Iran kwa unyonge wasema hata wakipigwa bado watajenga tena

I

Naona kamanda wao wa jeshi la wanamapinduzi wa kiislamu la Iran anatoa maneno mazito mazito yasiyofanana na uwezo wa kutenda.
 
Ni wajinga,this time inatakiwa kina Ayatola na Watoto wao ndio wawe kwenye vinu vya nyukilia sio kutanguliza Watoto wa maskini Ili waje kuuwawa
 
Swadakta nenda Google au chatgpt uliza kuhusu Al Aqsa mosque and its connection to Islam then uje tuchambue humu
Kaka, hi si ni topic mpya? Umewaingiza na Alqaeda wakati sio part ya swali langu. Again hata kabla sijaenda google or chartgpt, mambo mengine hata mimi kwa umri wangu I can recall them, I don't need Google or chartgpt; we all knows ugomvi wa Osama Bin Laden na Marekani, chanzo ni dhuruma ya kipesa au malipo ambayo USA/CIA waliifanya kwa Osama, Osama alikua mtu wao, walimu train na kum finance with everything, baada ya kumaliza walichomtuma, hawakumlipa stahili zake na ndio akaanzisha lile kundi lake la Alqaeda ili kumpiga Marekani, baadae akawaongeza Wayahudi kwenye huo ugomvi wake...., hadi hapo Uislam unaingiaje? Yaani dini inaingiaje hapo? How Osama aonekane kama anaipigania dini or how Osama aonekane kama shujaa wa Uislam while alikua anadai malipo yake binafsi yasio na uhusiano na dini? Ndio hapa naomba unijibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…