Iran: Mmoja auawa kwa askari kummiminia risasi kwa kapiga honi kuunga maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

Iran: Mmoja auawa kwa askari kummiminia risasi kwa kapiga honi kuunga maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni serikali ya Iran inatumia nguvu nyingi sana kumpigania huyu 'Mungu' wao, inawaua raia wake kama nzige. Wasichokijua, kadiri wanavyowaua watu ndivyo wanazidi kupandisha mzuka nchi yote.

========

Two were killed in Sanandaj, including a man shot in his car after he sounded his horn in support of protesters.

A video shared online shows a woman shot in the neck lying unconscious on the ground in Mashhad.

Ms Amini was detained in Tehran by the morality police for allegedly not covering her hair properly.

The 22-year-old Iranian Kurd died in custody on 16 September, three days after her arrest.

In Sanandaj, a police official said a man had been killed by "counter-revolutionaries", the state news agency IRNA reports.
On Friday, Iran's Forensic Medicine Organisation said Ms Amini had died from multiple organ failure caused by cerebral hypoxia and not from blows to the head.

Rights groups say more than 150 people have been killed since the protests in the Islamic Republic began on 17 September.

Shops in several cities have shut in support of the protesters, including in Tehran's bazaar where some set fire to a police kiosk and chased the security forces away.

The protests reaching the bazaar in Tehran will ring alarm bells with Iranian leaders who have counted the merchants as among their supporters.

Chanzo: BBC News
 
Watu wamejiundia tu dini ili wao wawe mungu na watoe maagizo ya kila wanachotaka kifanyike, basi kisimamiwe Kwa nguvu zote na Kwa hali zote!

Maana Mungu wa kweli hapigi watu risasi na wengine kuwavalisha mabomu ili wakauwe wengine, huu ni mpango tu wa watu wachache ambao hawataruhusu wengine waelimike kufahamu adhima yao ndani ya miongozo yao
 
Hii serikali ya akina dikteta Ayatollah ingeacha tu usanii wa kujiita ya kidini kwa sababu serikali ya kidini, kama kweli ingekuwepo, isingeruhusu viumbe vya Mungu vipigwe risasi hovyo namna hiyo.

Ayatollah ni gaidi kabisa na Marekani haikukosea kuiweka Iran kwenye orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi duniani.
 
Na nyie wanaume wa Tanzania mmefanya nini dhidi ya udhalimu wa CCM ?
Waulize Wanaume wa China wamefanya Nini dhidi ya Udhalimu wa Chama Cha Kikomunist Cha CCP tangu mwaka 1947. CCP Chini ya MAO iliwauwa Wachina zaidi ya 50M na Wachina hawakufanya chochote zaidi TU ya Kuikimbia China. Chini ya MAO,zaidi ya Wachina 150M waliikimbia China.
 
Waulize Wanaume wa China wamefanya Nini dhidi ya Udhalimu wa Chama Cha Kikomunist Cha CCP tangu mwaka 1947. CCP Chini ya MAO iliwauwa Wachina zaidi ya 50M na Wachina hawakufanya chochote zaidi TU ya Kuikimbia China. Chini ya MAO,zaidi ya Wachina 150M waliikimbia China.
Kwani kuna wachina humu Jamiiforums mkuu ?
 
Kenya kwenye maandamano 2007 mliuwa watu wangapi?
 
Chama Cha Kikomunist Cha CCP
CCP ndio nini ?
Chama Cha Kikomunist Cha CCP tangu mwaka 1947.
Unafahamu mwaka 1947 China ili kuwa chini ya utawala wa chama gani mkuu ?
CCP Chini ya MAO iliwauwa Wachina zaidi ya 50M
CCP ndio nini ? Na una uhakika Chairman Mao aliua raia wa kichina zaidi ya million 50 ? Una fahamu ukubwa wa hiyo nambari uliyo andika mkuu ?
Chini ya MAO,zaidi ya Wachina 150M waliikimbia China.
Una hakika kuwa wachina zaidi ya million 150 walikimbia China kwa sababu ya Chairman Mao? walikimbia katika miaka ipi na ipi ? na walikimbilia nchi zipi na zipi ?
 
Kenya kwenye maandamano 2007 mliuwa watu wangapi?

Serikali ya Kenya haikua inampigania 'allah' na 'mohammed' kwa kuua raia wake...
Sijui mliingiaje huu mkenge..
 
how-to-make-a-muslim-step-1-step-3-step-1126158.png
 
Back
Top Bottom