Iran kutumia njia ya anga kupelekea silaha kwa magaidi ya Hezbollah, njia ya ardhini kupitia Syria imedhibitiwa na Israel baada ya kuangushwa Asad

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah

Mazungumzo mazito yanaendelea muda huu huko tehran

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Monday,

December 23, 2024
Report: Iran eyeing air corridor to Hezbollah in place of Syria land route
Today, 9:07 am
12
Iran is considering establishing an air corridor to Lebanon by which to resupply the Hezbollah terror group, after losing its land route through Syria with the fall of Bashar al-Assad’s regime, The Times reports.

The paper notes that this would be in breach of Israel’s ceasefire agreement with Hezbollah.

An unidentified regional source tells the paper that discussions on the matter are taking place in Tehran. The source says Western nations are “concerned that Iran has lost [Damascus as] its go-to airport in the region for smuggling weapons and is now trying to turn Beirut airport into its new logistics hub, just as they did in Syria.”

They add that such action “could lead to the next escalation.”

Israel has said it will enforce the terms of the ceasefire in Lebanon by force where necessary. It has intercepted cargo flights from Iran to Lebanon that it believed were carrying arms for Hezbollah, forcing them to turn around.
 
Njia ya anga ndio nzuri sababu mzigo unafika kwa wakati
 
unafikiri kwa ni i toka mwanzo hawakutumi anga.. ukiona hivyo waliweka kwenye mzani wakaona njia ya anga ni risk Ni kubwa au gharama ni kubwa

Ukumbuke hawasafirishi silaha chache na zaina moja wanasafirisha tons of tons za amunation, missile and weapons so Njia ya Ardhi na maji ni rahis kuficha mali kwa kuigawa kwenye magari na meli tofauti na mizigo ikasafiri kwa route tofauti.. kwa anga unakuwa limited maana huwezi kuchanganya silaha na abiria.. ni lazima iwe dedicated cargo Flight which means ni rahsi baada ya mda flan Israel kuhack manifesto ya ndege hizo au kusoma mchezo wa route nzima then baada ya hapo wote tunajua israel atafanya nini ikiwa amezidaka info za route hizo

Kama hizo news bi za kweli nantayar zimefika kwa raia wa kawaida kama sie fikiria western na israel wanajua vingapi
 
Wametumia anga mara kibao tu,hata kuwadi mmoja wa israel alidai airport beirut kuna mlango maalum wa kupita hizbullah na silaha zao
 
Yes wametumia lakini volume kubwa ilikuwa inapita ardhini usafiri wa anga ni gharama kwa bidhaa yoyote ndo mana ukileta kitu kwa anga na meli bei ni tofauti
 
unafikiri kwa ni i toka mwanzo hawakutumi anga.. ukiona hivyo waliweka kwenye mzani wakaona njia ya anga ni risk Ni kubwa au gharama ni kubwa

Ukumbuke hawasafirishi silaha chache na zaina moja wanasafirisha tons of tons za amunation, missile and weapons so Njia ya Ardhi na maji ni rahis kuficha mali kwa kuigawa kwenye magari na meli tofauti na mizigo ikasafiri kwa route tofauti.. kwa anga unakuwa limited maana huwezi kuchanganya silaha na abiria.. ni lazima iwe dedicated cargo Flight which means ni rahsi baada ya mda flan Israel kuhack manifesto ya ndege hizo au kusoma mchezo wa route nzima then baada ya hapo wote tunajua israel atafanya nini ikiwa amezidaka info za route hizo

Kama hizo news bi za kweli nantayar zimefika kwa raia wa kawaida kama sie fikiria western na israel wanajua vingapi
Halafu kupata loss ya gari lililobeba mzigo kama huo ni bora kuliko kulipuliwa ndege yenye mzigo kama huo.
 
Yes wametumia lakini volume kubwa ilikuwa inapita ardhini usafiri wa anga ni gharama kwa bidhaa yoyote ndo mana ukileta kitu kwa anga na meli bei ni tofauti
Hawapeleki kuuza,ni kubadili store tu,Iran ina mafuta
 
Back
Top Bottom