Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,682
- 39,811
Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini.
Leo kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ayatollah mojtaba ametangaza kuvunja mwiko baba yake na kwamba kwasasa hakuna namna Iran itatengeneza Bomu la nuclear ili kujilinda zaidi na hatarii dhidi ya marekani na Israel.
Kwa mtazamo wangu Iran tayari ana atomic bomb kama hajatengeneza basi kutengeneza ni zaidi ya 2% kukamilisha maana tayari ana virutubisho vya uraniamu ya kutosha kutengeneza Bomu.
Sijajua marekani at respond vipi lakini kwa akili yangu naona hii vita ikichukua mkondo mwengine na hata kwenda mbali zaidi maana marekani na Israel wanapinga ni Iran kuwa na Bomu la nuclear. Tujiandae mtikisiko mkubwa waja.