Iran kutumia njia ya anga kupelekea silaha kwa magaidi ya Hezbollah, njia ya ardhini kupitia Syria imedhibitiwa na Israel baada ya kuangushwa Asad

Kama Irani mwanaume aache kuzungusha Siraha apige Moja kwa Moja kutoka kwa aache kuwaponza watoto wa wenzie promise lll IPO wapi,Kiko wapi Kiko wapi🤣
Inasuburiwa Israel ijichanganye tena kufanya ule upuuzi na mazoea ya kuingia Iran na kuua wansayansi na askari wake...

Uone kama Iran haitojibu.
 
Hawapeleki kuuza,ni kubadili store tu,Iran ina mafuta

Haha kaka kwani hata ukiwa na gari yako unampeleka mwanao shule
Asubuh hiyo sio Gharama.

Anyway kuwa na mafuta sio issue hebu tafuta wasaa pitia newz za dunia kidg uone inavyoenda, hivi una habar wiki iliopita wa iran wameandamana kutokana na uhaba wa mafuta. Plus shida ya umeme

Iran wana mafuta ardhini ila
Wana struggle kuongeza capacity ya kuyachimba na kusafisha maana vifaa vya kizaman wanatumia Toka enz za miaka sabini na hata hicho kias kdg wanachochimba wana export kwa bei ya kutupa kwa sababu wanauza kwenye soko la pili (black market)

Kumbuka wana vikwazo kwa hiyo mafuta yao wanauzia nchi chache ambazo zina uwezo wa kuvimbiana na US (hapa ni china na India) hii inamaanisha nini inamanisha hao wanunuzi ndo wanajipangia bei wananunua mafuta iran hadi kwa 20% -30% discount kutoka bei ya soko la
Dunia na cha ajabu mnunuzi
Mkubwa wa bulk wa mafuta ya iran ni china nananunua 90% ya mafuta ya iran sasa fikiria anunue kwa 30% less Kulinganisha na bei ya soko la Dunia hiyo ni loss ya kiasi gan

China anajua Iran hana option maana hawez kuuza mafuta kwa nchi kama TZ sababu TZ itashukiwa na wenye dunia yao ndo maana china anampangia bei anayotaka

So iran ana struggle na bahat mbaya watawala Kina ayatolah wao pesa hata hiyo kdg wanayopata wanaipeleka kwenye kutengeneza silaha hawanunui hata mashine za kuongeza uzalishaji wa umeme wako obsessed na Israel mno

Yaan nje ya Jeshi wao wamekeweza kdg kwingine we fikiria had ndege ya kubeba rais ni ya miaka Ya sabini
 
Inasuburiwa Israel ijichanganye tena kufanya ule upuuzi na mazoea ya kuingia Iran na kuua wansayansi na askari wake...

Uone kama Iran haitojibu.
Wameshapigwa juzi hapa rada zao nyang'anyan'ga na askari kibao wamekufa halafu unaleta hadithi za Alf lela ulela,waliahidi kulipiza Kwa promise lll lkn ahadi Yao imekuwa ya moto walipewa vitu vzito sana😥
 
Anga siyo rahisi kihivyo. Kitendo cha Assad tu kuondolewa pale Syria kimepelekea mipango na usaidizi wa Russia kwa zile nchi za Central Sahel kuingia dosari na huenda akashindwa kuendelea kuzisaidia zile nchi. Sababu Kambi yake ya Syria ndiyo ilikuwa ikiendesha zile operations pale central sahel. Sasa imeshakuwa ngumu sababu kufanya yote hayo kwa njia ya anga ni ngumu
 
Wameshapigwa juzi hapa rada zao nyang'anyan'ga na askari kibao wamekufa halafu unaleta hadithi za Alf lela ulela,waliahidi kulipiza Kwa promise lll lkn ahadi Yao imekuwa ya moto walipewa vitu vzito sana😥
Story za vijiweni ...
Unafikri Israel inaweza kuzuia makombora ya Iran?

Israel inaogopa kufanya uchokozi kwa sababu anga lao lipo wazi. .
 
Apige Moja kwa moja,anafahamu alicho kipata baada promise ll,hii ya tatu anatetemeka kuirudia🤣🤣
Alishapiga mara mbili, netanyahu na waisrael feki wenzie wakalala shimoni kama panya, sasa hivi mambo yameingiliana na bila shaka kaahidiwa kuondolewa vikwazo kama promise 2 ilivyokua,pakitulia na ahadi isitekelezwe, promise 3 utaiona,vile vimondo vya Iran vizuri bana
 

Habari zako unatoa wapi!?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-12-23-16-18-33-953.jpg
    343.1 KB · Views: 2
Huna akili Iran ni kati ya taifa linalo zalisha umeme mwingi hapa duniani.

Iran inazalisha zaidi ya megawatt 150,000 wakati nchi yako megawatt 2000 tu ni za kuangaikia ,Iran ni pili kwa secta pana ya kiviwanda hapo Mashariki ya kati baada ya Uturuki.
Bajeti ya kijeshi ya Iran ni ndogo ukilinganisha na mataifa mengine hapo Mashariki ya kati.
 
Ondoa uongo wako we siyo msemaji wa Irani Ayatollah alituahidi promise lll wewe nani ulete porojo,kwa taarifa Yako kipigo alichokipata baada ya promise ll ndo kimepelekea kigugumizi ya promise lll

Raia wa Israel wote wanamfunzo ya kijeshi ndo maana wakisikia bomu linakuja wanaingia Shelta,Sasa wavaa vilemba wakisikiaa bomu linakuja wanaanza kuangalia juu ndo maana wanakufa wengi😥
 
Story za vijiweni ...
Unafikri Israel inaweza kuzuia makombora ya Iran?

Israel inaogopa kufanya uchokozi kwa sababu anga lao lipo wazi. .
Israeli wameshaichokoza Iran mpaka Ayatollah akaahidi promise lll. Lakini kuitekeleza imekuwa yamoto sababu ya kipigo alichopata baada ya promise ll
 
Israeli wameshaichokoza Iran mpaka Ayatollah akaahidi promise lll. Lakini kuitekeleza imekuwa yamoto sababu ya kipigo alichopata baada ya promise ll
Kipigo gani hiko?
Israel hawezi rudia ujinga, sasa hivi anasubiriwa tu aingie Iran kama alivyozoea afanye ujinga wake uone kitakachotokea...

Israel inaelewa inapambana na adui ambaye ana silaha kuingia anga lake muda wowote, hataki huo ugomvi ...

Aendelee kupambana na Hamas ...
 
Hebu onesha kipigo kilivyokua mi nikuoneshe kipigo cha promise 2, kuingia shelta unahitaji kuwa askari?..kuna ubongo walau kidogo humo kichwani mwako?
 
Hebu onesha kipigo kilivyokua mi nikuoneshe kipigo cha promise 2, kuingia shelta unahitaji kuwa askari?..kuna ubongo walau kidogo humo kichwani mwako?
Haya matusi ni ishara kuwa umeelwa naona unatapatapa
 
Inasuburiwa Israel ijichanganye tena kufanya ule upuuzi na mazoea ya kuingia Iran na kuua wansayansi na askari wake...

Uone kama Iran haitojibu.
Usiwajibu wa bongo maana wao wamekula yamini si umeona iran amembonda mtu live Mpaka dunia ikastaajabu galati israeli ilivyojibu kikao kichekesho Ila media za west zikaapewa kazi ya kuimb ushindi wa Israeli Ambao huwez kuonyesha ashen yoyote
 
Haya matusi ni ishara kuwa umeelwa naona unatapatapa
Tusi liko wapi!?..'raia wote askari ndiyo maana makombora yakirushwa hukimbilia kwenye shelta'..hii ni kauli inayoakisi fikra jadidi?.. unahitaji kuwa askari Ili kukimbilia kwenye shelta!?
 
Yan Iran amechezewa mchezo...mpk Sasa hiv kaficha jike cz anajua dume ni nani ako nalo...ndo maana baada ya sijui shambolio la wayahud alitaka kuja na sijui phase 3 kuilipua Israel...ila akajasanuka kuwa ametegwa...mpka Leo Yuko kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…