Kutengeneza bomu la atomic ni ujinga kweli wewe kiazi😁😁
Yani kabla hawajilamaliza mossad watakuwa washajua wapi linapouundwa na watakuwa wameishaua wanasayansi 3 kati ya sita vinara wa kuliunda, na mmoja wa wansayansi hao waatakao baki ni afisa wa mossad.
Stupid islamists🚮
anaongea akiwa shimo lipi mkuuKwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini.
Leo kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ayatollah mojtaba ametangaza kuvunja mwiko baba yake na kwamba kwasasa hakuna namna Iran itatengeneza Bomu la nuclear ili kujilinda zaidi na hatarii dhidi ya marekani na Israel.
Kwa mtazamo wangu Iran tayari ana atomic bomb kama hajatengeneza basi kutengeneza ni zaidi ya 2% kukamilisha maana tayari ana virutubisho vya uraniamu ya kutosha kutengeneza Bomu.
Sijajua marekani at respond vipi lakini kwa akili yangu naona hii vita ikichukua mkondo mwengine na hata kwenda mbali zaidi maana marekani na Israel wanapinga ni Iran kuwa na Bomu la nuclear. Tujiandae mtikisiko mkubwa waja.
View attachment 3617662
Stupid LGBTQ+😁😁
Yani kabla hawajilamaliza mossad watakuwa washajua wapi linapouundwa na watakuwa wameishaua wanasayansi 3 kati ya sita vinara wa kuliunda, na mmoja wa wansayansi hao waatakao baki ni afisa wa mossad.
Stupid islamists🚮
nasikia hata kutembea hawez achilia mbali kuishi shimon kama panyaJerusalem
Mosaad wangekuwa na uwezo wangezuia wanajeshi wa IDF huko Lebanon wanauliwa Kila siku na Hezbollah.😁😁
Yani kabla hawajilamaliza mossad watakuwa washajua wapi linapouundwa na watakuwa wameishaua wanasayansi 3 kati ya sita vinara wa kuliunda, na mmoja wa wansayansi hao waatakao baki ni afisa wa mossad.
Stupid islamists🚮
Ungekua unaongea hivi kisa mambo mengne nisngekuelewa lakni kwasababu unatetea ndoa yako mumeo kbabu cha kiyahudi kisikuache nakuelewa sana😁😁
Yani kabla hawajilamaliza mossad watakuwa washajua wapi linapouundwa na watakuwa wameishaua wanasayansi 3 kati ya sita vinara wa kuliunda, na mmoja wa wansayansi hao waatakao baki ni afisa wa mossad.
Stupid islamists🚮
waswahili bwana!unaongea kama vile ni swala la kumshika mtu bega nyeti kupotea😁😁
Yani kabla hawajilamaliza mossad watakuwa washajua wapi linapouundwa na watakuwa wameishaua wanasayansi 3 kati ya sita vinara wa kuliunda, na mmoja wa wansayansi hao waatakao baki ni afisa wa mossad.
Stupid islamists🚮
Tupe weweHiyo source uliyo toa hiyo Habari sio reliable source
Twitter saizi usikimbilie Habari kisa umeona blue tick ambayo Ata ww unaweza ipata
Yaani Iran ambayo kiongozi wao mkuu anauliwa kama kuku wa gideri iwe na bomu la atomiki Mossad wasijue lakini wewe unayefanya usafi hapo masjid ubwabwa hapo Msamvu ndio ujue.😯😯😯😯Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini.
Leo kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ayatollah mojtaba ametangaza kuvunja mwiko baba yake na kwamba kwasasa hakuna namna Iran itatengeneza Bomu la nuclear ili kujilinda zaidi na hatarii dhidi ya marekani na Israel.
Kwa mtazamo wangu Iran tayari ana atomic bomb kama hajatengeneza basi kutengeneza ni zaidi ya 2% kukamilisha maana tayari ana virutubisho vya uraniamu ya kutosha kutengeneza Bomu.
Sijajua marekani at respond vipi lakini kwa akili yangu naona hii vita ikichukua mkondo mwengine na hata kwenda mbali zaidi maana marekani na Israel wanapinga ni Iran kuwa na Bomu la nuclear. Tujiandae mtikisiko mkubwa waja.
View attachment 3617662
Wewe ni mdogo sana kwenye haya mambo. Hao mabwana zako ndo wanajua wanachopambania Iran asiweze kumiliki.Yaani Iran ambayo kiongozi wao mkuu anauliwa kama kuku wa gideri iwe na bomu la atomiki Mossad wasijue lakini wewe unayefanya usafi hapo masjid ubwabwa hapo Msamvu ndio ujue.😯😯😯😯
Mbona Pakistan walitengeneza, kwani mossad haikuwepo? Wala sio lazima watengenezee iran ikitengenezewa Pakistan au China hao mossad wana jeuri ya kuvamia china?😁😁
Yani kabla hawajilamaliza mossad watakuwa washajua wapi linapouundwa na watakuwa wameishaua wanasayansi 3 kati ya sita vinara wa kuliunda, na mmoja wa wansayansi hao waatakao baki ni afisa wa mossad.
Stupid islamists🚮
Mbona Pakistan ambayo ndio hailitambui taifa la Israel na inawasupport Hamas wazi wazi ilitengeneza nuclear hao mossad walishindwa vipi kuzuia?Yaani Iran ambayo kiongozi wao mkuu anauliwa kama kuku wa gideri iwe na bomu la atomiki Mossad wasijue lakini wewe unayefanya usafi hapo masjid ubwabwa hapo Msamvu ndio ujue.😯😯😯😯