Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Msioelewa... Israel kapiga round mbili ya kwanza ni kumaliza uwezo wa mitambo ya ulinzi kisha asubuhi ndio kachapa makofi kiwanda cha Drone na ballistic missile.. Iran wamesema atakayepiga picha na kusambaza damage jela miaka 10.. asubuhi mdege za Israel zilikatiza kama zipo Gaza na Lebanon. Iran kavimba mno maana Air defense ipo uchi