Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao.
Nasemaje nasemaje nasemaje Israel piga hayo magaidi ya dini.
Wayahudi wana historia ya kushinda vita hata kabla hiyo dini haijabuniwa.
_-----------++-----
Iran will rebuild its nuclear facilities if they are destroyed, the country’s President Masoud Pezeshkian says, according to state media.
“It is not the case that if they destroy our facilities with bombs, everything will be lost — these capabilities exist in our minds, and therefore, whatever they do, we will rebuild again,” Pezeshkian says.
waislamu mnavyoongeaga mtafikiri mnashindaga hata kipindi Cha Saddamu yalikuwa makelele hayaIsrael ni chambo TU mpigaji tunajua ni US Sasa wajichanganye pamoja
Sadam sio ndio alikodiwa na hao hao US kupambana na mpersia kipindi chamapinduzi ya Iran na alipewa hadi silaha za sumu lakini hamkutoboa Kwa mpersia na hamjawahi kumshinda.waislamu mnavyoongeaga mtafikiri mnashindaga hata kipindi Cha Saddamu yalikuwa makelele haya
Sadam sio ndio alikodiwa na hao hao US kupambana na mpersia kipindi chamapinduzi ya Iran na alipewa hadi silaha za sumu lakini hamkutoboa Kwa mpersia na hamjawahi kumshinda.
Sasa unatofautishaje teke na mrusha teke?Israel ni chambo TU mpigaji tunajua ni US Sasa wajichanganye pamoja
Safari hii Mtasingizia sana US lakini kichapo lazima mpigwe tu na nawashauli siku ikifika wapeleke marubani wa kike wa wapigwe mpaka mchakae!!!!Israel ni chambo TU mpigaji tunajua ni US Sasa wajichanganye pamoja
Hata asemeje kipigo kinamhusu!!Sasa kashawapiga chenga ya mwili kafungua kituo Cha kisasa 6th generation unknown location underground
**************************************
⚛️❌🇮🇷🗣The Islamic Republic of Iran responded to the IAEA discussion by:
- Opening a new enrichment site in a secure location.
- Iran replaced its first-generation IR-1 centrifuges at its underground Fordow plant with advanced sixth-generstion IR-6 machines, which are much more efficient and quicker at enriching uranium.
Iran also threatens other responses, which will be revealed later.
⚜️@TheSimurgh313
Uzuri Iran yenyewe inamjua adui wake wa kweli ni Marekani na imejiandaa vyema kukabiliana nae. Israel ilishashindwa zamani!.Israel ni chambo TU mpigaji tunajua ni US Sasa wajichanganye pamoja
Hiv kati ya Israel na Marekani anamtawala mwenzieIsrael ni chambo TU mpigaji tunajua ni US Sasa wajichanganye pamoja
Acha visingizio safari hii Iran anatandikwa kipigo cha Mbwa-Kachoka!!Uzuri Iran yenyewe inamjua adui wake wa kweli ni Marekani na imejiandaa vyema kukabiliana nae. Israel ilishashindwa zamani!.
Wote wako chini ya mwamvuli mmoja lakini myahudi kamzidi ujanja mmarekani biashara zote kubwa marekani ni za myahudi. Hivyo wao ndio walikula dili na Rothchid taifa la Israel lianzishwe middle east ili kulinda maslah ya wote wa will.Hiv kati ya Israel na Marekani anamtawala mwenzie
Sio Saddam tu hata Osama, Hezbollah, Houthi,Hamas and the like. UTASIKIA MAREKANI ALICHAPIKA AKAKIMBIA AFGHANISTANwaislamu mnavyoongeaga mtafikiri mnashindaga hata kipindi Cha Saddamu yalikuwa makelele haya
Hizo ni ndoto za mwendawazimu!! Unafikiri Israe ni wajinga kama unavyofikiria!!??? Wewe hushangai hata rais wao kasema hata wakiviharibu vinu hivyo watatengeneza vingine Ina maana vinaweza kuharibiwa!!Imewahi kusoma comments za aliyekuwa mkuu wa IAEA kuhusu vitu vya nyuklia vya Iran.
" Nimefika mara kadhaa kwenye nyuklia Sites za Iran, hakuna boom linaweza kufikia lakini pia fortifications yake ni kubwa sana" Sasa naona Shida wataoanzisha vita kisha wasifikie target Yao.
Ukraine na West walitaka kuharibu ndege vita zote za Russia ili wapate nafasi ya kumtwanga badala yake ilishindikana Sasa hivi Ukraine angalia maana anapelekewa moto wa hatari.
Sasa tusubiri Israel(USA) vs Iran (china na Urusi)
Kwa hata Ukraine na washirika wake waliamini Drone 144 zinatosha kuharibu kabisa strategic bombers zote za Urusi. Matokeo only 9 were damaged and can be repaired out of 84 zilizokuwa targeted.Hizo ni ndoto za mwendawazimu!! Unafikiri Israe ni wajinga kama unavyofikiria!!??? Wewe hushangai hata rais wao kasema hata wakiviharibu vinu hivyo watatengeneza vingine Ina maana vinaweza kuharibiwa!!