Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Tumia akili kwa hicho unachokisema badala ya UZUSHI. Kama iran aliziharibu ndege zikiwa Israel alipopiga .Sasa kwanini asingetungua ndege zilizofika kwake Iran zisitoke hata moja?.
Kwanj kuna ndege ilifika iran?
 
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.

Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita vya kikanda.

Jeshi la Israeli limesema lililenga "maeneo ya kijeshi" ya uhakika nchini Iran, huku vyombo vya habari vya serikali ya Iran vikiripoti milipuko kadhaa.

Chanzo cha jeshi la Israeli kiliiambia CNN kwamba malengo ya kulipiza kisasi hayakujumuisha miundombinu ya nishati. Iran imesema Israeli ilishambulia vifaa vya kijeshi kote nchini humo, na kusababisha “uharibifu mdogo” katika baadhi ya maeneo.


Uamuzi wa Israeli kushambulia kile ilichokiita malengo ya kijeshi ya Iran ulifanywa baada ya wiki kadhaa za mashauriano ndani ya baraza lake la usalama kuhusu aina na upeo wa shambulizi hilo, kulingana na maafisa wa Israeli.

Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============


Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.

The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
View attachment 3135394
Source: CNN
Picha za Iraq na Lebanon.
Hakuna picha ya Iran hata moja hapo.
 
Trust me hamna picha wala video hata Moja tuuuu ya ndege ya Israel iliyo halibika Iran ilipo shambulia sikatai Kama hazijapigwa ila hakuna mwenye access ya kupata iyo video zaidi ya walegwa wenyewe Kwa sabb za kiusalama hizo Air force base ni restricted Areas ataikipigwa inabaki ni top secret au confidential

Iran imepigwa na baadhi ya battery kwenye mfumo wa air defense zimepigwa ila huwezi ona izo picture only watu wenye access
Ndege za Israel hazikuingia anga la Iran.
Zilishambulia kutokea anga la Iraq.
Hivyo usidanganye watu.

Pia kuhusu video kila maeneo anayoshambulia Israel huwa analeta video na picha,Lebanon kila aliposhambulia alitoa picha na video,kwanini ashindwe kutoa za Iran!?
 
Ngege 100 madhara yake tuliyoyasikia ni machache sana. Kijeshi ni hasara.Sasa tungoje Waajemi walipiza vipi.

Wameshatangaza ku;ipiza kwa namna watakavyo wao, hakuna cha kuwazuia.
 
Israel ni mtaalamu wa kutoa video leaks za mashambulizi yake. Mbona mpaka sasa hajatoa video kuthibitisha madai yake ya "precise attacks"?
 
Screenshot_2024-10-27-07-11-46-481_com.twitter.android~2.jpg
 
Hazina madhara wakati zimepiga target kwanini
Qatar watoe tamko ? 😂
Wewe hujui tu.Iran iliziona hizo ndege tangu zinawekwa mafuta na wakajua haziwezi kuleta dhahma kubwa.Ziliweza kuharibu vituo vya silaha na utengenezaji silaha tu.Kidooogoo,ziliua askari wanne tu.Kwa hiyo,it wasn't a big deal!🤔
 
Back
Top Bottom