baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Hao jamaa sio level zetu wala sio level ya taifa lolote lile dogo, wanajitegemea vitu vingi kitechnology, huwezi Tu from no where ukatengeneza drone na kombora, hio ni foundation ya kisayansi waliyoweka miaka zaidi ya 50 sasa,Iran zaidi ya teknolojia ya drone na makombora aliyowekeza kwa muda mrefu hakuna Cha zaidi alichonacho..kiburi chake chote ni anaringia makombora yake
Bro wanasayansi sio wanasiasa, mwansayansi wa Marekani anashirikiana na Iran, wa Iran anashirikiana na Uingereza, China etc.Iran hana uwezo wa kutengeneza Kila kitu acha uongo.. Iran hana technologia yeyote, Kila kitu amecopy urusi Yani Kila kitu amecopy urusi, anachofanya yeye anapeleka vijana urusi wanasoma engineering alafu Ile mifumo ya urusi wanaileta nchini kwao wanabadilisha majina wanaweka majina yao. Alivopigana na isael kilichomsaidia ni hayo makombora yake isingekua hayo angemalizwa vibaya sana sababu siku zote zile za vita Israel alitawala anga yote Yan Iran alipigwa na adui Ambae alikua ndani ya ardhi yake tofauti na Israel alikua anashambuliwa na makombora kutoka nje ya nchi.
Alafu hao wazungu wote unaowataja kama hujui hiyo ni damu Moja kwa hivo suala la kwenda vitani wote Hilo kwao ni kawaida ndo utaratibu wao huo hata wakija kupigana na nchi ndoogo kama Tanzania wanakuja wote usifikiri eti atakuja mmoja
Iran kweli sio level zetu ametuacha mbali sana lakini pia kukubali kwamba sio level sa Marekani..yule kwa Marekani Bado mtoto anajifunza.. Marekani ni level za kupambana na Urusi sio iranHao jamaa sio level zetu wala sio level ya taifa lolote lile dogo, wanajitegemea vitu vingi kitechnology, huwezi Tu from no where ukatengeneza drone na kombora, hio ni foundation ya kisayansi waliyoweka miaka zaidi ya 50 sasa,
Wewe hapa unasubiria Sgr upokee bandarini wenzako wanaunda wenyewe tena za kisasa na nauli ni karibia bure popote ndani ya mji, tena sio train chakavu ni za kisasa
Hospitali wanazo za kutembea kuhakikisha vijiji vyote vinapata huduma za Afya, uvumbuzi wao ambao mpaka wanasayansi wa mmarekani wanaenda kufundishwa kutoa huduma vijijini.
Wana Elimu nzuri na vyuo vyao na wanasayansi wao wanarank juu Dunia nzima.
Vyote hivyo huvipati bila kuwa na kizazi kinachojielewa na watu smart.
Kuna field na field boss.. Kuna baadhi ya research ni top secret za nchi kwanza tu hua zinafanywa kwa Siri hujui ata zinafanyikia wapi naa wanasayansi wa hizo research wanapata ulinzi wa jeshi Moja kwaa mojaBro wanasayansi sio wanasiasa, mwansayansi wa Marekani anashirikiana na Iran, wa Iran anashirikiana na Uingereza, China etc.
Iran anamuuzia Mrusi silaha, ni Gunduzi zao wenyewe, ingekua kafundishwa na Mrusi kila kitu why Mrusi asitengeneze mwenyewe.
Kuna list ya top scientist ambao KAZI zao zimekuwa cited zaidi Duniani, kuna subfield kibao top Dunia nzima anataka Iran
Top 10 Researchers in Iran (2024) - Top 2% Scientists
Here, we celebrate the Top 10 Researchers in Iran (2024), highlighting their fields, specialties, and outstanding achievements.top2percentscientists.com
Hizo ni research za kwenye movies, unaweza toa mfano wa real life Dunia yetu ya kisasa kitu ambacho ni siri kimegunduliwa maabara za siri?Kuna field na field boss.. Kuna baadhi ya research ni top secret za nchi kwanza tu hua zinafanywa kwa Siri hujui ata zinafanyikia wapi naa wanasayansi wa hizo research wanapata ulinzi wa jeshi Moja kwaa moja
Mfano project ya bomu la nuclear ilikua ni Siri.Hizo ni research za kwenye movies, unaweza toa mfano wa real life Dunia yetu ya kisasa kitu ambacho ni siri kimegunduliwa maabara za siri?
hiyo kwa point Yako hapa ni kwamba mwanasayansi wa Marekani anaweza kushirikiana na mwanasayansi wa urusi kubadilishana taarifa za kutengeneza hypersonic missile? ebu nijibu hapo mkuuBro wanasayansi sio wanasiasa, mwansayansi wa Marekani anashirikiana na Iran, wa Iran anashirikiana na Uingereza, China etc.
Iran anamuuzia Mrusi silaha, ni Gunduzi zao wenyewe, ingekua kafundishwa na Mrusi kila kitu why Mrusi asitengeneze mwenyewe.
Kuna list ya top scientist ambao KAZI zao zimekuwa cited zaidi Duniani, kuna subfield kibao top Dunia nzima anataka Iran
Top 10 Researchers in Iran (2024) - Top 2% Scientists
Here, we celebrate the Top 10 Researchers in Iran (2024), highlighting their fields, specialties, and outstanding achievements.top2percentscientists.com
Yes inawezekana, hata hao wanasayansi wakubwa wa Iran research zao sio Siri na ukiwa na research haimaanishi hapo hapo unajenga kitu.Kwa
hiyo kwa point Yako hapa ni kwamba mwanasayansi wa Marekani anaweza kushirikiana na mwanasayansi wa urusi kubadilishana taarifa za kutengeneza hypersonic missile? ebu nijibu hapo mkuu
Hapo ndo unapochanganya, hio ni project ya kuunda bomu na sio ugunduzi wa Technology nyuma ya Hilo bomu.Mfano project ya bomu la nuclear ilikua ni Siri.
the Manhattan Project was a massive top-secret World War II program (1942–1945) aimed at developing the first atomic bombs before Nazi Germany
Unaposema ni project ya kuunda bomu unakosea. Hiyo ni project ya kuunda bomu la nuclear.. ni ugunduzi huo.. sababu kitu kama hicho hakikuwepo... so unaposema huo sio ugunduzi sio sahihi .huo ni ugunduzi...hapo Kuna technologia mpya iliyokuwepo hapo... Kuna formula ziligunduliwa hapo Ili kufanikisha hilo..kumbuka wajerumani walijaribu wakashindwa....Sasa kama ingekua si simpo eti kuunda bomu Sasa si Kila nchi ingekua inaunda Hilo bomu?Hapo ndo unapochanganya, hio ni project ya kuunda bomu na sio ugunduzi wa Technology nyuma ya Hilo bomu.
Mwanasayansi anafanya tafiti na hizo tafiti mbalimbali zikikusanywa pamoja ndio project kama hizo zinafanyika.
Mfano wa watu nyuma ya nyuklia
1. Wilhelm Röntgen huyu ni mgunduzi wa X-ray toka 1895
2. Henri Becquerel huyu akagundua radiation kwenye Uranium mwaka unaofuatia
3. Ernest Rutherford baadae mwaka 1911 akagundua atomic model etc
So gunduzi zote hizi wanasayansi wengine wakakaa na kufanya practical na kutengeza Hilo bomu, ila haimaanishi hao jamaa walijifungia ndani na kutengeza from scratch.
Kitu kidogo Tu kama simu kuna maelfu ya technology ambayo yanatoka sehemu mbalimbali Duniani, hakuna MTU mwenye ubavu kugundua tech za kisasa mwenyewe.
Unaavosema simu ni kitu kidogo unaamaanisha udogo wa umbo au udogo wa nini?Hapo ndo unapochanganya, hio ni project ya kuunda bomu na sio ugunduzi wa Technology nyuma ya Hilo bomu.
Mwanasayansi anafanya tafiti na hizo tafiti mbalimbali zikikusanywa pamoja ndio project kama hizo zinafanyika.
Mfano wa watu nyuma ya nyuklia
1. Wilhelm Röntgen huyu ni mgunduzi wa X-ray toka 1895
2. Henri Becquerel huyu akagundua radiation kwenye Uranium mwaka unaofuatia
3. Ernest Rutherford baadae mwaka 1911 akagundua atomic model etc
So gunduzi zote hizi wanasayansi wengine wakakaa na kufanya practical na kutengeza Hilo bomu, ila haimaanishi hao jamaa walijifungia ndani na kutengeza from scratch.
Kitu kidogo Tu kama simu kuna maelfu ya technology ambayo yanatoka sehemu mbalimbali Duniani, hakuna MTU mwenye ubavu kugundua tech za kisasa mwenyewe.
Pia hao wagunduzi wa x ray inatakiwa ujue kwamba Kuna gunduzi zilifanyika kabla yao ambazo zilifanikisha na wao kufanya hizo gunduzi zao so pia na wao gunduzi zao nilifanikisha kufanya gunduzi zingine za mbele hivo ndo innovations zinavofanya kaziHapo ndo unapochanganya, hio ni project ya kuunda bomu na sio ugunduzi wa Technology nyuma ya Hilo bomu.
Mwanasayansi anafanya tafiti na hizo tafiti mbalimbali zikikusanywa pamoja ndio project kama hizo zinafanyika.
Mfano wa watu nyuma ya nyuklia
1. Wilhelm Röntgen huyu ni mgunduzi wa X-ray toka 1895
2. Henri Becquerel huyu akagundua radiation kwenye Uranium mwaka unaofuatia
3. Ernest Rutherford baadae mwaka 1911 akagundua atomic model etc
So gunduzi zote hizi wanasayansi wengine wakakaa na kufanya practical na kutengeza Hilo bomu, ila haimaanishi hao jamaa walijifungia ndani na kutengeza from scratch.
Kitu kidogo Tu kama simu kuna maelfu ya technology ambayo yanatoka sehemu mbalimbali Duniani, hakuna MTU mwenye ubavu kugundua tech za kisasa mwenyewe.
Sio wanasayansi wa Iran, wanasayansi wowote wanaofanya tafiti za high tech gunduzi zao huo ni Siri sababu hizo hua zina maslahi ya nchi husika..Sasa unaavosema eti mwanasayansi wa Iran anashirikiana na mwanasayansi wa Marekani Bado nakutafakari...labda uongelee hizi field za kawaida kama kutengeneza matairiYes inawezekana, hata hao wanasayansi wakubwa wa Iran research zao sio Siri na ukiwa na research haimaanishi hapo hapo unajenga kitu.
Kitu gani kimegunduliwa hapo ambacho hakikugunduliwa mwanzo? Watu wote ambao wapo Familiar na project ya Openheimer wanakubaliana kwamba yeye sio mgunduzi Bali alikua ni kama physicists ambaye Ali organize kutengeneza bomu kutokana na Existing technology ambayo imeshagunduliwa tayari.Unaposema ni project ya kuunda bomu unakosea. Hiyo ni project ya kuunda bomu la nuclear.. ni ugunduzi huo.. sababu kitu kama hicho hakikuwepo... so unaposema huo sio ugunduzi sio sahihi .huo ni ugunduzi...hapo Kuna technologia mpya iliyokuwepo hapo... Kuna formula ziligunduliwa hapo Ili kufanikisha hilo..kumbuka wajerumani walijaribu wakashindwa....Sasa kama ingekua si simpo eti kuunda bomu Sasa si Kila nchi ingekua inaunda Hilo bomu?
Kumbuka Hadi leo ni ugunduzi ule wa Marekani ndo unaitumia Dunia nzima...urusi pamoja na teknolojia yake ya kijeshi ila iliiba ugunduzi huo kutoka Marekani ..Sasa kama ni kuunda tu kwa nini na wao wasingeunda bali walienda kuiba technology ya Marekani?
Kama ni suala la wanayasansi kukufanya technology na kuunda bomu kwani urusi hana wanasayansi Sasa mbona alikimbilia kuiba Marekani?
Pia nakusahihisha kwamba katika Kila ugunduzi mpya unaotokea jua kwamba ulichangiwa na ugunduzi wa nyuma.. hakuna ugunduzi mpya bila ugunduzi wa zamani sababu sayansi ni muendelezo
Tatizo lako unaangalia movie Sana, hakuna tech ya kisasa sasa hivi inayogunduliwa na MTU mmoja ama kumi. Nakupa Tu mfano simu umeona Bluetooth? Kuna gunduzi 30,000 just kutengeneza, umeona memory card? Kuna gunduzi 800 kuikamilisha, mpaka simu inakamilika kuna gunduzi 250,000 estimation, unfkiri kuna MTU kakaa akagundua vitu vyote hivyo? Hapana Bali ni contribution ya wanasayansi Dunia nzima, mpaka nchi zetu hizi hohehahe wapo wawili watatu wanahusika.Sio wanasayansi wa Iran, wanasayansi wowote wanaofanya tafiti za high tech gunduzi zao huo ni Siri sababu hizo hua zina maslahi ya nchi husika..Sasa unaavosema eti mwanasayansi wa Iran anashirikiana na mwanasayansi wa Marekani Bado nakutafakari...labda uongelee hizi field za kawaida kama kutengeneza matairi
Kama hakuna technology ya mtu mmoja kwa nini Kuna technology patent?Tatizo lako unaangalia movie Sana, hakuna tech ya kisasa sasa hivi inayogunduliwa na MTU mmoja ama kumi. Nakupa Tu mfano simu umeona Bluetooth? Kuna gunduzi 30,000 just kutengeneza, umeona memory card? Kuna gunduzi 800 kuikamilisha, mpaka simu inakamilika kuna gunduzi 250,000 estimation, unfkiri kuna MTU kakaa akagundua vitu vyote hivyo? Hapana Bali ni contribution ya wanasayansi Dunia nzima, mpaka nchi zetu hizi hohehahe wapo wawili watatu wanahusika.
So unapoona kombora limeruka juu ni maelfu kwa maelfu ya scientist all over the world wameshiriki.
Na tusiandikie mate huu moja ya ushahidi
Ukicheki hapo katika journals 40,000 walizopublish scientist wa Iran asilimia 8 zilikuwa co authored na Scientist wa marekani roughly ni journals 3200.
Hao ndio wanasayansi, Kesho na keshokutwa CEO wa Apple ama Huawei asitengeneza device unasahau contribution ya hizo institution mnampa credit zote MTU mwengine na kuanza kusema ni project za siri.
Ndio ninachokuambia hapo sasa Bluetooth ina patents 30,000 kila sehemu wame contribute.Kama
Kama hakuna technology ya mtu mmoja kwa nini Kuna technology patent?
Mfano GPS technology ni patent ya mtu...na ziko nyingi tu...
Navigation system using satellites and passive ranging techniques," credited to Roger L. Easton of the U.S. Naval Research Laboratory (patent number US3789409A
Israel ndio nchi ya hovyo kuwahi kutokea. Haina vikwazo, na inabebwa na nchi za magharibi ili waipe u-super power wa mchongo pale Middle East, lkn wapi, mpaka leo bado inategemea msaada wa ulinzi kutoka Marekani.Iran kweli sio level zetu ametuacha mbali sana lakini pia kukubali kwamba sio level sa Marekani..yule kwa Marekani Bado mtoto anajifunza.. Marekani ni level za kupambana na Urusi sio iran