and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hio picha imewekwa na CNN...Picha yenyewe ya kugushi, wayahudi hawako hivyo!! Mahandaki ya Israel yanaitwa Basement kuna kila kitu kitanda,shuka,Hospital na Huduma zingine za kibinadamu. Angalia hata huyo askari Israel hakuna wa namna hiyo, Hard-hat israel hawatumii hizo tuambie vizuri hiyo umeipata wapi?
Wakati mwingine muwe mnaacha ubishi wa kipuuzi...
Tuambie wayahudi wako vipi we unaye wafahamu...🤣
Hata mimi ungeniamsha usiku saa 8 ningesema hao ni wayahudi sasa wewe myahudi wa Ifakara tuambie wayahudi wapo vipi?
Wayahudi wapo hadi Ethioia, weusi tii, wayahudi wapo India, wayahudi wapo hadi China... Myahudi mchina unafahamu hilo?