Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

Kwa hata Ukraine na washirika wake waliamini Drone 144 zinatosha kuharibu kabisa strategic bombers zote za Urusi. Matokeo only 9 were damaged and can be repaired out of 84 zilizokuwa targeted.

Sometime Intel information hazipo accurate. Lakini pia Israel haiwezi kuingia kwenye airspace ya Iran for security reasons. Hivyo bas atalazimika kutupa kombora Kwa mbali with less paid load ambalo linaweza kupenetrate heavily into the ground.

Hizi limitation ndio zinafanya kuwa na wasiwasi wa kutofikia malengo Yao.
Wewe ukijua hilo wayahudi ambao ndiyo plan wanayo wanajua zaidi yako na ndiyo maana waliamua kupitisha mpango huo walishafanya upembuzi yakinifu siku nyingi na sasa wako kwenye utekelezaji tu!!!

Iran lazima apigwe tu pamoja na kwamba rais wao analialia kama mtoto!!!
 
Kuna kitu labda naomba mnisaidie wote, both Christians and Islam; vita kati ya Palestine na Israel, or Israel with Hamas, Hezbollah and Houthis, Israel with Iran..., how igeuke kua vita vya kidini? Watu wanahombania ardhi or ukubwa, how do we call that's is a religious war???? 🤔 Utasikia, "Wapalestina or Hamas or Houthis allah atawasaidia, wameifia dini"
Kila nikitafuta connection ya dini, siioni; au labda mimi kipofu au kiziwi? Msaada wenu tafadhari
Swadakta nenda Google au chatgpt uliza kuhusu Al Aqsa mosque and its connection to Islam then uje tuchambue humu
 
Swadakta nenda Google au chatgpt uliza kuhusu Al Aqsa mosque and its connection to Islam then uje tuchambue humu
Ulipaswa kama unajua umjulishe siyo tena umwambie aende Google!!! Wewe mwelezee then sisi tutakuja kujaziliza nyama!!!
 
Wote wako chini ya mwamvuli mmoja lakini myahudi kamzidi ujanja mmarekani biashara zote kubwa marekani ni za myahudi. Hivyo wao ndio walikula dili na Rothchid taifa la Israel lianzishwe middle east ili kulinda maslah ya wote wa will.
Sio.kweli ukiwa mkweli utakuwa huru.
 
Sio.kweli ukiwa mkweli utakuwa huru.
 
Ulipaswa kama unajua umjulishe siyo tena umwambie aende Google!!! Wewe mwelezee then sisi tutakuja kujaziliza nyama!!!
Hilo suala nimeashalieleza mara kibao humu nikaweka na aya itakua kila siku kurudia tu Sasa
 
Attachments

  • Screenshot_20250529-074153_1.jpg
    Screenshot_20250529-074153_1.jpg
    305.5 KB · Views: 14
Huko ulikoitoa hiyo stor zipo stor nyingi tu zinazozungumziq Muhammad ni muongo sasa sijui na zenyewe tuziqmin?
 
Wewe ukijua hilo wayahudi ambao ndiyo plan wanayo wanajua zaidi yako na ndiyo maana waliamua kupitisha mpango huo walishafanya upembuzi yakinifu siku nyingi na sasa wako kwenye utekelezaji tu!!!

Iran lazima apigwe tu pamoja na kwamba rais wao analialia kama mtoto!!!

View: https://vm.tiktok.com/ZMSyr7R4E/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: https://www.tiktok.com/tiktoklite

Usijiropokee TU sikiliza hiyo makala imetafsiriwa kama unajua lugha nikupe from horse mouth.
 
Huko ulikoitoa hiyo stor zipo stor nyingi tu zinazozungumziq Muhammad ni muongo sasa sijui na zenyewe tuziqmin?
Sijakulazimiasha kuamini lakini hai mabwana ndio mafounder wakuu wa mifumo ya kibenki ya riba, na ndio chanzo kikuu Cha ugomvi na Hitler wajerumani walikuwa wanakatwa riba na wayahudi Kama hawana akili nzuri, Hitler akakomesha huo upumbavu ndio wakaungana na mmarekani baba wa dhulma, ndio chanzo Cha World bank, na fedaral bank Kwa marekani hela zote wanaprint wao, ndio maana siku Moja nikachallange humu taifa lolote la Africa lenye uwezo wa kuepuka madeni Hata Kwa karne ijayo ajitokeze mtu hapa tubet yeyote mwenye akili Africa aje hapa aseme Kama anaweza kutoboa Kwenye huu mfumo,. Gaddafi alifurukuta akafuta madeni kilichomkuta wote tunajua hapa, ba hii ni mpaka nchi zote za Latin Americans,usichokijua ni sawa na usiku wakiza
 
Echolima1
Wewe tuliza komwe the way mnaweza kuifikia program nzima ya muirani labda ifanyike sabotage ya ndani ya Iran kama Ukraine walivyofanya shambulio la kigaidi LA ndani, lakini hakuna nchi yoyote ulimwengu huu wa sasa yenye uwezo wa kushambulia kutokea juu na ikamaliza program za nuclear na missiles Iran haipo, HAIPO!
 
Muirani kawafikia amka we cholima

An electronic attack on broad internet networks and there are reports of interruptions in all cities and there is a disruption in traffic lights in Israel
 
Sadam sio ndio alikodiwa na hao hao US kupambana na mpersia kipindi chamapinduzi ya Iran na alipewa hadi silaha za sumu lakini hamkutoboa Kwa mpersia na hamjawahi kumshinda.
Pole sana dogo. Inaonekana dogo, qewe ni mchanga sana wa historia za kimataifa.

Ngoja nikupe shule kidogo uondokane na ujinga:

Uadui unaoushuhudia kati ya Iran na Israel, usidhane ni uadui wa toka enzi.

Wakati wa vita kagi ya Iran na Iraq, Israel ilikuwa nchi rafiki alitekuwa akitegemewa na Iran. Israel ndiyo ilikuwa inaisaidia silaha Iran.

Israeli support for Iran during the Iran–Iraq war​

Israel supported Iran during the Iran–Iraq War. Israel was one of the main suppliers of military equipment to Iran during the war. Israel also provided military instructors during the war.
 
Asipokuelewa hapo basi huyo hataelewa tena!!!
 
Sioni kama Kuna impact yeyote kwenye shumbulio Hilo na makombora mengi yamekuwa repelled. Tusubiri majibu.
 
Usitake yatokee unayowaza. Unajua 60% ya mafuta yote yamapita Iran so kikinuka huku maisha magumu.

Ila pia post yangu nilisema Israelhawezi kuingiza ndege ndani ya Iran atapiga makombora akiwa mbali na hatoweza kuharibu vinu vya nyuklia kama alivyosema.

Je Kwa picha mjongeo umeona impact? Kama hujaona kama Mimi tuombe Mungu Iran asilipize Kwa force kubwa zaidi ya aliyotumia Israel.
 
Back
Top Bottom