dem boy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 6,580
- 15,739
israel wanaweza kazi gani wewe zaidi ya kufir..na,msitudanganye danganye hapaUnaongea upuuzi mwingi, kazi imeanza huko full charge.
Atapigika mtu mpaka aite maji mmaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
israel wanaweza kazi gani wewe zaidi ya kufir..na,msitudanganye danganye hapaUnaongea upuuzi mwingi, kazi imeanza huko full charge.
Atapigika mtu mpaka aite maji mmaa
Mabango yametawala Iran kuwapa tumaini wananchi kuwa vita haitapiganwa Tehran, wasiwe na wasiwasi kwani wapo salama.usingizi ukiisha tu,unaanza kuposti chochote unachoona mitandaoni,nani kakudanganya kuwa israel haijapata hasara?
Kambi ya Negev,na inasemekana ndo inahifadhi ndege za f-35,zilizoshambulia ubalozi wa iran syria,ilipigwa na missile 7 za hypersonic,zilizokwepa air defence za israel.
Wamepata hasara kubwa,sema wanaogopa kutangaza,na imewauma mno kushambuliwa moja kwa moja kwenye ardhi yao,na hawakutegemea kama mashambulizi yatakuwa makubwa vile,bila US,UK,FRANCE,JORDAN NA SAUD ARABIA,kusaidia kuintercept,ingekuwa shida kubwa huko israel.
Zimetumika ndege 150 kutungua makombora na drone za iran,gharama ni 2.3trillion tsh.
Tehran watu wana hofu balaa,hapakaliki wala hapalaliki.Na hiki ni kiashiria kibaya kwa kuwa ana onekana yupo mwenyrw akifanya kaz ya urusi kama mshirika aliyemafichoni ktk hili
Hawa walio jitokeza kuungana na israel kuzuia mashambulizi wana weza jitokeza kuishambulia iran pia
Propaganda ni kuwa hawaiungi mkono israel ktk kuishambulia iran, lakini sio kweli sababu wana maslahi ni israel kuliko iran na hawapo tayari kuiona israel inapotea ndio maana nyakati zote wana simama na israel iwe amekosea au yupo sahihi
Gharama zilizo tumika ni jambo la kawaida kwa kuwa dunia nzima majshi ndio yana chukua uwekezaji mkubwa sana ktk nchi, hakuna jeshi la tsh 10,000.00 au 100,000.00
Uwekezaji ktk jeshi ni gharama, vita ni gharama pia na ukiwa na uchumi mbovu utakuja kuwa na madeni sugu. Ukraine ana pambana na madeni, uchumi na vita nk
Pia israel qna mpango wa miaka mingi kushambulia vinu vya nuklia vya iran, na alikuwa ana tafuta sababu za muda mrefu kweli. Na hapa ndipo hofu ya iran kuto kujua shambulizi la kushtukiza litaenda wapi? Na ikiwa ktk vinu ina maana kuna hasara kubwa kwa iran na raia wake
Mara kadhaa wausrael walikamatwa iran wakifanya uspy, mara kwa mara wameua wana sayansi wa iran huko huko iran na marekan akihusishwa ktk haya na hawezi kusema ni muhusika
Kumbuka wana kauli zao kuwa hawa shirikiani wala kukaa meza moja na magaidi au waalifu. Je ni kweli? Kuna tuhuma nyingi sana zikiielekezwa marekan kushirikiana ns makundi mbalimbali ya wana mgambo mashariki ya kati na ya mbalmfano hai telban huko afghanstan
Una uhakika huyo ni bro au ni sistaHivi brother hua unapata muda wa kufua kufuli
CDF wa Kenya kafa kizembe kweli jana. Unayo habari?Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel huwa hatangazi.
Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo. Iran imepoteza majemedari saba. Israel imepoteza binti mmoja
================
![]()
Supplied "Tel Aviv is our battleground not Tehran", says a propaganda billboard in the Iranian capital
Tehran is tense, two days after Iran's unprecedented direct attack on Israel.
Worried about war and its impact on Iran's already flailing economy, a significant proportion of Iranians oppose what they see as the reckless adventurism of the country's elite Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC), which fired more than 300 drones and missiles on Saturday night.
In a letter sent to BBC Persian, a long list of Iranian activists both inside the country and abroad criticised the IRGC's actions and saying "No to warmongering!"
Many Iranians also see the Iran-Israel confrontation now emerging from the shadows as being orchestrated by the Iranian government rather than reflective of the will of the Iranian people.
This perception is underscored by a heavy police presence on the streets of Tehran - ostensibly about enforcing strict Islamic dress codes requiring women to cover their hair but which many suspect is mainly about crushing any possible protests.
Source: www.bbc.com
Siasa za ulimwengu hizi. Usije kuta walizungumza kabla ya Shambulizi kua tutalipiza kisasi na kushambulia so & so.Najiuliza hivi Iran akishambuliwa kwa missiles na drones nyingi say 200 kama alivyoshambuliwa Israel yeye ataweza ku control madhara au ndo itakuwa majanga?!.
Kwasabb mbali ya kusaidia na washirika, Israel huwa pia wako vzr kwenye mdumo wa anga.
Hata kila walichokuwa wanapanga Iran ikiwamo maandalizi hadi siku wanavurumusha hayo makombora adui alishagundua na kujiandaa!.
Ya kwao yamemshinda anashupalia ya watu. Na hivi kajifunza kuandika kiswahili kazi tunayo hapa JF kawa mswahili kuliko mzaramo wa kongowe.🤣