni watu na waislamu wasafi 100% kwa sababu Mitume ilitokea middle east, hiyo ni theory yako tu unayolishwa, Nabii Ibrahim alimkuta baba yake anaabudu sanamu kama huko kwenu walivyo wakiristo na nchi nyengine. Maasi popote watu wanafanya, dini ya kiislamu si ya waarabu ni ya watu wote ulimwenguni.
Tunasema bangi imetapakaa ulimwengu mzima watu mbali mbali wanapiga, Lakini tunaipongeza Iran kwa kuweka sheria kali zaidi kwa watu wenye viashiria vya kupelekea kupiga bangi na mambo mengine