Naona huelewi , wanasambaza picha za uongo mpaka mitandao inawakataa ndio tatizo 😀 😀 😀 Video ya juu hata BBC wametoa ni kwamba zote zilikuwa completely intercoepts , ila tambua zinapozuiliwa sio zinapotea bali mabaki yanadondoka .
Mkasema sehemu ya biashara imepata madhara , watu wakaonesha mud huo watu wanaendelea na shughuli zao bila wasiwasi ...Ishu msizambaze picha za uongo kwa sababu hamuwezi kutudanganya wenye akili na uongo wenu .
Mfano kuna bomu lenye nguvu limefika hata usawa gorofa ?😀😀😀zote zilikuwa baruti.