Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?
Uchokozi wa Israel ndio unafanya Iran iunde uhasama? Huu uhasama mbona upo hata kiimani zaidi? Israel ni adui wa muislam, hivi ndivyo maandiko ya uislam yalivyo.

Iran na Israel zote raia wanaenda, lakini with high level of screening. Usijiongopee kuwa muisrael kupata visa Iran ni rahisi, hivyo hivyo pia kwa Israel

WaIran waliopo Israel ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran.

Disclaimer: ninajadili haya nikiwa najua hamruhusiwi kuisifia au kuiandika Israel vizuri kwa lolote.
Lakini haizuii mjadala Kama hu kufanyika. Yapo nayojua na wewe pia yapo unayojua hivyo tunabadilishana ideas
Hata kiimani waislam waliwatetea wayahudi toka Makkah na Madina hata dola iliyowaokoa wayahudi wasiuliwe na wababeli ilikua dola ya waajemi.
Mkuu umekuja kujibu kwa jazba sana alafu umejibu vitu usvyofahamu.nitakujibu kwa usahihi
1) Sio kiongozi mmoja tu wapo wengi wanaossma wana lengo la kuifuta Israel.
Ushahidi
Huyu ni general wa jeshi

Raisi Mahmoud Ahmednejad alisema hili pia

Ukitaka hata viongozi zaidi ya 10 waliosema hivyo niambie nikuletee
Mkuu wacha ubishi. Fuatilia historia LINI IRAN ALIANZA KUSEMA ANA MPANGO WA KUIFUTA ISRAEL. Je kabla ya. 1990 Iran walisema hivyo??
Iran hawana particular motive dhidi ya Israel. ILA UKOROFI WA ISRAEL UNAWAFANYA IRAN WAWE NA MOTIVE JUU YAO. Hizo kauli na hizo motives ni athari ya uchokozi kwa Iran tangu 1990.
Jaribu kunisoma kwa makini ili unielewe bro.
2) unasema Ayatollah Khomeini aliungana na wakristo kusheherekea Christmas Ila Netanyahu hawezi kufanya hivyo? Kwanza nikurekebishe huyo sio Ayatollah Khomeini, Ayatollah Khomeini alishafariki. Huyo ni Khamenei
Kuhusu Christmas, Netanyahu alifanya hivyo

View: https://www.youtube.com/watch?v=h1NKcqCwpE8

Sikusema mimi kuwa Khomeini aliungana na wakristo kusherehekea Xmass umenilisha maneno. Onesha niliposema hivyo.
Na hakuna asiyejua kuwa Israel wakristo hunyanyaswa na hadi kutemewa mate. Nenda hata google katafute Israel spit attack against christians utakuta mara kibao wamefanyiwa hivyo.
Ilhali Iran kuna uhuru wa kuabudu dini zote.
3) unasema Iran ni nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi duniani? Mkuu hili mbona mnalichanganya?shida nini?
Picha uliyoweka hiyo ni Iranian Jews(wayahudi wenye asili ya Iran). Mfano wake tuseme wamarekani au waingereza wenye asili ya Africa. Ulichoweka sio wayahudi wote bali ni wale wenye asili ya Iran. Naamini umeelewa vyema. Turudui kwenye hoja
Iran sio nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi. Hivi unajua marekani Ina wayahudi wengi kuliko hata Israel? Marekani kuna wayahudi zaidi ya mil 7.4
Nakuwekea uthibitisho wa nchi zenye wayahudi wengi duniani, Iran imepitwa hadi na south Africa. South Africa wapo 50k
View attachment 3537701
Unaweza kusoma mwenye kupitia link hii
Nimesema nchi ya pili sio yatatu.
Na nimekusudia nchi ya pili kwa ukanda wa MIDDLE EAST sio duniani kote.
Au kunasehemu nimetaja duniani mkuu!??
Pia wayahudi waliopo Iran SIO ASILI YA UAJEMI BIG NO!!
Ni asili ya ASHKENAZI JEWS. Wala sio asili ya persia.
Ndio maana hata vita ya 12 days war wayahudi raia wa Iran walilalamika kuwa uhasama wa Netanyahu unawaharibia maisha waliyoanzisha Iran kwa utulivu.
Kama asili yao ni uajemi kwanini waseme hivyo!??
 
Uhasama wa Iran na waarabu wote kwa Israel ni dini acha kupotosha, waarabu wote na waislamu wa hapo mashariki ya kati hawataki uyahudi uwatawale..
Uhasama huo hawajaanza leo..kwanza walianza waarabu wa Suni kupambana na Israel..wakachezea kichapo wote wakalala chini...Sasa ndo akainuka shia Iran kujifanya kidume akaanzisha proxy group kama Hezbollah na kuanzia kusapoti hamas..Sasa na yeye kinamkuta.

Uyahudi utawatawala tu nyie wavaa kobasi mtake au mistake..na mkizingua mnachezea kichapo.. kama unafikiri ni kazi rahisi nenda kamuulize Egypt atakupa mkanda mzima
Kijana HUNA UNALOJUA HALAFU UNAKUJA KUROPOKA.
-Uhasama wa waarabu na wayahudi wala sio dini.
Wayahudi waliishi Misri,Saudi Arabia,Jordan na Jerusalem kwa wingi tu. Na hata Palestina ilipokua chini ya Ottoman empire wayahudi waliabudu na masinagogi yalijengwa. Hata Ottoman empire ilipopokonywa Palestina 1917 wayahudi waliishi pamoja na waarabu kwa usawa hata sarafu yao ikiwa ina pande mbili,kiebrania na kiarabu. Wayahudi wa NJE hususan kutoka EASTERN EUROPE walifadhili uundwaji wa taifa la Israel kinguvu kwa kufadhili mapinduzi 1919. Hilo UK alilidhibiti na akakataa wayahudi kuunda taifa kwa wakati ule.
Wayahudi walijaribu mapinduzi takriban mara 2 yakafeli.
-1945 Ashkenazi jews kutoka Ujerumani,Poland,Ukraine,Urusi walikuja kwa mashua wakiwa hawana hata ndala na waarabu wakawapokea kwa moyo mmoja. Ila kumbe walikua na ajenda za sirii kwa kununua ardhi kwa wingi na kuunda taifa kisirisiri. 1947 zionism movement ikawa initiated. 1948 ramani ya kwanza ya kugawana ardhi ikatoka. Wayahudi walipewa 56% ya ardhi na waarabu wakapewa 44%. Hiki kitu waarabu hawakukikubali ndio wakaanzisha vita haiwezekani wao wapunjwe ardhi.
HAPO UDINI UKO WAPI??
-Syria ilikua nchi tulivu Israel akaiundia Damascus crisis ikaporomoka mwaka 1958.
-1960 Israel akaleta mgogoro kwa kufadhili vita za kidini Lebanon. Hizbollah ndio waliowaokoa wakristo wasichinjwe kama kuku na masunni ambao walifadhiliwa na Israel.

Kama unazungumzia vita basi kuna vita Israel alipoteza.
-Yom Kippur war Israel alipigwa na Egypt ya Anwar Saddat 9
1973 ndio chanzo cha waziri Golda Meir kujiuzuru.
-2006 Israel ilipigwa na kupokonywa Bint Jubeir na Hizbollah kwa msaada wa Iran.
-2025 June war kila mtu aliona namna Iran ilivyokua ikiigeuza Israel Gaza.

Iran haikuwahi kuwa adui wa Israel hadi mwaka 1990 ambapo Iran ilipoanza kujitegemea kiuchumi na kijeshi. Israel ikaiona kama tishio na kuanza kuiandama Iran. Kama haujui vita ya Iraq na Iran ya 1980-1988 aliyemsaidia kisilaha na kiintelijensia Iran ni ISRAEL.
Je hapo unasemaje ilhali dini zilikua tofauti??
Urafiki wa Iran na Israel ulivunjika kuanzia 1990.
Fuatilieni mambo wacheni ubishi.

KIJANA WACHA UJUAJI MWINGI HUNA UNALOJUA.
 
Iran anasapoti vikundi vya kigaidi vya hamas na Hezbollah ambavo mashehe wake wametangaza hadharani kwamba wanataka kuiangamiza Israel (kama unabisha sema niwekee ushahidi mi Sina porojo kama wewe naongea kwa data) Iran pia viongozi wake mfano Mahmud Ahmed nejad alishasema hadharani hivo hivo. Sasa ukiangalia hapa mchokozi ni nani?
Sasa kwa nini asishughulikiwe?
Hakuna porojo ambazo nimeongea. Hadi sasa HUNA FACT YEYOTE ULIYOONGEA.
Aliyeanza kumkorofisha Iran ni Israel kuanzia 1990,nenda kafuatilie google unayo Netanyahu alianza kuua wanasayansi wa silaha wa Iran,baadae akaanza kuua wanasayansi wa nuclear wa Iran. Wakati huo Iran alikaa kimya hakuanzisha ukorofi wowote.
1995 akapeleka nyaraka za uongo UN akidai Iran inaunda mabomu ya nuclear.
Zote hizi espionages.

Hamas waliundwa 2005 na Israel ili kuvunja nguvu ya PLO isitawale Gaza. Ila Hamas waliingia roho za kizalendo na kutaka Gaza itawaliwe na wao na sio Israel. Hapo uhasama ndio ukaanza baina ya Hamas na Israel.
Unazungumzia vikundi vya kigaidi?? Unasahau Israel aliunda ISIS kuidhoofisha Syria na anawapa silaha Wakurdi ili kudhoofisha usalama wa mipakani mwa Syria,Iraq na Iran. Je hili hulijui!??

Hizbollah ni kundi linaloheshimika na kupendwa Lebanon. Hizbollah ndio waliosaidia Lebanon wasiporwe ardhi ya Bint Jubeir 2006 na Israel. UNAWAITAJE MAGAIDI?? Serikali ya Lebanon inawaheshimu wewe unawaita magaidi? UNAJIELEWA WEWE MPUMBAVU!??
 
Mkuu unapinga uongo ikiwa unaandika uongo wazi? Iran ni nchi ya pili kuwa na wayahudi wengu baada ya Israel, unasema wapo laki 8??
Hivi unafahamu kuwa marekani Kuna wayahudi zaidi ya milion 7?
Pia ninaomba uniwekee data zinazosema Kuna WaIsrael laki 8 huko iran

Mwanzo ulisema ni marufuku raia wa Iran kuingia Israel, sasa hivi inassma hairuhusu kiwepesi. Bora lakini umetoa neno "marufuku" maana uliandika uongo

Mkuu Iran aliwezaje kuwa rafiki wa Israel? Ikiwa Imani ya kiislamu hairuhusu Israel kuwa rafiki? Pili Israel kaanza kuua wapalestina kabla ya hiyo 1990, Iran aliwezaje kuunda urafiki na Israel ambae anaua wapelestina alafu hapo Hapo Iran inawapigania wapalestina?
NASIMAMIA MSIMAMO WANGU PALE PALE. IS NEARLY IMPOSSIBLE MUIRAN KUINGIA ISRAEL.
Google unayo mkuu kwanini nikuongopee?? Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kwa middle east kuwa na wayahudi wengi wa ashkenazi. Mkuu simu unayo sio kila kitu uletewe.

HAKUNA SEHEMU IMANI YA KIISLAM INAKATAZA kushirikiana na dini zingine.
Iran ilikua ina ushirikiano wa kidiplomasia na Israel kabla ya 1990.
Hata vita ya Iraq-Iran war aliyempa msaada mkubwa Iran wa silaha na intelijensia ni ISRAEL.
Nenda google huwezi kukosa huo ushahidi.
Malengo ya kidiplomasia yalipobadilika kwa Iran ndipo uhasama baina ya Iran na Israel ukaanza.
Maana Iran ilishabadilisha geopolitical interests dhidi ya Israel. Na Israel ikamuona Iran kuwa ni existential threat.
 
Mkuu hili niwaulize nyie wenyewe ilikiaje Quran ikawaita wayahudi ni maadui zenu?
Huu uadui unathibitika ndio maana nikakuambia huwezi kuta mkaandika zuri lolote kuhusu Israel
Wayahudi walioandikwa kuwa ni maadui ni wanaopinga uislam.

Kuna jema gani ISRAEL amefanya??
Naomba uniorodhoshee chini tafadhali.
 
Hilo hata mimi sikubaliani nalo, lakini kipi kifanyike endapo kuna mtawala anaua sana raia wasio na hatia?
Mtawala yupi anaua raia wasio na hatia???
Kama unazungumzia maandamano basi usijisahaulishe kuwa Iran iliwaita mabalozi wa ullaya na kuwaonesha waleta vurugu wakichoma misikiti,wakichoma hospitali na wakipiga watu risasi.
Je hayo ndio maandamano??
Mbona huzungumzii USA mauaji ya ICE yanayofanyika kwasasa??
Mbona huzungumzii atrocities alizofanya USA Bikini islands za majaribio ya silaha za sumu kwa watu wa Bikini?
Why double standards??
 
In the 1980s and 1990s, Iran acquired Soviet and North Korean missiles and converted them to make its Shahab-1, Shahab-2 and Shahab-3 missiles. Today, Iran produces its own arsenal of ballistic and cruise missiles. How did Iran build up its own domestic missile industry? How has Iran innovated on earlier missile designs?​

The origins of Iran's missile technology were Soviet, North Korean and possibly Chinese. This basic technology was then reverse engineered, enhanced and produced domestically.

Ukija kwangu naomba uje na ushahidi usiniletee mipasho. Makombora ya Iran yote ameyapatia urusi then akaanza kumodify ya urusi.. na kuyabadilissha majina
😂😂😂😂😂😂NIKIKUITA WEWE MPUMBAVU NINAKOSEA??
ULISEMA IRAN WALIENDA URUSI KUSOMA,JE REVERSE ENGINEERING NDIO KUSOMA!???
Hivi unafahamu hata maana ya REVERSE ENGINEERING??
Ili uweze kufanya hiyo reverse engineering lazima uwe na wataalamu wa kisayansi.
Hata USA alifanya reverse engineering ya atomic bomb technology.
Makombora ya Iran na Urusi yako tofauti.
Reverse engineering ni KUFANYA INNOVATION AMA KUUNDA KITU KIPYA KUTOKA KATIKA CHANZO CHA KITU KINGINE sio kufanya modification kama unavyodai.
NASUBIRI USHAHIDI WA IRAN KWENDA KUSOMA URUSI.
 
Sasa wewe nimekuambia niletee Hilo kombora alilorusha Japan badala uje na ushahidi unakuja na mipasho? unafikiri hapa tuko buza ..nioneshe Hilo kombora la Japan acha maneno mengi au upo unafanyiwa kitchen party?
Bundle unalo nenda google kasome kuhusu JAPANESE FUNRYU SURFACE TO AIR MISSILE iliyotumika miaka ya 1940.
 
Nilikuwa sijajua kama ulikuwa ushamjibu huyu jamaa, hivyo nikajikuta nimemjibu hapo chini.

Shukran mkuu kwa ufafanuzi wako.
Huyo kiazi hapo juu francoo1 anakwambia reverse engineering ni ku modify kitu na kubadilisha jina.😂😂😂😂😂😂 Hata maana ya reverse engineering hajui.
Shahed drone iliundwa kwa kufanyiwa reverse engineering ya MQ-9 reaper ya USA. Je MQ-9 features zake zinafanana na shahed drone??
 
Kijana HUNA UNALOJUA HALAFU UNAKUJA KUROPOKA.
-Uhasama wa waarabu na wayahudi wala sio dini.
Wayahudi waliishi Misri,Saudi Arabia,Jordan na Jerusalem kwa wingi tu. Na hata Palestina ilipokua chini ya Ottoman empire wayahudi waliabudu na masinagogi yalijengwa. Hata Ottoman empire ilipopokonywa Palestina 1917 wayahudi waliishi pamoja na waarabu kwa usawa hata sarafu yao ikiwa ina pande mbili,kiebrania na kiarabu. Wayahudi wa NJE hususan kutoka EASTERN EUROPE walifadhili uundwaji wa taifa la Israel kinguvu kwa kufadhili mapinduzi 1919. Hilo UK alilidhibiti na akakataa wayahudi kuunda taifa kwa wakati ule.
Wayahudi walijaribu mapinduzi takriban mara 2 yakafeli.
-1945 Ashkenazi jews kutoka Ujerumani,Poland,Ukraine,Urusi walikuja kwa mashua wakiwa hawana hata ndala na waarabu wakawapokea kwa moyo mmoja. Ila kumbe walikua na ajenda za sirii kwa kununua ardhi kwa wingi na kuunda taifa kisirisiri. 1947 zionism movement ikawa initiated. 1948 ramani ya kwanza ya kugawana ardhi ikatoka. Wayahudi walipewa 56% ya ardhi na waarabu wakapewa 44%. Hiki kitu waarabu hawakukikubali ndio wakaanzisha vita haiwezekani wao wapunjwe ardhi.
HAPO UDINI UKO WAPI??
-Syria ilikua nchi tulivu Israel akaiundia Damascus crisis ikaporomoka mwaka 1958.
-1960 Israel akaleta mgogoro kwa kufadhili vita za kidini Lebanon. Hizbollah ndio waliowaokoa wakristo wasichinjwe kama kuku na masunni ambao walifadhiliwa na Israel.

Kama unazungumzia vita basi kuna vita Israel alipoteza.
-Yom Kippur war Israel alipigwa na Egypt ya Anwar Saddat 9
1973 ndio chanzo cha waziri Golda Meir kujiuzuru.
-2006 Israel ilipigwa na kupokonywa Bint Jubeir na Hizbollah kwa msaada wa Iran.
-2025 June war kila mtu aliona namna Iran ilivyokua ikiigeuza Israel Gaza.

Iran haikuwahi kuwa adui wa Israel hadi mwaka 1990 ambapo Iran ilipoanza kujitegemea kiuchumi na kijeshi. Israel ikaiona kama tishio na kuanza kuiandama Iran. Kama haujui vita ya Iraq na Iran ya 1980-1988 aliyemsaidia kisilaha na kiintelijensia Iran ni ISRAEL.
Je hapo unasemaje ilhali dini zilikua tofauti??
Urafiki wa Iran na Israel ulivunjika kuanzia 1990.
Fuatilieni mambo wacheni ubishi.

KIJANA WACHA UJUAJI MWINGI HUNA UNALOJUA.
Ngoja nikupe darasa shehe

Mgogoro wa Israel na Arabs ni wa kidini 100%. Kama mgogoro huo ungekua ni ardhi basi ungeshaisha muda sana. Hiyo asilimia unayosema ameichukua Israel ni kasehem kadogo sana hapo mashariki ya kati Yani ukikaangalia ni Hadi umulike na tochi.

Iko hivo hapo mashariki ya kati zimezaliwa dini tatu.. Judaism, Christianity na Islam

Judaism ilikuja na Nabii Musa kupitia torati, Christianity kupitia Yesu ikaja Injili ( Huu wote ni uzao wa ahadi wa Ibrahimu) then ikaja Islam kupitia Nabii Muhammad (uzao wa Ibrahimu lakini nje ya ahadi)

Alivokuja Yesu akasema mimi ndo njia ya uzima na kweli na mimi nimetumwa na Baba kwa hiyo hakuna haja ya torati ya Musa Tena Yale mambo ya kuchinja yashapitwa na wakati sababu mimi ndie kafara yenyewe. Bada ya Yesu akaja Muhammad nae akaja na utume wake na akasema Musa na Yesu (Issa bin Mariam) wale ni manabii tu ila mimi ndo Nabii wa mwisho na WA ukweli na hapatakua Tena na Nabii zaidi yangu mimi.

Hii inamaanisha nini:
Muhammad alikua anamaanisha kwamba Uislam ndio dini inayotakiwa itawale juu ya ukristo na uyahudi. Na ndio maana Al Aqsa ikajengwa lilipojengwa hekalu la suleimaani Ili kuonesha uhalali huo. Sasa ikitokea ikaonekana ukristo na uyahudi unatawala juu ya Uislam basi hapo kwa maana ingine Muhammad kadanganya. Hili ni tatizo kubwa kwa waarabu.

Sasa nakujibu hoja zako:
Ni kweli kwamba wayahudi wameishi na waislamu mashariki ya kati miaka mingi sana Tena wakiwa wamejenga na masinagogi yao. Lakini hawakua na nguvu yeyote.. Islam ilienezwa kwa upanga ikasambaa kote mashariki ya kati na hivo ndo ikawa yenye nguvu. wayahudi mashariki ya kati walitawanywa sehem mbalimbali duniani hapo mashariki ya kati wakabaki kama theluthi Moja tu ya population yao. Hivo kwa hapo waarabu hawakua na ugomvi wowote na wayahudi sababu walikuwa ni jamii ya minority isiyo na nguvu yeyote.

Wayahudi baada ya kuzunguruka Dunia nzima na kupata mateso huko ugenini wakaja kujua kumbe wana kwao ardhi ya mababu zao, wakaanzisha movement ya kurudi kwao. TATIZO LIKAANZIA HAPA.

Yule aliekua anajiona mtawala wa wenzake Sasa akaanza kutawaliwa. Je unafikiri hata kama ni wewe ungekubali? Islam ilivoona Jews imepata taifa rasmi mwaka 1948 ikaanzisha vita na uhasama dhidi ya taifa Hilo sababu iliona Uislamu hautatawala Tena Mashariki ya kati Bali ni Uyahudi utachukua hatamu uliokua nayo mwanzo. Uyahudi unataka kubomoa msikiti wa al Aqsa Ili ujenge hekalu lao like la zamani.
hapo lazima ni kwa njia ya vita. Mwenye nguvu ndo anabeba mali.
Hii ni ishara mbaya kwa Islam maana Uyahudi ukiwa juu ya Uislam ni kwamba Muhammad ataonekana sio Nabii wa Mungu

So Acha kupotosha
 
Hata kiimani waislam waliwatetea wayahudi toka Makkah na Madina hata dola iliyowaokoa wayahudi wasiuliwe na wababeli ilikua dola ya waajemi.

Mkuu wacha ubishi. Fuatilia historia LINI IRAN ALIANZA KUSEMA ANA MPANGO WA KUIFUTA ISRAEL. Je kabla ya. 1990 Iran walisema hivyo??
Iran hawana particular motive dhidi ya Israel. ILA UKOROFI WA ISRAEL UNAWAFANYA IRAN WAWE NA MOTIVE JUU YAO. Hizo kauli na hizo motives ni athari ya uchokozi kwa Iran tangu 1990.
Jaribu kunisoma kwa makini ili unielewe bro.

Sikusema mimi kuwa Khomeini aliungana na wakristo kusherehekea Xmass umenilisha maneno. Onesha niliposema hivyo.
Na hakuna asiyejua kuwa Israel wakristo hunyanyaswa na hadi kutemewa mate. Nenda hata google katafute Israel spit attack against christians utakuta mara kibao wamefanyiwa hivyo.
Ilhali Iran kuna uhuru wa kuabudu dini zote.

Nimesema nchi ya pili sio yatatu.
Na nimekusudia nchi ya pili kwa ukanda wa MIDDLE EAST sio duniani kote.
Au kunasehemu nimetaja duniani mkuu!??
Pia wayahudi waliopo Iran SIO ASILI YA UAJEMI BIG NO!!
Ni asili ya ASHKENAZI JEWS. Wala sio asili ya persia.
Ndio maana hata vita ya 12 days war wayahudi raia wa Iran walilalamika kuwa uhasama wa Netanyahu unawaharibia maisha waliyoanzisha Iran kwa utulivu.
Kama asili yao ni uajemi kwanini waseme hivyo!??
Umejibu comment ambayo ilikua inamjibu 6pack na sio wewe, 6 pack ndiye alikuja na hayo ya Khomeini na population ya wayahudi world wide

Unaposema Iran ilianza uadui na Israel 1990 hapo tunarudi palepale. Israel alianza kuua palestina kabla ya 1990, kwa nini Iran aanze uadui baada ya 1990? Nilikuuliza pia huu uadui umeamrishwa kwenye Quran, Quran ilianza 1990? Au Iran wao hawafuati maandiko ya Quran?
 
Hakuna porojo ambazo nimeongea. Hadi sasa HUNA FACT YEYOTE ULIYOONGEA.
Aliyeanza kumkorofisha Iran ni Israel kuanzia 1990,nenda kafuatilie google unayo Netanyahu alianza kuua wanasayansi wa silaha wa Iran,baadae akaanza kuua wanasayansi wa nuclear wa Iran. Wakati huo Iran alikaa kimya hakuanzisha ukorofi wowote.
1995 akapeleka nyaraka za uongo UN akidai Iran inaunda mabomu ya nuclear.
Zote hizi espionages.

Hamas waliundwa 2005 na Israel ili kuvunja nguvu ya PLO isitawale Gaza. Ila Hamas waliingia roho za kizalendo na kutaka Gaza itawaliwe na wao na sio Israel. Hapo uhasama ndio ukaanza baina ya Hamas na Israel.
Unazungumzia vikundi vya kigaidi?? Unasahau Israel aliunda ISIS kuidhoofisha Syria na anawapa silaha Wakurdi ili kudhoofisha usalama wa mipakani mwa Syria,Iraq na Iran. Je hili hulijui!??

Hizbollah ni kundi linaloheshimika na kupendwa Lebanon. Hizbollah ndio waliosaidia Lebanon wasiporwe ardhi ya Bint Jubeir 2006 na Israel. UNAWAITAJE MAGAIDI?? Serikali ya Lebanon inawaheshimu wewe unawaita magaidi? UNAJIELEWA WEWE MPUMBAVU!??
Hezbollah ni proxy ya Iran kwa asilimia 100 na ilianzishwa kwa lengo la Iran kupambana na Israel, baada ya waarabu kuhangaika njia zote za kuifuta Israel na kugonga mwamba Sasa akajaribu kuinuka Iran Ili na yeye apamband na Israel, kumbuka kabla ya Iran yalishainuka mataifa mengi sana na yote yakashindwa.. walianza misri, Syria na Jordan wakaangukia
Hakuna porojo ambazo nimeongea. Hadi sasa HUNA FACT YEYOTE ULIYOONGEA.
Aliyeanza kumkorofisha Iran ni Israel kuanzia 1990,nenda kafuatilie google unayo Netanyahu alianza kuua wanasayansi wa silaha wa Iran,baadae akaanza kuua wanasayansi wa nuclear wa Iran. Wakati huo Iran alikaa kimya hakuanzisha ukorofi wowote.
1995 akapeleka nyaraka za uongo UN akidai Iran inaunda mabomu ya nuclear.
Zote hizi espionages.

Hamas waliundwa 2005 na Israel ili kuvunja nguvu ya PLO isitawale Gaza. Ila Hamas waliingia roho za kizalendo na kutaka Gaza itawaliwe na wao na sio Israel. Hapo uhasama ndio ukaanza baina ya Hamas na Israel.
Unazungumzia vikundi vya kigaidi?? Unasahau Israel aliunda ISIS kuidhoofisha Syria na anawapa silaha Wakurdi ili kudhoofisha usalama wa mipakani mwa Syria,Iraq na Iran. Je hili hulijui!??

Hizbollah ni kundi linaloheshimika na kupendwa Lebanon. Hizbollah ndio waliosaidia Lebanon wasiporwe ardhi ya Bint Jubeir 2006 na Israel. UNAWAITAJE MAGAIDI?? Serikali ya Lebanon inawaheshimu wewe unawaita magaidi? UNAJIELEWA WEWE MPUMBAVU!??
Hezbollah ni kikundi Cha kigaidi na kilianzishwa na Iran mwaka 1982 kama proxy ya Iran kupambana na Israel. baada ya Israel kua taifa mwaka 1948 mataifa jirani yote kama Egypt Syria na Jordan yalijounga na kuivamia lakini yalishindwa, badala yake Israel ndo akazidi kuongeza maeneo. Hasara walizokua aanapata Waarabu zilikua ni kubwa sana rejea Egypt alipoteza Sinai. Waarabu walivoona hawawezi kudeal na israel kwa mfumo wa jeshi la nchi basi ndo wakaanza kutengeneza vikundi vya wanamgambo vya kigaidi kupambana na Israel.. na hapa ndo kikazaliwa kikundi Cha Arafat na Hezbollah. so Hezbollah iliaanziahwa na Iran kabla hata Israel hajaanza kuishambulia Iran. Sasa hapo unafikiri mchokozi ni nani?
 
NASIMAMIA MSIMAMO WANGU PALE PALE. IS NEARLY IMPOSSIBLE MUIRAN KUINGIA ISRAEL.
Google unayo mkuu kwanini nikuongopee?? Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kwa middle east kuwa na wayahudi wengi wa ashkenazi. Mkuu simu unayo sio kila kitu uletewe.

HAKUNA SEHEMU IMANI YA KIISLAM INAKATAZA kushirikiana na dini zingine.
Iran ilikua ina ushirikiano wa kidiplomasia na Israel kabla ya 1990.
Hata vita ya Iraq-Iran war aliyempa msaada mkubwa Iran wa silaha na intelijensia ni ISRAEL.
Nenda google huwezi kukosa huo ushahidi.
Malengo ya kidiplomasia yalipobadilika kwa Iran ndipo uhasama baina ya Iran na Israel ukaanza.
Maana Iran ilishabadilisha geopolitical interests dhidi ya Israel. Na Israel ikamuona Iran kuwa ni existential threat.
Ungesema toka mwanzo unamaanisha kwa middle East basi tusingebishana. Uliweka kama vile jambo la jumla nchi zote

Sijasema Imani ya kiislamu inakataza kushirikiana na Imani zingine, nilichosema uislam kupitia Quran umewataja wayahudi Kama maadui wa uislam. Nikakuambia hili linathibitika sababu hata wewe huwezi kuisema Israel kwa zuri lolote

Pia nadhani usisahau nikichokuomba, ulisema Kuna WaIsrael laki 8 kule Iran. Naomba taarifa hiyo au data hizo ulipozitoa
 
Wayahudi walioandikwa kuwa ni maadui ni wanaopinga uislam.

Kuna jema gani ISRAEL amefanya??
Naomba uniorodhoshee chini tafadhali.
Wanaopinga uislam ni wayahudi tu?
Kama ni kwa wale wanaopinga tu vipi tena mnachukia wote?

Unataka kusema Israel hawana jema lolote? Kuna program kama za kilimo ambazo huzifanya kushirikiana na Tanzania, Kenya, zambia na wengine, Kuna agricultural knowledge huwa transferred
 
Mtawala yupi anaua raia wasio na hatia???
Kama unazungumzia maandamano basi usijisahaulishe kuwa Iran iliwaita mabalozi wa ullaya na kuwaonesha waleta vurugu wakichoma misikiti,wakichoma hospitali na wakipiga watu risasi.
Je hayo ndio maandamano??
Mbona huzungumzii USA mauaji ya ICE yanayofanyika kwasasa??
Mbona huzungumzii atrocities alizofanya USA Bikini islands za majaribio ya silaha za sumu kwa watu wa Bikini?
Why double standards??
Mkuu umejibu comment ambayo ilikua haihusiani na Iran. Hiyo comment ilikua inahusiana na Venezuela

Kuhusu USA, Kama ikitokea kuna nchi itaenda kuwapiga na kumkamata Trump basi kwangu mimi nitaona sawa pia kutokana na waliyoyafanya. Usifikiri USA kwangu ni exceptional
 
😂😂😂😂😂😂NIKIKUITA WEWE MPUMBAVU NINAKOSEA??
ULISEMA IRAN WALIENDA URUSI KUSOMA,JE REVERSE ENGINEERING NDIO KUSOMA!???
Hivi unafahamu hata maana ya REVERSE ENGINEERING??
Ili uweze kufanya hiyo reverse engineering lazima uwe na wataalamu wa kisayansi.
Hata USA alifanya reverse engineering ya atomic bomb technology.
Makombora ya Iran na Urusi yako tofauti.
Reverse engineering ni KUFANYA INNOVATION AMA KUUNDA KITU KIPYA KUTOKA KATIKA CHANZO CHA KITU KINGINE sio kufanya modification kama unavyodai.
NASUBIRI USHAHIDI WA IRAN KWENDA KUSOMA URUSI.
list of early iranian missile engineering who studied in russia

Based on reports regarding the development of Iran's missile program and its reliance on foreign expertise in the 1990s and early 2000s, several Iranian scientists, engineers, and technical personnel received training or education in Russia. Many were associated with technical universities, the Shahid Hemmat Industrial Group (SHIG), or the Organization of Defensive Innovation and Research (SPND).

  • Ali Bakouei Ketrimi (Bakouei): Earned a PhD from Moscow State University in 2004 specializing in nuclear physics and elementary particles. He was a senior figure in Iranian missile systems and explosives, acting as the scientific representative for Iranian students in Russia, Belarus, and Central Asia from 2007 to 2010.
  • Abdolhamid Minouchehr: Received his PhD in Engineering from the Moscow Engineering Physics Institute (MEPhI) in 1998. He specialized in neutron transport, reactor physics, and nuclear simulation, later working at Shahid Beheshti University and aiding the Ministry of Defense.
  • Mohammad Mahdi Tehranchi: Completed his PhD in theoretical physics at the Moscow Institute of Physics and Technology in 1997. He was a key figure in the Amad Plan (Project 110), overseeing diagnostic projects, and later became a president of major Iranian universities.
  • Saeed Borji Kazeruni: Had a PhD in mechanical engineering and was involved in high-explosive tests at the Parchin site. He received training in the manufacture of detonators, often working with Russian and other foreign experts.
  • Mansour Asgari: A founder of Iran's nuclear industry and close colleague of Mohsen Fakhrizadeh, he was involved in early 2000s projects, including explosives and detonators, with a background in physics.
 
Shehe ubwabwa nimesema Iran walipata technology zao za kwanza urusi, then wakapeleka vijana kusoma urusi wakarudi kwao na kuanza kuzifanyia kazi missile walizokua nazo pia walileta wataalamu kutoka hizo nchi. Hapo Sasa wakaanza kuedit Yale makombora ya urusi na kutengeneza ya kwao

HAO HAPO BAADHI YA WATAALAMU WALIOSOMA URUSI
Based on reports regarding the development of Iran's missile program and its reliance on foreign expertise in the 1990s and early 2000s, several Iranian scientists, engineers, and technical personnel received training or education in Russia. Many were associated with technical universities, the Shahid Hemmat Industrial Group (SHIG), or the Organization of Defensive Innovation and Research (SPND).
  • Ali Bakouei Ketrimi (Bakouei): Earned a PhD from Moscow State University in 2004 specializing in nuclear physics and elementary particles. He was a senior figure in Iranian missile systems and explosives, acting as the scientific representative for Iranian students in Russia, Belarus, and Central Asia from 2007 to 2010.
  • Abdolhamid Minouchehr: Received his PhD in Engineering from the Moscow Engineering Physics Institute (MEPhI) in 1998. He specialized in neutron transport, reactor physics, and nuclear simulation, later working at Shahid Beheshti University and aiding the Ministry of Defense.
  • Mohammad Mahdi Tehranchi: Completed his PhD in theoretical physics at the Moscow Institute of Physics and Technology in 1997. He was a key figure in the Amad Plan (Project 110), overseeing diagnostic projects, and later became a president of major Iranian universities.
  • Saeed Borji Kazeruni: Had a PhD in mechanical engineering and was involved in high-explosive tests at the Parchin site. He received training in the manufacture of detonators, often working with Russian and other foreign experts.
  • Mansour Asgari: A founder of Iran's nuclear industry and close colleague of Mohsen Fakhrizadeh, he was involved in early 2000s projects, including explosives and detonators, with a background in physics.
 
Bundle unalo nenda google kasome kuhusu JAPANESE FUNRYU SURFACE TO AIR MISSILE iliyotumika miaka ya 1940.
Shehe ubwabwa hiyo misile ya kijapan ilitumika wapi ebu nitajie vita ambayo hiyo missile imetumika mbona umezoea sana mipasho? Kidume pekee eliyerusha kombora vita ya pili ya Dunia ni ujerumani.

Vipi mbona kama umepaniki au leo umekula ya mafuta nini? Maana naanza kukuona Sasa akili zinaanza kuwaza kama nguruwe ukila bana mwambie mangi awe anaikausha kidogo
 
list of early iranian missile engineering who studied in russia

Based on reports regarding the development of Iran's missile program and its reliance on foreign expertise in the 1990s and early 2000s, several Iranian scientists, engineers, and technical personnel received training or education in Russia. Many were associated with technical universities, the Shahid Hemmat Industrial Group (SHIG), or the Organization of Defensive Innovation and Research (SPND).

  • Ali Bakouei Ketrimi (Bakouei): Earned a PhD from Moscow State University in 2004 specializing in nuclear physics and elementary particles. He was a senior figure in Iranian missile systems and explosives, acting as the scientific representative for Iranian students in Russia, Belarus, and Central Asia from 2007 to 2010.
  • Abdolhamid Minouchehr: Received his PhD in Engineering from the Moscow Engineering Physics Institute (MEPhI) in 1998. He specialized in neutron transport, reactor physics, and nuclear simulation, later working at Shahid Beheshti University and aiding the Ministry of Defense.
  • Mohammad Mahdi Tehranchi: Completed his PhD in theoretical physics at the Moscow Institute of Physics and Technology in 1997. He was a key figure in the Amad Plan (Project 110), overseeing diagnostic projects, and later became a president of major Iranian universities.
  • Saeed Borji Kazeruni: Had a PhD in mechanical engineering and was involved in high-explosive tests at the Parchin site. He received training in the manufacture of detonators, often working with Russian and other foreign experts.
  • Mansour Asgari: A founder of Iran's nuclear industry and close colleague of Mohsen Fakhrizadeh, he was involved in early 2000s projects, including explosives and detonators, with a background in physics.
Uliowaleta hapa wote wamesoma NUCLEAR SCIENCE. Yani wote wako related kwenye NUCLEAR SCIENCE.
Na hili ndilo nilokwambia kuwa elimu ambayo Iran alipewa na Urusi ni nuclear tu.
NATAKA USHAHIDI WA IRAN KUFUNDISHWA AMA KUSOMEA kuhusu uundwaji wa silaha kutoka Urusi. Hii ndio main point. USIPINDISHE MADA.
 
Back
Top Bottom