Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

Nioneshe kombora ambalo hizo nchi zingine ziliunda au Japan iliunda na kurusha vita ya pili ya Dunia... Nchi ya kwanza kurusha kombora duniani ni ujerumani ya hilter, rejea kombora la V2.. bada ya ujerumani kufeli vita Marekani na Urusi wakaiba wale wanasayansi na wahandishi wa project ya V2 na hivo wakaenda kufanya kazi kwenye nchi zao na ndio maana hizo nchi mbili zimefanikiwa sana kwenye space technology na missile technology.
Wacha ubishi dogo!!
Japan ilishaunda maroketi na makombora ya masafa mafupi kabla hata ya vita ya pili ya dunia.
Google mnazo mbona hamzitumii!?
Na kama haujui miongoni mwa mataifa ambayo yaliendelea kiteknolojia ya kale ya silaha na masuala mbali mbali ni Japan.
Hata sasa Japanese-Americans ndio wanainufaisha sana USA kiteknolojia.
Endelea kukaza fuvu.
 
Lengo la Israel ni kuangusha utawala wenye nguvu wa Iran ili Israel ibaki nchi pekee yenye nguvu ukanda wa mashariki ya kati.
Iran haijawahi kuwa na lengo mahususi kwa Israel,bali uchokozi wa Israel unailazimisha Iran iunde uhasama kwa Israel.
Ukitaka kuhakikisha hilo Iran inamruhusu myahudi hata alotoka leo Israel apate uraia Iran. Ila Israel ni MARUFUKU kumpa hata visa mtu asili ya Iran.
Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?
Uchokozi wa Israel ndio unafanya Iran iunde uhasama? Huu uhasama mbona upo hata kiimani zaidi? Israel ni adui wa muislam, hivi ndivyo maandiko ya uislam yalivyo.

Iran na Israel zote raia wanaenda, lakini with high level of screening. Usijiongopee kuwa muisrael kupata visa Iran ni rahisi, hivyo hivyo pia kwa Israel

WaIran waliopo Israel ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran.

Disclaimer: ninajadili haya nikiwa najua hamruhusiwi kuisifia au kuiandika Israel vizuri kwa lolote.
Lakini haizuii mjadala Kama hu kufanyika. Yapo nayojua na wewe pia yapo unayojua hivyo tunabadilishana ideas
 
Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.
Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kuwa na wayahudi wengi.
Sensa inasema Iran kuna raia wa kiyahudi wapatao LAKI NANE.
Je Israel wanafika raia laki nane asili ya Iran!?
Israel haruhusu raia asili ya Iran kuingia kiwepesi kwake.

Iran aliwahi kuwa rafiki na Israel miaka ya nyuma. Katika miaka yote Iran hakuwahi kufikiria kuunda uhasama na Israel. Aliyeanza uhasama alikua Netanyahu miaka ya 1990s akiiundia espionage Iran. Na pale alipoanza kuua wanazuoni wake ndipo uhasama ukazidi zaidi.
Mkuu usipende kuongopa.
Eti "Israel kuna wairan wengi kuliko waisrael walio Iran"!? Be serious. bro.
 
Hata kiimani waislam waliwatetea wayahudi toka Makkah na Madina hata dola iliyowaokoa wayahudi wasiuliwe na wababeli ilikua dola ya waajemi.
 
Mkuu unapinga uongo ikiwa unaandika uongo wazi? Iran ni nchi ya pili kuwa na wayahudi wengu baada ya Israel, unasema wapo laki 8??
Hivi unafahamu kuwa marekani Kuna wayahudi zaidi ya milion 7?
Pia ninaomba uniwekee data zinazosema Kuna WaIsrael laki 8 huko iran

Mwanzo ulisema ni marufuku raia wa Iran kuingia Israel, sasa hivi inassma hairuhusu kiwepesi. Bora lakini umetoa neno "marufuku" maana uliandika uongo

Mkuu Iran aliwezaje kuwa rafiki wa Israel? Ikiwa Imani ya kiislamu hairuhusu Israel kuwa rafiki? Pili Israel kaanza kuua wapalestina kabla ya hiyo 1990, Iran aliwezaje kuunda urafiki na Israel ambae anaua wapelestina alafu hapo Hapo Iran inawapigania wapalestina?
 
Tukiacha ushabiki wa kijinga Iran anastahili pongezi sana na kadiri wanavyomwekea vikwazo anatoboa.
Nimekuja kuwa dharau sana U.S na washirika wake tangu nimeufahamu ukweli huwez kuingia nchi kama Venezuela ukamkamat rais hizo ni dharau za kijinga
 
Hata kiimani waislam waliwatetea wayahudi toka Makkah na Madina hata dola iliyowaokoa wayahudi wasiuliwe na wababeli ilikua dola ya waajemi.
Mkuu hili niwaulize nyie wenyewe ilikiaje Quran ikawaita wayahudi ni maadui zenu?
Huu uadui unathibitika ndio maana nikakuambia huwezi kuta mkaandika zuri lolote kuhusu Israel
 
Tukiacha ushabiki wa kijinga Iran anastahili pongezi sana na kadiri wanavyomwekea vikwazo anatoboa.
Nimekuja kuwa dharau sana U.S na washirika wake tangu nimeufahamu ukweli huwez kuingia nchi kama Venezuela ukamkamat rais hizo ni dharau za kijinga
Hilo hata mimi sikubaliani nalo, lakini kipi kifanyike endapo kuna mtawala anaua sana raia wasio na hatia?
 
Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?
Acha maneno ya vijiweni, na kwenye maskani zenu za gongo. Wapi na lini Iran ilisema itaifuta Israel?

Unaweza kutuwekea ushahidi wa maneno au maandishi ya kiongozi yoyote wa Iran akitamka hayo maneno?

Mimi nina uhakika ushahidi hauna. Wewe ni wale ambao kuchukua maneno ya vijiweni, haswa ya uongo na kuyaleta huku JF mkifikiri kuwa kila alie humu anaweza kulishwa matango pori kama mnavyolishwa nyinyi na watu wenye ajenda zao za hovyo.
Uchokozi wa Israel ndio unafanya Iran iunde uhasama? Huu uhasama mbona upo hata kiimani zaidi? Israel ni adui wa muislam, hivi ndivyo maandiko ya uislam yalivyo.
Hapo kwenye mambo ya dini mtajuana wenyewe wafia dini. Ila Israel wakristo ni wachache mno ulinganisha na dini nyingine kama Uyahudi na uislam.

Lakini pia mwaka jana Ayatollah Khomeini aliungana na wakristo wa Iran kusherehekea sikukuu ya Christmas. Ila sidhani kama Netanyahu anaweza kupoteza muda wake kuungana na wakristo kusherehekea Christmas.
Iran na Israel zote raia wanaenda, lakini with high level of screening. Usijiongopee kuwa muisrael kupata visa Iran ni rahisi, hivyo hivyo pia kwa Israel
Yah hii nakubaliana na wewe. Ila hii imekuwa hivyo kwa sababu ya maswala ya kiusalama kwa nchi zote mbili.
WaIran waliopo Israel ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran.
Ndiomaana nimesema wewe unaleta maneno ya kwenye vijiwe vyenu vya gongo. Ni nani aliekudanganya kuwa Israel wairani ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran?

Unaweza kuweka ushahidi au ndio unajaribu kutulisha vile ulivyolishwa wewe yani matango pori ya miba?

Kwa taarifa yako Iran ni nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi hapa duniani baada ya Israel, Marekani kisha Iran. Tena ni wazawa na wana haki sawa na raia wengine wa Iran. Ukimgusa myahudi wa Iran hapo umemgusa Ayatollah. Atakushambulia mpaka uombee poo kama Netanyahu.

Nakuwekea ushahidi huo hapo pichani. Sio wewe unaleta habari za kahawani ambazo hazina ushahidi wowote.
Disclaimer: ninajadili haya nikiwa najua hamruhusiwi kuisifia au kuiandika Israel vizuri kwa lolote.
Lakini haizuii mjadala Kama hu kufanyika. Yapo nayojua na wewe pia yapo unayojua hivyo tunabadilishana ideas
Muda mungine unapotaka kuandika mambo usiyoyajua ni vizuri ukaja chemba kutuuliza wakongwe na wafuatiliaji wazuri wa mambo husika tukwambie kila kitu, kisha ndo uje uandike, badala ya kukimbilia kuandika usiyoyajua matokeo yake unabaki uchi unaumbuka mzima mzima mbele ya wasomaji wengine.
FB_IMG_1766639188046.jpg
Screenshot_20260201-205031.png
 
Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.
Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kuwa na wayahudi wengi.
Sensa inasema Iran kuna raia wa kiyahudi wapatao LAKI NANE.
Je Israel wanafika raia laki nane asili ya Iran!?
Israel haruhusu raia asili ya Iran kuingia kiwepesi kwake.

Iran aliwahi kuwa rafiki na Israel miaka ya nyuma. Katika miaka yote Iran hakuwahi kufikiria kuunda uhasama na Israel. Aliyeanza uhasama alikua Netanyahu miaka ya 1990s akiiundia espionage Iran. Na pale alipoanza kuua wanazuoni wake ndipo uhasama ukazidi zaidi.
Mkuu usipende kuongopa.
Eti "Israel kuna wairan wengi kuliko waisrael walio Iran"!? Be serious. bro.
Nilikuwa sijajua kama ulikuwa ushamjibu huyu jamaa, hivyo nikajikuta nimemjibu hapo chini.

Shukran mkuu kwa ufafanuzi wako.
 
Acha maneno ya vijiweni, na kwenye maskani zenu za gongo. Wapi na lini Iran ilisema itaifuta Israel?

Unaweza kutuwekea ushahidi wa maneno au maandishi ya kiongozi yoyote wa Iran akitamka hayo maneno?

Mimi nina uhakika ushahidi hauna. Wewe ni wale ambao kuchukua maneno ya vijiweni, haswa ya uongo na kuyaleta huku JF mkifikiri kuwa kila alie humu anaweza kulishwa matango pori kama mnavyolishwa nyinyi na watu wenye ajenda zao za hovyo.

Hapo kwenye mambo ya dini mtajuana wenyewe wafia dini. Ila Israel wakristo ni wachache mno ulinganisha na dini nyingine kama Uyahudi na uislam.

Lakini pia mwaka jana Ayatollah Khomeini aliungana na wakristo wa Iran kusherehekea sikukuu ya Christmas. Ila sidhani kama Netanyahu anaweza kupoteza muda wake kuungana na wakristo kusherehekea Christmas.

Yah hii nakubaliana na wewe. Ila hii imekuwa hivyo kwa sababu ya maswala ya kiusalama kwa nchi zote mbili.

Ndiomaana nimesema wewe unaleta maneno ya kwenye vijiwe vyenu vya gongo. Ni nani aliekudanganya kuwa Israel wairani ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran?

Unaweza kuweka ushahidi au ndio unajaribu kutulisha vile ulivyolishwa wewe yani matango pori ya miba?

Kwa taarifa yako Iran ni nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi hapa duniani baada ya Israel, Marekani kisha Iran. Tena ni wazawa na wana haki sawa na raia wengine wa Iran. Ukimgusa myahudi wa Iran hapo umemgusa Ayatollah. Atakushambulia mpaka uombee poo kama Netanyahu.

Nakuwekea ushahidi huo hapo pichani. Sio wewe unaleta habari za kahawani ambazo hazina ushahidi wowote.

Muda mungine unapotaka kuandika mambo usiyoyajua ni vizuri ukaja chemba kutuuliza wakongwe na wafuatiliaji wazuri wa mambo husika tukwambie kila kitu, kisha ndo uje uandike, badala ya kukimbilia kuandika usiyoyajua matokeo yake unabaki uchi unaumbuka mzima mzima mbele ya wasomaji wengine.View attachment 3537697View attachment 3537698
Mkuu umekuja kujibu kwa jazba sana alafu umejibu vitu usvyofahamu.nitakujibu kwa usahihi
1) Sio kiongozi mmoja tu wapo wengi wanaossma wana lengo la kuifuta Israel.
Ushahidi
Huyu ni general wa jeshi

Raisi Mahmoud Ahmednejad alisema hili pia

Ukitaka hata viongozi zaidi ya 10 waliosema hivyo niambie nikuletee

2) unasema Ayatollah Khomeini aliungana na wakristo kusheherekea Christmas Ila Netanyahu hawezi kufanya hivyo? Kwanza nikurekebishe huyo sio Ayatollah Khomeini, Ayatollah Khomeini alishafariki. Huyo ni Khamenei
Kuhusu Christmas, Netanyahu alifanya hivyo

View: https://www.youtube.com/watch?v=h1NKcqCwpE8

3) unasema Iran ni nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi duniani? Mkuu hili mbona mnalichanganya?shida nini?
Picha uliyoweka hiyo ni Iranian Jews(wayahudi wenye asili ya Iran). Mfano wake tuseme wamarekani au waingereza wenye asili ya Africa. Ulichoweka sio wayahudi wote bali ni wale wenye asili ya Iran. Naamini umeelewa vyema. Turudui kwenye hoja
Iran sio nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi. Hivi unajua marekani Ina wayahudi wengi kuliko hata Israel? Marekani kuna wayahudi zaidi ya mil 7.4
Nakuwekea uthibitisho wa nchi zenye wayahudi wengi duniani, Iran imepitwa hadi na south Africa. South Africa wapo 50k
Screenshot_20260201-230804_1.jpg

Unaweza kusoma mwenye kupitia link hii
 
Nilikuwa sijajua kama ulikuwa ushamjibu huyu jamaa, hivyo nikajikuta nimemjibu hapo chini.

Shukran mkuu kwa ufafanuzi wako.
Umejibu vitu usivyivijua. Naamini umeyaelewa majibu yangu kama bado basi tunaweza kuendelea
 
Uchumi wa Israel ni kupewa kila kitu na wazungu (Marekani)
Yani haina tofauti na nchi zetu za shithole zinazotegemea kila kitu kutoka nje.

Israel ni nchi ambayo inashindwa kukusanya hata bajeti yake ya ulinzi. Halaf wewe unaandika upuuzi hapa.

Angalia wamaoisaidia Israel ambayo unaifananisha na Iran inayojitegemea yenyewe kijeshi na kiuchumi.

Israel nchi ya hovyo inayoishi kwa misaada kama shithole country like Malawi au Burundi tu.
View attachment 3537140
Israel's GDP, estimated at over $600 billion in 2025, is heavily driven by its advanced technology sector, which contributes roughly 20% to the total GDP and 56% of exports. The economy is sustained by high private consumption (50.8% of GDP), significant investment (24.6% of GDP), and a high-tech-focused service sector, with 2026 growth forecasted around 4.9%.

Uchumi wa Israel unachangiwa na technolojia zake anazouza nje ya nchi .. hicho anachopewa ni asilimia ngapi ya bajeti yake embu jibu
 
Wacha ubishi dogo!!
Japan ilishaunda maroketi na makombora ya masafa mafupi kabla hata ya vita ya pili ya dunia.
Google mnazo mbona hamzitumii!?
Na kama haujui miongoni mwa mataifa ambayo yaliendelea kiteknolojia ya kale ya silaha na masuala mbali mbali ni Japan.
Hata sasa Japanese-Americans ndio wanainufaisha sana USA kiteknolojia.
Endelea kukaza fuvu.
Sasa wewe nimekuambia niletee Hilo kombora alilorusha Japan badala uje na ushahidi unakuja na mipasho? unafikiri hapa tuko buza ..nioneshe Hilo kombora la Japan acha maneno mengi au upo unafanyiwa kitchen party?
 
BRO ubishi wako wa kijinga utanifanya niache kujadiliana na wewe.
IRAN HAIPELEKI WATU WAKE KUSOMA URUSI. Iran ina uhusiano wa kiteknolojia na kielimu na China. Tena huitwa maprofesa wa China kuongeza ujuzi pale pale Iran.
IRAN KWA URUSI IMEJIFUNZA NUCLEAR SCIENCE PEKE YAKE.
Iran ilianza missile and drone production tangu 1990 bila usaidizi wa URUSI.
Hivi unajua kama teknolojia ya HYPERSONIC MISSILE Iran ndio aliyoi advance??
Ndio maana Korea Kaskazini aliwaita wanasayansi wa Iran wawasaidie kuunda hypersonic missile. Kwanini hakuwaita wanasayansi wa URUSI!??
Suicide drone Urusi amejifunza kwa Iran. Shahed drone zina teknolojia anbayo Mrusi hakuwahi kuwaza kama kile kitu kinaweza kufanywa na Iran.
Iran inaunda Air defense system yake ya kwanza Khordak-5 pasi na usaidizi wa Urusi. Urusi wanapeleka s300 inaenda kuwa out-smarted na khordak-5 kiufanisi.
Wachaga ubishi bro.Nenda kasome evolution ya missile technology ya Iran.
Hadi sasa Iran inaunda missile ya mach-17 niambie Urusi ameshaunda hilo kombora la mach-17 hadi sasa!?

Israel ina fictious economy kama uchumi wa hisa.
Israel inapokea $4 billions annually for millitary budget na more than $30 billions for other government budget.
Nenda GOOGLE andika "USA financial aids to Israel". Isipokuletea nakuwa mkristo leo leo.
Wacha ubishi wa kipumbavu.

In the 1980s and 1990s, Iran acquired Soviet and North Korean missiles and converted them to make its Shahab-1, Shahab-2 and Shahab-3 missiles. Today, Iran produces its own arsenal of ballistic and cruise missiles. How did Iran build up its own domestic missile industry? How has Iran innovated on earlier missile designs?​

The origins of Iran's missile technology were Soviet, North Korean and possibly Chinese. This basic technology was then reverse engineered, enhanced and produced domestically.

Ukija kwangu naomba uje na ushahidi usiniletee mipasho. Makombora ya Iran yote ameyapatia urusi then akaanza kumodify ya urusi.. na kuyabadilissha majina
 
Lengo la Israel ni kuangusha utawala wenye nguvu wa Iran ili Israel ibaki nchi pekee yenye nguvu ukanda wa mashariki ya kati.
Iran haijawahi kuwa na lengo mahususi kwa Israel,bali uchokozi wa Israel unailazimisha Iran iunde uhasama kwa Israel.
Ukitaka kuhakikisha hilo Iran inamruhusu myahudi hata alotoka leo Israel apate uraia Iran. Ila Israel ni MARUFUKU kumpa hata visa mtu asili ya Iran.
Iran anasapoti vikundi vya kigaidi vya hamas na Hezbollah ambavo mashehe wake wametangaza hadharani kwamba wanataka kuiangamiza Israel (kama unabisha sema niwekee ushahidi mi Sina porojo kama wewe naongea kwa data) Iran pia viongozi wake mfano Mahmud Ahmed nejad alishasema hadharani hivo hivo. Sasa ukiangalia hapa mchokozi ni nani?
Sasa kwa nini asishughulikiwe?
 
Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.
Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kuwa na wayahudi wengi.
Sensa inasema Iran kuna raia wa kiyahudi wapatao LAKI NANE.
Je Israel wanafika raia laki nane asili ya Iran!?
Israel haruhusu raia asili ya Iran kuingia kiwepesi kwake.

Iran aliwahi kuwa rafiki na Israel miaka ya nyuma. Katika miaka yote Iran hakuwahi kufikiria kuunda uhasama na Israel. Aliyeanza uhasama alikua Netanyahu miaka ya 1990s akiiundia espionage Iran. Na pale alipoanza kuua wanazuoni wake ndipo uhasama ukazidi zaidi.
Mkuu usipende kuongopa.
Eti "Israel kuna wairan wengi kuliko waisrael walio Iran"!? Be serious. bro.
Uhasama wa Iran na waarabu wote kwa Israel ni dini acha kupotosha, waarabu wote na waislamu wa hapo mashariki ya kati hawataki uyahudi uwatawale..
Uhasama huo hawajaanza leo..kwanza walianza waarabu wa Suni kupambana na Israel..wakachezea kichapo wote wakalala chini...Sasa ndo akainuka shia Iran kujifanya kidume akaanzisha proxy group kama Hezbollah na kuanzia kusapoti hamas..Sasa na yeye kinamkuta.

Uyahudi utawatawala tu nyie wavaa kobasi mtake au mistake..na mkizingua mnachezea kichapo.. kama unafikiri ni kazi rahisi nenda kamuulize Egypt atakupa mkanda mzima
 
Back
Top Bottom