Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran Radars were jammed and in Iraq and Syria all radars were destroyed by Israel warplanes on its way to Iran..!!

So Israeli IAF warplanes can enter and strike precisely inside Iran that is very very dangerous to Iran..!!
 
Vizuri! Habari uliyoniletea ni aftermath.

Uzi wako kichwa cha habari "ndege 100 zinaingia Iran na kutoka?......"

Ninachohitaji ni source ya taarifa ya uzi wako ndugu.

Kuonesha madhara haisadiki lengo la uzi wako! Kuna aina tofauti za makombora yanasgambulia kutokea hata kwenye meli na yakaleta madhara moja kwa moja kutokea nchi moja kwenda nchi nyengine. Na lengo la huu mfano ni ufahamu kuwa kuna silaha za aina tofauti kwenye mashambulizi na zina uwezo wa kuleta madhara kwa unayemshambulia.

Narudi tena! Tumahitaji ushahidi wa taarifa yako kama kichwa cha habari cha Uzi uliyouanzisha kinavyosema.

Ahsante.
 
All radars were destroyed
 
Kama ndege 100 zimeingia, zimefanya uharibifu huo, imekuwaje wafe watu wa 4(ambao israel inadai) na madai ya irani ni wawili tu, sio kesi wacha niwaamini israel huenda iran inaficha aibu
Kwa uharibifu wanaosema wameufanya, vituo vyote walivyopiga nilitaraji hata idadi ya vifo vya watu iwe kubwa, kiwanda cha drones au kituo cha silaha hawakai askari wawili, wa3.
Kuna mmoja kati yao anatupiga fix.
 
Vizuri! Habari uliyoniletea ni aftermath.

Uzi wako kichwa cha habari "ndege 100 zinaingia Iran na kutoka?......"

Ninachohitaji ni source ya taarifa ya uzi wako ndugu.

Kuonesha madhara haisadiki lengo la uzi wako! Kuna aina tofauti za makombora yanasgambulia kutokea hata kwenye meli na yakaleta madhara moja kwa moja kutokea nchi moja kwenda nchi nyengine. Na lengo la huu mfano ni ufahamu kuwa kuna silaha za aina tofauti kwenye mashambulizi na zina uwezo wa kuleta madhara kwa unayemshambulia.

Narudi tena! Tumahitaji ushahidi wa taarifa yako kama kichwa cha habari cha Uzi uliyouanzisha kinavyosema.

Ahsante.
Kobazi vichwa vyenu vitupu sana iran observer yuko ndani ya iran halafu unataka uambiwe silaha zilizoshambulia iran😂
 
Mimi nataka unioneshe ushahidi kwamba S400 na s300 zimefumuliwa. Pia kwamba ballistic missile factory imelipuliwa. Kama anavyodai huyo Dr. Eli David
Naona maumivu ni makali sana jikaze utazoea israel tehran kwake ni kama chooni tu anaingia na kutoka

View: https://x.com/Osint613/status/1850244923943010718?t=FaJRmTEA56mIR5ANTqZHkw&s=19

View: https://x.com/Osint613/status/1850256135959478511?t=FaJRmTEA56mIR5ANTqZHkw&s=19

View: https://x.com/Osint613/status/1850403601895604631?t=FaJRmTEA56mIR5ANTqZHkw&s=19
 
Kobazi vichwa vyenu vitupu sana iran observer yuko ndani ya iran halafu unataka uambiwe silaha zilizoshambulia iran😂
Wewe unaona umejibu sawa?

Uzi wako ndege 100 zimeingia anga ya Iran.

Ili tupate kufahamu zaidi unaombwa ushahidi wa uhakika wa taarifa yako, wewe unaleta ushahidi wa athari ya hizo ndege zilizofanya.

Suala si athari zilizoletwa ama kusababishwa na hizo ndege, suala ni ulete ushahidi wa ndege 100 kuingia anga la Iran.

Hili kwako ni gumu hulielewi?

Ni sawa sawa unasema kimelea A kinasababisha ugonjwa X.

Unaombwa ulete scientific proof ya hoja yako wewe unaleta effects zinasababishwa na huyo kimelea.

Bado jawabu lako unaliona ni sawa?
 
Utakuwa umechanganyikiwa hakuna sehemu yyote nilioanzisha thread fuatilia vizuri
Mimi ni mchangiaji kama wewe nimekuletea taarifa zilizo ndani ya iran unauliza tena makombora na ushahidi wa ndege kuingia anga la iran
Kama wenyew wamekiri kupigwa radar kuharibiwa vibaya kuanzia syria iraq na hapo chooni kwa myahudi bado unabishana tu unaumwa? 😃
Usijali utazoea tu ngoma bado mbichi
Iran ilipoishambulia israel na makombora 200 kutoka iran mlileta scientific proof gani? Hivi shambulizi la makombora ya balistic na ya ndege f35 yanaficha uharibifu jikaze tena

View: https://x.com/Osint613/status/1850244923943010718?t=FaJRmTEA56mIR5ANTqZHkw&s=19

View: https://x.com/Osint613/status/1850256135959478511?t=FaJRmTEA56mIR5ANTqZHkw&s=19

View: https://x.com/Osint613/status/1850403601895604631?t=FaJRmTEA56mIR5ANTqZHkw&s=19
 
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.

Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.

Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.

Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
Jesus na Israel ni vitu viwili tofauti myahudi hamjui yesu. Wayahudi ni dini hawana shobo na Jesus wako wao Wana plan zao.
 
Back
Top Bottom