Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

Umeanza kuelekea kibla eeeh!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Funryu land to air missile iliundwa 1930s. Ilitumika katika vita za World war 2 dhidi ya Uingereza na Marekani. Na ilifanikiwa kuangusha ndege nyingi tu za Marekani.
-Kuna torpedoes ambazo ni Japanese made zilitumika kuzamisha aircraft carriers SABA za Marekani na NNE za Uingereza katika vita ya pili ya dunia. Je una hiyo habari!??
Twende utaelekea kibla taratibu hadi uchinjike.
Aya umekubali kama Japan alikua na missile technology miaka ya zamani???
 
Hizo knowledge zimekuwa free transfered?
Si zimelipiwa mkuu??
Au Israel inafanya projects bure!??
Sio kweli bro hawachukiwi waisrael wote. Kama wangekua wanachukiwa waisrael wote basi Saudia wangeshawachinja miaka ya 1700-1800. Ottoman empire ingeshawachinja hapo Jerusalem wayahudi wote. Ila je walifanyiwa hivyo!??
 
UNAANDIKA MANENO MEENGII UONGO MTUPU.
Nakuuliza maswali matatu tu unijibu kwa uweledi. SITAKI UONGO UONGO MIMI.NA NAONA unanichosha na alfulela hulela zako.

1.Kama uhasama wa Waarabu na wayahudi ni dini sio ardhi kwanini Israel imekataa kutambulika taifa la Palestina na kuua wapatanishi ikiwemo wa Norway??
2.Kama uhasama wa waarabu na wayahudi ni dini je unazungumziaje mauaji waliyofanyiwa WAYAHUDI nchini Ujerumani miaka ya 1940?? Au nao wajerumani ni waarabu waislam??
3. Kama uhasama wa waarabu na wayahudi ni dini unazungumziaje mauaji waliyopotia wayahudi ukanda wa EASTERN EUROPE??
Ke eastern europe nao ni waarabu waislam!????

Nasubiri majibu. PUNGUZA POROJO SITAKI POROJO.
 
Program za SUA za kilimo kwenye kubadilishana uzoefu na Israel huwa zinalipiwa na nani?

Saudia kutowachinja haiondoi ukweli kuwa wayahudi wametajwa Kama maadui kwenye Quran. Kinachobakia ni utashi wa mwenye nguvu, akiamua kufuata maandiko basi ndio kama unavyoona

Kingine ili kutekeleza hayo inahitaji uwe na nguvu za ziada kuliko wao, mfano hapa Tz waislamu hawawezi kuwaua wayahudi sababu wayahudi wana nguvu kuliko wao, kwa hiyo inabakia wishful thinking
 
1.Kama uhasama wa Waarabu na wayahudi ni dini sio ardhi kwanini Israel imekataa kutambulika taifa la Palestina na kuua
Namsadia kujibu hili: kwenye uadui wowote lazima kuna root cause. Kabla ya hili swali lako ilipaswa useme je Uqran imewataja wayahudi kama maadui au haijawataja? Kama imewataja wao kwa nini wasifuate hayo maandiko?
2.Kama uhasama wa waarabu na wayahudi ni dini je unazungumziaje mauaji waliyofanyiwa WAYAHUDI nchini Ujerumani miaka ya 1940?? Au nao wajerumani ni waarabu waislam??
Kila mmoja ana sababu zake kwenye kutekeleza jambo fulani. Muislam hali kitimoto sababu imekatazwa kwenye Quran, wasabato hawali kitimoto sio sababu ya Quran wana sababu zao.
Kwenye muktadha huu, wajerumani walikua na sababu zao ambazo hazihusu dini, lakini Muslim sababu ni kukatazwa kiimani
3. Kama uhasama wa waarabu na wayahudi ni dini unazungumziaje mauaji waliyopotia wayahudi ukanda wa EASTERN EUROPE??
Ke eastern europe nao ni waarabu waislam!?
Kila mmoja hufanya jambo kulingana na sababu. Kwa waislamu lazima waifuate Quran, na Quran inasema wayahudi ni maadhi zao
 
Soma maelezo vizuri mbona yanajieleza tu wazi?

He was a senior figure in Iranian missile systems and explosives, acting as the scientific representative for Iranian students in Russia, Belarus, and Central Asia

Hapa we umeelewa ni nuclear sio?
 
1. Israel haiwezi kukubali uundwaji wa taifa la palestina maisha yake yote sababu palestina itakapokua taifa itakua ni changamoto kwa usalama wake, sababu mashehe wakipalestina washasema hadharani kwamba Israel anatakiwa afutike kwenye uso wa Dunia, hivi nikuulize wewe swali, adui Yako Tena Ambae ni jirani Yako mmetazamana pua na mdomo unaweza kumpa silaha aishukilie? Huyo si anakuua muda wowote? Palestina akiwa taifa ina maana atajitawala kuanzia ardhi atakua na viwanja vya ndege ataingiza silaha.. atamiliki silaha nzito... . atasafirisha silaha je hata wewe ungekubali kweli?

2. Mauaji ya wayahudi huko Ulaya na sehem zingine ya yalikua na sababu zingine Sasa sijaelewa hapa yanahusikaje? Kwani huko Ulaya waarabu ndo wapo?
 
Hapa narudia Tena... Kidume pekee aliyerusha misile kutoka ardhini kwenda juu angani kipindi Cha WW2 ni ujerumani.. kama yupo mwingine njoo na data sio mipasho
 
Soma maelezo vizuri mbona yanajieleza tu wazi?

He was a senior figure in Iranian missile systems and explosives, acting as the scientific representative for Iranian students in Russia, Belarus, and Central Asia

Hapa we umeelewa ni nuclear sio?
Alienda kusoma physics na masuala ya uandisi sio masuala ya silaha.
Nimesoma vizuri kabisa.
Na haikataliki elimu yake ya uandisi na fisikia ndio iliyosaidia kwenye uundwaji wa silaha Iran.
 
WEWE FALA EMBU ACHA UBISHANI WA KIFALA. Nimekuletea jina la kombora la FUNRYU la Japan lililotumika kuangusha ndege za US kipindi cha WW2. Nenda google ukikosa taarifa zake njoo unikosoe.
Usiwe MPUMBAVU KIASI HICHO.
Ulienda kuli search hilo kombora na ukakuta taarifa tofauti??
Nijibu kwanza.
 
Hoja DHAIFU KABISA.
Kama waarabu wangetaka kuwaua wayahudi wangeshawaua tangu kipindi cha dola ya OTTOMAN.
Kama waarabu wangekua wanawachukia wayahudi wasingeishi nao vizuri wakati wa British Palestine Mandate.
Kama waarabu wana chuki na wayahudi wasingewakaribisha wayahudi 1945 walipokimbia mauaji ya kimbali Ujerumani.
Kama waarabu wangekua wana chuki na wayahudi wasingekubali uundwaji wa taifa la Israel.
Waarabu wote 1947,1967 walikubali na walilitambua Israel kama taifa.
Na hata sasa wanachosisitiza wao ni mipaka ya 1967 itambulike na Palestina iwe huru basi.
Usiniletee ngonjera zisizo na msingi.
2. Mauaji ya wayahudi huko Ulaya na sehem zingine ya yalikua na sababu zingine Sasa sijaelewa hapa yanahusikaje? Kwani huko Ulaya waarabu ndo wapo?
Ufinyu wa fikra.
Kwa mtazamo wako ni kwamba waarabu ndio tatizo kwa Israel na sababu ni dini.
Nimekutolea mfano je huko Ulaya mashariki na Ujerumani kwanini napo walifukuzwa???
Ndio ujue Wayahudi ni KANSA AMA SARATANI ya dunia.
 
Namsadia kujibu hili: kwenye uadui wowote lazima kuna root cause. Kabla ya hili swali lako ilipaswa useme je Uqran imewataja wayahudi kama maadui au haijawataja? Kama imewataja wao kwa nini wasifuate hayo maandiko?
Iran haijataja wayahudi kuwa ni maadui. Iran imetaja serikali ya ISRAEL ya kizayuni kuwa ndio adui.
Kama ingekua imetaja wayahudi wote kuwa ni maadui basi isingewaruhusu kuingia Iran na wala isingewaruhusu kuwapa uraia.
Hili nilishalisisitiza ila naona bro UNAPENDA UBISHANI WA KITOTO.
Qur'an imekataa urafiki na wayahudi ila haijakataza USHIRIKIANO NA WAYAHUDI.
Hata mtume Muhammad(s.a.w) aliingia makubaliano na wayahudi na wakaishi pamoja Saudi Arabia na wakashirikiana mambo mengi tu.

Sababu ya hilo swali la pili ni kwamba nimekusudia kuonesha waarabu uhasama wao na wayahudi sio DINI bali ARDHI kwa sababu zifuatazo;
1.Kama ingekua dini basi wasingeishi pamoja na wayahudi na kuwaruhusu wajenge masinagogi.
2.Wasingewaruhusu wayahudi toka Ujerumani waingia mashariki ya kati miaka ya 1945,maana nguvu walikua wanayo ya kuwazuia ila waliwapokea.
3.Wasingekubali uundwaji wa Israel na ugawanywaji wa ardhi mwaka 1947-1948.
HIVYO HOJA ZENU DHAIFU.
 
Alienda kusoma physics na masuala ya uandisi sio masuala ya silaha.
Nimesoma vizuri kabisa.
Na haikataliki elimu yake ya uandisi na fisikia ndio iliyosaidia kwenye uundwaji wa silaha Iran.
Hahaahaaa....kwa hiyo masuala ya silaha inatakiwa usomee history? Kweli we ni kichwa bogus.

Muulize hata mtoto wa form five akuambie Kuna topic ya mechanic inaitwa projectile motion Ili urushe kombora hesabu za kinetic energy zinaanza hapo
 
1. Waarabu na wayahudi wameishi kama jamii Moja iliyochanganyikana kwa Karne nyingi..nimeleza hapa tatizo kwa waarabu ni kuona wayahudi wanapata taifa..sijui kama umeelewa kwa hiyo kipindi Cha nyumba hapakua na ugomvi baina yao Sasa kwa nini wauliwe kipindi Cha otoman

2. Nimekuuliza hoja za wayahudi kuuliwa Ulaya Zina uhusiano gani na mambo ya wayahudi na waarabu?

3. Waarabu hawajawahi kulitambua taifa la Israel tangia limeundwa
 
Nimekuambia njoo na ushahidi acha mipasho..kama kombora lilikuepo onesha lilirushwa wapi? Sasa we Kila unapoambiwa onesha ushahidi unaonesha mipasho au unafikiri apa upo kitchen party?
 
Nilikuwa sijajua kama ulikuwa ushamjibu huyu jamaa, hivyo nikajikuta nimemjibu hapo chini.

Shukran mkuu kwa ufafanuzi wako
Swadakta kabisa. Kama hajakuelewa basi atakuwa ni mtumwa wa kifikra wa kina Netanyahu.
 
Jamaa ni mweupe mno kihistoria. Ndomaana nikaamua nimuache asinipotezee muda wangu kumfundisha mtu asiefundishika.
 
Jamaa ni mweupe mno kihistoria. Ndomaana nikaamua nimuache asinipotezee muda wangu kumfundisha mtu asiefundishika.
Mie mwenyewe nishamu ignore.
Pia yuko RELIGIOUS FANATIC OR AFFILIATED.
Yani kila kitu anahusisha dini.
Nimeona nimuache tu,anaongea porojo nyingi sana ni kupoteza muda tu kujadiliana naye.
 
N
Mie mwenyewe nishamu ignore.
Pia yuko RELIGIOUS FANATIC OR AFFILIATED.
Yani kila kitu anahusisha dini.
Nimeona nimuache tu,anaongea porojo nyingi sana ni kupoteza muda tu kujadiliana naye.
Nyie mashehe ubwabwa ni ziro kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…