Iran kucheza dance hadharani ni jela miaka 10

mashi yao ni magumu lakini nchi yao aombi chumvi kwa mzungu kila kitu wanafanya wao barabala shule madawa hosptal silaha madege vifaru nk wewe unachza dansi adharani unawazidi nn? mabo mengine twe na haya kuyaweka waz
Ni jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.
 
Upo sahii kaka kwa mtazamo wa imani yako!!!Lakini kwa mtazamo wa sisi OG,s ni tofauti na wako kaka!!
 
Ni jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.
Kwa tarifa yako, hakuna nchi zilizo na wanawake malaya kama nchi za kiarab. Kule kubanwa kwao kufanya vitu kwa uhuru kunawapa nyege sana wanawake wao, na ni waarab ndiyo wanaaongoza kutizama sinema za ngono duniani wakimuiga Haji Manara. Msipende kukariri tu vitu jamani, tembeeni muone dunia na mjifunze.
 
Ebu twende taratibu kaka Haji manara kafanyaje?????
 
Ni jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.
Kila mtu dini yake anaiona nzuri sana upo sahii kaka!!!Lakini mimi uzi wangu hauzungumzii dini kaka bali unazungumzia uhuru binafsi wa wananchi
 
Kwa tarifa yako, hakuna nchi zilizo na wanawake malaya kama nchi za kiarab. Kule kubanwa kwao kufanya vitu kwa uhuru kunawapa nyege sana wanawake wao, na ni waarab ndiyo wanaaongoza kutizama sinema za ngono duniani wakimuiga Haji Manara. Msipende kukariri tu vitu jamani, tembeeni muone dunia na mjifunze.
Wewe badala ya kulia na watengenezaji wa filamu za ngono, una walalamikia waangaliaji, bila wao kupewa uhuru wa kucheza filamu za utupu bila shaka kundi la waangaliaji lingekuwa halipo
 
Nyege tunaita ni hisia za kimapenz ambazo mwanadamu yoyote ulimwenguni mwanamke au mwanamke aliyekamilika lazima atakuwa nazo na sio waarabu tu na ndio maana uislamu umeamrisha ndoa ili kukidhi hayo na kuwa na familia iliyosalama,

Hoja hapa tunasema ni kuondoa viashiria vya umalaya lakini kuwa na taifa madhubuti lisilo na vijana legelege kwa kutipuka tipuka tu mara umekunywa pombe mara bangi mara hivi mara vile.,
 
Kaka waangaliaji ndio wanaosababisha products ziendelee kutoka!!!Huwezi kuwalaumu wazalishaji pekee ukasahau wapokeaji!!!Wote wapo mkondo mmoja kaka!!!Au nakosea???
 
Sasa ndugu ukicheza mziki wa aina yoyote ile include kaswida au bel dance unakua legelege????
 
Kaka waangaliaji ndio wanaosababisha products ziendelee kutoka!!!Huwezi kuwalaumu wazalishaji pekee ukasahau wapokeaji!!!Wote wapo mkondo mmoja kaka!!!Au nakosea???
Sasa bila watengenezaji hawa waangaliaji watu angalia nini? bila bidhaa kuwepo hakuna atakae angaika, ila ikiwepo watu watakula, kwahiyo mzizi wa tatizo ni wale wanao leta bidhaa sokoni
 
Nyege tunaita ni hisia za kimapenz ambazo mwanadamu yoyote ulimwenguni mwanamke au mwanamke aliyekamilika lazima atakuwa nazo na sio waarabu tu na ndio maana uislamu umeamrisha ndoa ili kukidhi hayo na kuwa na familia iliyosalama,

Hoja hapa tunasema ni kuondoa viashiria vya umalaya lakini kuwa na taifa madhubuti lisilo na vijana legelege kwa kutipuka tipuka tu mara umekunywa pombe mara bangi mara hivi mara vile.,
Hivi unajuwa kuwa kuna waarab wengi sana wapigaji bangi na wabwia unga....unayo hiyo tarifa? Pombe hawanywi ila wanapiga sana bangi kama hawana akili.
 
Dah!... those were the days..
Man don't remind me those days late 1980,s and 1990,s!!Mara beach party na zanaki sekondari,mara beach party na jangwani au tambaza au forodhani au na mabishoo wa UDSM au IFM na Mc wa tamasha ni taji liundi au khaleed mohamed (TID) na wengine wengi siwezi kuwataja wote hapa!!!!!!!!Tungekua Tehran tungeshindwa maisha kaka
 
Back
Top Bottom