Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

Mbona Pakistan walitengeneza, kwani mossad haikuwepo? Wala sio lazima watengenezee iran ikitengenezewa Pakistan au China hao mossad wana jeuri ya kuvamia china?
Hawana madhara Kwa Israel
Ulishasikia wakitishia kuifuta Israel

Israel Ina pambana na utawala wa kigaidi wa Iran ndo kichwa Cha magaidi

Na awamu LAZIMA atapike nyongo aliyanayo juu ya Israel
 
Hawana madhara Kwa Israel
Ulishasikia wakitishia kuifuta Israel
Ndio wanatambua uwepo wa taifa la palestina na hawatambui uwepo wa Israel ndio maana hata kwenye maongezi ya amani walikataa kabisa uwepo wa Israel maana wanajua sio nchi. Iran haijawahi tishia kuifuta Israel huwa ni fake news kama una ushahidi wowote unaweza hapa.
Israel Ina pambana na utawala wa kigaidi wa Iran ndo kichwa Cha magaidi
Iran ni magaidi kivipi na kwanini ni kichwa cha magaidi? Hezbollah na Hamas ni vyama vya siasa na vinatambulika kisheria. Lakini Israel ina support literal magaidi mfano RSF, SDF, YPG, PKK, ISIS, HTS n.k je nao tuwaite vichwa vya ugaidi?
Na awamu LAZIMA atapike nyongo aliyanayo juu ya Israel
Nani? Iran atapike nyongo gani? Yaani kaondolewa vikwazo, anamiliki Hormuz, kaingiziwa matrilioni ya dollar na hajakatazwa kufadhili proxies kama hezbollah alafu ndio unasema atatapika nyongo? Unachekesha kweli.
 
Mbona Pakistan ambayo ndio hailitambui taifa la Israel na inawasupport Hamas wazi wazi ilitengeneza nuclear hao mossad walishindwa vipi kuzuia?

Na kingine Iran inayo enriched uranium material ambayo inatosha kutengeneza bomu tayari sasa nikuulize Mossad walikua wapi kuzuia hiyo enrichment mpaka leo?

Yaani iliyopo ambayo USA na mossad wameshindwa kuichukua maana ipo chini ya mlima inatosha kutengeneza nuclear bomb ikiwa enriched mpaka 90% na kwa sasa imezidi 70%. Sasa mpaka wamefikia huu uwezo mossad walikua wapi?
It's not true that the Iranian enriched uranium has attained the level of above 70%.

Iran primarily has enriched its uranium up to 60% purity, which is just a short technical step away from the 90% required for weapons-grade material. As the only non-nuclear weapon state to enrich to this level, this high-purity stockpile has made it a focal point in international negotiations.

Enrichment Levels Breakdown Uranium enrichment is a progressive process that concentrates specific isotopes, particularly U-235:

Natural Uranium: ~
0.7% U-235.Low-Enriched Uranium (LEU): 2% to 5%. This is the standard grade used for civilian nuclear power plants.

Research Reactor Grade:
Up to 20%. Highly Enriched Uranium (HEU): Enriched up to 60%. Experts note that getting from 60% to weapons-grade 90% is exponentially faster than starting from scratch, meaning it can take as little as a week to process.
 
Vita ni ya kuiondosha Israel Kusini mwa Lebanon sio ya kuivamia Israel embu tumia akili sio matako kufikiri. IDF kila siku wanakufa huko kusini mwa Lebanon.
Israel tu ndio wanakufa lakini Hezbollah hawafi... !!!!
 
Mkuu sio mimi niliyesema, ni Benjamin Netanyahu na wewe unamuunga mkono Netanyahu na mnadai Israel ina intelijensia blah blah. Video hii hapa akisema Iran imeshavuka 70% na ukumbuke hii ilikua UN General assembly 2012 sasa leo ni zaidi ya miaka 14 unadhani bado ipo 70%?? Hiyo miaka yote walikua wamelala tu? Sasa tumuamini Netanyahu au wewe myahudi mweusi wa Buza kwa abiola?

View: https://www.nbcnews.com/video/netanyahu-iran-months-away-from-nuclear-bomb-44448323604
 
Vita ni ya kuiondosha Israel Kusini mwa Lebanon sio ya kuivamia Israel embu tumia akili sio matako kufikiri. IDF kila siku wanakufa huko kusini mwa Lebanon.
Spin doctor! Israel ni dude halitikisiki pale! Ila nakuelewa nyie hata mkifa ni ushindi pia
 
Video hii hapa akisema Iran imeshavuka 70% na ukumbuke hii ilikua UN General assembly 2012
Kwamba wewe hujui kutofautisha facts na propaganda kati ya mahasimu?

Hujui kuwa alisema hayo kutengeneza justification ya kuwabamiza hao Iran ambao ni wamiliki, walezi na wafadhili wa magaidi ya Hamas, Hezbollah, Houthi...?

Hivi kada wa Mbogamboga Makala aliposema kuwa Cdm wamenunua virusi vya Ebola ili kusambaza ndani ya Tz kulikuwa na ukweli wowote??
 
Finally umekiri Netanyahu ni muongo na tapeli. Sasa huyo huyo akiwaita Hamas na Hezbollah magaidi basi ni muongo ili kujustify kumaliza nchi hizo hayo ya ugaidi na nuclear ni kisingizio tu.
 
Finally umekiri Netanyahu ni muongo na tapeli. Sasa huyo huyo akiwaita Hamas na Hezbollah magaidi basi ni muongo ili kujustify kumaliza nchi hizo hayo ya ugaidi na nuclear ni kisingizio tu.
Usinilishe maneno ya uongo, please!
 
Usinilishe maneno ya uongo, please!
Wewe mwenyewe umesema Netanyahu alifanya propaganda na sio facts ili kujustify kuvamia Iran.

Sasa ndio ina maana hata hayo ya hamas na Hezbollah ni uongo pia ili kujustify kupora ardhi

Wewe mwenyewe umekiri Netanyahu ni muongo.

Propaganda has a bad name. It is what repressive regimes use to glorify their leaders, motivate their citizens and demonise their enemies. It is about lies and distortion, manipulation and misrepresentation.
Source: BBC (2013)
 
Spin doctor! Israel ni dude halitikisiki pale! Ila nakuelewa nyie hata mkifa ni ushindi pia
Endelea kuwa delusional. Netanyahu pekee na Ben Gvir ndio wanalazimisha ukuu ila wanajeshi washachoka na wameshakata tamaa na wanauawa kila leo huko Lebanon. Ndio maana kwasasa wanajeshi wa IDF ndio wanaongoza kwa post traumatic stress disorder duniani.
 
Back
Top Bottom