GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wakristo wa kwanza na walioeneza ukristo wote walikuwa wayahudi ispokuwa Filipo alikuwa myunani kina Petro, andrea jakob stephano maria suzana magdalena mathayo etc. UPO HAPO MKUU?Jesus na Israel ni vitu viwili tofauti myahudi hamjui yesu. Wayahudi ni dini hawana shobo na Jesus wako wao Wana plan zao.
Lete ushahidi wa haya unayosema.Mambo matatu;
* Mfumo wa rada ulipondwa
*Mfumo missiles umeharibiwa
- Kituo Cha drones kimeharibiwa
- Vifo vya askari 4 so far
Hata hivyo hiyo yote ni "limited damage" IRAN
Wanaenda kwa mipango mkuu wao wanapigania roho zao na familia zao na ardhi yao,hawapigani kutuonyesha kwamba wana nguvu au kutufurahisha sisi wasikilizaji na watazanaji.Israel kaishambulia Leo Iran kiuoga uoga sana. Mimi nilitegemea kuona banker buster zikipiga hasa nuclear facilities zilijengwa huko mashimoni Iran. Ninaomba Israel ilirudishe majibu tena mengine yawe makali sana, hasa mpaka Wa Iran watoe Milio yote. Maana Oct 1 Iran alivyoshambulia sote tuliona video. Lakini hii ya Israel naona kama wameipiga kiuoga uoga naomba irudiwe.
Yaani mkuu kwa hali hii,haya mambo ya vita ya mashariki ya kati yanaweza kuziingiza mkenge jamii nyingi za kiafrika.Kwa kuongezea Tu, kambi ya BONYOKWA KWA KICHWA walisema Iran hawezi thubutu kuishambulia Israel vinginevyo atachakaa.
Iran akarusha makombora Israel kama usemavyo kambi ya TANDALE KWA TUMBO Ikasema hakuna Madhara .
Sasa kambi TANDALE KWA TUMBO Ikasema watalipa kiasi, ila majibu ya kambi ya BONYOKWA KWA KICHWA wakasema Israel kama hajitaki Arusha hata jiwe aone cha Moto.
Kambi ya TANDALE KWA TUMBO imejibu tena kwa kupeleka ndege vita huko huko na koporomosha mabomu.
Majibu ya kambi ya BONYOKWA KWA KICHWA NI Yale Yale kama ya kwa TANDALE KWA TUMBO.
Vita havifai ila watu wanashabikia kama Mpira wa miguu
Updates Zipoje?waliziacha kwa sababu anga lao lilikuwa lina ndege za abiria na waisrael walitumia huo muda kutuma ndege na kuondoka kwa haraka kabla ya irani kufunga anga ...sasa baada ya iran kufunga anga mwambie Israel atume ndege sasa uone kama zitarudi .