Iran kucheza dance hadharani ni jela miaka 10

Iran kucheza dance hadharani ni jela miaka 10

Unaona sasa Mpemba huyu, nani aliyekuambia nina matatizo na waarab? Mpemba rudi shule tafadhali na ujifunze kuelewa nini kinazungumzwa kabla ya kujibu hoja.
Kila mara unakuja na hoja warabu wanapiga bangi waarab wana nyegee zaid umejisahau wewe na mimi
 
Sasa drone zinahusika vipi na uhuru wa wananchi wa Tehran@Upepo wa pesa!!!Homiez they supposed to have fun"""I mean street parties,ndio maana ya maisha coz we live once!!!Ndio maana nikasema maisha ni magumu up there coz homiez they need to have fun as their ruler,s who enjoy life as leader,s!!!
Acha umbea ww uwasemehe Kama nani ...uhuru tulio nao mbona hatujafika popote ...izo nchi hazitaki upumbavu ... masuala ya homies homies Ni ugasho watu wanapiga kazi na sala .viuno kakate chumbani..
 
mashi yao ni magumu lakini nchi yao aombi chumvi kwa mzungu kila kitu wanafanya wao barabala shule madawa hosptal silaha madege vifaru nk wewe unachza dansi adharani unawazidi nn? mabo mengine twe na haya kuyaweka waz
Sasa kwa nini hatuwaoni waislam wa Africa wakimiminika kutaka kuishi Iran? Badala yake wote mnapakataa, mnataka kuishi Ulaya na Marekani!!
 
Kila mara unakuja na hoja warabu wanapiga bangi waarab wana nyegee zaid umejisahau wewe na mimi
Angalia takiwimu kisha rudi hapa. Wale wanawake wako deprived
Kila mara unakuja na hoja warabu wanapiga bangi waarab wana nyegee zaid umejisahau wewe na mimi
Mkuu, nchi za kiarab na hapa kwetu Afrika kuna Somalia na Djibouti wanawake zao wako sexually deprived na ndiyo maana wana nyege kichizi.
 
Mziki sio basic needs kaka, mbona mgumu kuelewa? binadamu anaweza kuishi bila ya mziki wala sio tatizo, jambo lako sio la kila mtu
Ila kwa iran unatumika kisiasa zaidi!!!My homiez walipata tabu sana kufanya hip pop ya kiajemi pale tehran!!!Almost wote walikimbilia UAE
 
Angalia takiwimu kisha rudi hapa. Wale wanawake wako deprived

Mkuu, nchi za kiarab na hapa kwetu Afrika kuna Somalia na Djibouti wanawake zao wako sexually deprived na ndiyo maana wana nyege kichizi.
Usisahau na maurtania na north sudan na maeneo ya north chad na north mali na morroco na niger na kuna nchi nyingine sio za kiarabu ila wanawake wapo sexually deprived kama Central Africa na Congo zote Kinshansa na Brazzaville na Nigeria to mention few
 
Sasa kwa nini hatuwaoni waislam wa Africa wakimiminika kutaka kuishi Iran? Badala yake wote mnapakataa, mnataka kuishi Ulaya na Marekani!!
Iran kuna maisha magumu sana ndugu yangu 25000q haelewi!!!!Nchi zote za waarabu ndio wananchi wake wanaongoza kukimbila ufaransa!!!!
 
Acha umbea ww uwasemehe Kama nani ...uhuru tulio nao mbona hatujafika popote ...izo nchi hazitaki upumbavu ... masuala ya homies homies Ni ugasho watu wanapiga kazi na sala .viuno kakate chumbani..
Kaka iran wanapiga kazi?????Ushawahi kufika tehran ukaona kazi wanazopiga zaidi ya kupanga foleni kwenye ubalozi wa ufaransa na kuhusu UGASHO ukifika tehran siku moja utauelewa kama upo au haupo pale!!!Kweli mimi naweza kua mumbea kaka🤣🤣Maana wale mamufti na mahayatollah wanakula bata na masuria wao na vijakazi na kucheza bel dance za kiajemi na western music ila kwa wananchi wa kawaida hairuhusiwi jela miaka kumi!!Unajua hilo kaka????
 
Acha umbea ww uwasemehe Kama nani ...uhuru tulio nao mbona hatujafika popote ...izo nchi hazitaki upumbavu ... masuala ya homies homies Ni ugasho watu wanapiga kazi na sala .viuno kakate chumbani..
Afu kuhusu sala ni kwamba revolution guards wanawalazimisha watu na wale wapambe wa Ayatollah wanajiita polisi wa maadili ya kiislamu (arab naziation) na sio maadili ya kiajemi!!!!The same to kabul,,,the same to somalia kwa yale maeneo wanayoyashikilia al shabab!!!!Kakae na vijana wa kiajemi hapo tehran au bandar abass ndio utaelewa mitazamo yao kuhusu dini!!!!
 
North korea mwizi kama mwizi mwingne nilisoma mahali miaka 1970 aliagiza gari 1000 kutoka kampuni ya volvo sweden gari zilifika pyong yang zikapokelewa mpaka leo sweden(volvo) hajalipwa manunuzi ya yale magari na deni lipo
Kama walifanya hv safi sana wanaakili kubwa wanafaa kuigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom