Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao.
Nasemaje nasemaje nasemaje Israel piga hayo magaidi ya dini.

Wayahudi wana historia ya kushinda vita hata kabla hiyo dini haijabuniwa.
_-----------++-----

Iran will rebuild its nuclear facilities if they are destroyed, the country’s President Masoud Pezeshkian says, according to state media.

“It is not the case that if they destroy our facilities with bombs, everything will be lost — these capabilities exist in our minds, and therefore, whatever they do, we will rebuild again,” Pezeshkian says.

Kuna machawa ila wa kwako, loooh!

Offside ya wazi isiyohitaji VAR.
 
Sasa kashawapiga chenga ya mwili kafungua kituo Cha kisasa 6th generation unknown location underground
**************************************
⚛️❌🇮🇷🗣The Islamic Republic of Iran responded to the IAEA discussion by:

- Opening a new enrichment site in a secure location.

- Iran replaced its first-generation IR-1 centrifuges at its underground Fordow plant with advanced sixth-generstion IR-6 machines, which are much more efficient and quicker at enriching uranium.

Iran also threatens other responses, which will be revealed later.

⚜️@TheSimurgh313
 
Hata asemeje kipigo kinamhusu!!
 
Imewahi kusoma comments za aliyekuwa mkuu wa IAEA kuhusu vitu vya nyuklia vya Iran.

" Nimefika mara kadhaa kwenye nyuklia Sites za Iran, hakuna boom linaweza kufikia lakini pia fortifications yake ni kubwa sana" Sasa naona Shida wataoanzisha vita kisha wasifikie target Yao.

Ukraine na West walitaka kuharibu ndege vita zote za Russia ili wapate nafasi ya kumtwanga badala yake ilishindikana Sasa hivi Ukraine angalia maana anapelekewa moto wa hatari.

Sasa tusubiri Israel(USA) vs Iran (china na Urusi)
 
Hiv kati ya Israel na Marekani anamtawala mwenzie
Wote wako chini ya mwamvuli mmoja lakini myahudi kamzidi ujanja mmarekani biashara zote kubwa marekani ni za myahudi. Hivyo wao ndio walikula dili na Rothchid taifa la Israel lianzishwe middle east ili kulinda maslah ya wote wa will.
 
Kuna kitu labda naomba mnisaidie wote, both Christians and Islam; vita kati ya Palestine na Israel, or Israel with Hamas, Hezbollah and Houthis, Israel with Iran..., how igeuke kua vita vya kidini? Watu wanahombania ardhi or ukubwa, how do we call that's is a religious war???? 🤔 Utasikia, "Wapalestina or Hamas or Houthis allah atawasaidia, wameifia dini"
Kila nikitafuta connection ya dini, siioni; au labda mimi kipofu au kiziwi? Msaada wenu tafadhari
 
Imewahi kusoma comments za aliyekuwa mkuu wa IAEA kuhusu vitu vya nyuklia vya Iran.

" Nimefika mara kadhaa kwenye nyuklia Sites za Iran, hakuna boom linaweza kufikia lakini pia fortifications yake ni kubwa sana" Sasa naona Shida wataoanzisha vita kisha wasifikie target Yao.

Ukraine na West walitaka kuharibu ndege vita zote za Russia ili wapate nafasi ya kumtwanga badala yake ilishindikana Sasa hivi Ukraine angalia maana anapelekewa moto wa hatari.

Sasa tusubiri Israel(USA) vs Iran (china na Urusi)
Hizo ni ndoto za mwendawazimu!! Unafikiri Israe ni wajinga kama unavyofikiria!!??? Wewe hushangai hata rais wao kasema hata wakiviharibu vinu hivyo watatengeneza vingine Ina maana vinaweza kuharibiwa!!
 
Attachments

  • IMG_3238.jpeg
    IMG_3238.jpeg
    508.2 KB · Views: 25
Hizo ni ndoto za mwendawazimu!! Unafikiri Israe ni wajinga kama unavyofikiria!!??? Wewe hushangai hata rais wao kasema hata wakiviharibu vinu hivyo watatengeneza vingine Ina maana vinaweza kuharibiwa!!
Kwa hata Ukraine na washirika wake waliamini Drone 144 zinatosha kuharibu kabisa strategic bombers zote za Urusi. Matokeo only 9 were damaged and can be repaired out of 84 zilizokuwa targeted.

Sometime Intel information hazipo accurate. Lakini pia Israel haiwezi kuingia kwenye airspace ya Iran for security reasons. Hivyo bas atalazimika kutupa kombora Kwa mbali with less paid load ambalo linaweza kupenetrate heavily into the ground.

Hizi limitation ndio zinafanya kuwa na wasiwasi wa kutofikia malengo Yao.
 
Back
Top Bottom