Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

Mabango yametawala Iran kuwapa tumaini wananchi kuwa vita haitapiganwa Tehran, wasiwe na wasiwasi kwani wapo salama.
Picha zipo.
Video za Wairan wakiwa na wasiwasi mkubwa wa malipizi ya Israel zipo.

Hakuna ajuaye siku wala saa wala mahali kitakapowashwa.
 
Tehran watu wana hofu balaa,hapakaliki wala hapalaliki.
Simu zimepigwa nyingi sana kwenda Cape Idokopas.
 
19 April 2024

Isfahan ya katikati ya Irani ni mji wa kimkakati pia nyumbani kwa vituo kadhaa muhimu vya kijeshi, vikiwemo vifaa vya nyuklia, kituo kikuu cha anga na viwanda vinavyohusishwa na ndege zisizo na rubani za Irani na uzalishaji mwingine wa kijeshi. Milipuko imesikika


Habari za awali ni kuwa ndege za Israel zimeshambulia uwanja wa ndege Isfahan

 
Washirika wa Israel waunga juhudi, Iran ipate kipigo ili ipunguziwe nguvu ya kutaka kutawala maeneo ya Mashariki ya Kati kupitia vita-fichi proxy war ambayo Iran kupitia mgambo vikaragosi walioianzisha machafuko kutishia nchi za kifalme za kiarabu na zile za Kiarabu za kisekula kuanzia Lebanon, Jordan, Saudia n.k .


 
CDF wa Kenya kafa kizembe kweli jana. Unayo habari?

 
KUANZIA 19 APRIL HADI APRIL 22 ALFAJIRI NI SIKU ZA KUOGOFYA KWA WATAWALA WA IRAN

Watawala watakuwa hawalali majumbani mwao wakikimbia vivuli vyao kwa hofu kuu.


Israel inataka kumaliza mchezo kabla ya tarehe za kuadhimisha ukombozi wao kutoka utumwani mwa Farao Exodus / Kutoka sherehe zitakazoanza kuadhimishwa kwa siku 7 familia za kiyahudi kujumuika jioni ya siku ya jumatatu , 22 Apr 2024 hadi jumanne tarehe , 30 Apr 2024
 
Siasa za ulimwengu hizi. Usije kuta walizungumza kabla ya Shambulizi kua tutalipiza kisasi na kushambulia so & so.
 
MASHAMBULIZI YA MALIPIZI KUTOKA ISRAEL YAWATIA HOFU MAAYATOLLAH WA IRAN

Majibu ya Israeli kwa shambulio la Iran yatarejesha sheria za mchezo huu wa kuoneshana nani mwamba au kusababisha vita vya kikanda.
Richard Hall na Bel Trew
Alhamisi, 18 Aprili 2024 saa 8:26 jioni BST
6-min kusoma

Naibu mkuu wa jeshi la Israel wa idara ya habari ya kimataifa ya IDF, luteni wa kwanza Masha Michelson, akionyesha kwa vyombo vya habari mojawapo ya makombora ya balistiki ya Iran yaliyonaswa na vifaa vya ulinzi vya anga la Israel (Picha ya AP/Tsafrir Abayov)

Viongozi wa Israel tayari wameamua katika siku zijazo kuhusu jibu la kijeshi kwa mashambulizi ya Iran yasiyo na rubani na makombora yaliyotikisa nchi mwishoni mwa juma lililopita.

Uamuzi huo wa Israel ama utarejesha sheria nyeti ambazo hazijatamkwa ambazo zimetawala ushindani wao wa kikanda kwa miongo kadhaa, au kupeleka eneo hilo kuelekea vita pana zaidi ambavyo vinaweza kuvuta vikosi vya Amerika na washirika wake.

Shambulio lisilo tegemewa la Iran Jumamosi usiku - na mamia ya drones, cruise na makombora ya balestiki - ilikuwa mara ya kwanza kufanya mashambulizi ya moja kwa moja dhidi ya Israeli kutoka kwa ardhi yake. Tehran ilisisitiza kuwa hatua zake zilikuwa za lazima na za kisheria kwa sababu Israel ilivunja maelewano kwa kushambulia kwa mabomu ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus tarehe 1 Aprili. Israel haijathibitisha au kukanusha kuhusika
 
19 April 2024

Iran na Mgambo karagosi wake wakubali kipigo na maumivu huku wakigumia kimya kimya

Kambi ya paramilitary ya Iraq’s Popular Mobilization Forces (PMF) ilitopo kusini ya mji wa Baghdad nchini Iraq yapigwa na makombora. Mgambo hao waliokula nyamini na Iran ni moja ya vikundi vinayofadhiliwa na Iran kuleta machafuko na mapigano eneo hilo la Mashariki ya Kati nia ni kupata washirika ambao hatimaye watatumika kuizingira Israel lengo ni kutaka kuifuta taifa hilo la Israel

19 April 2024

Iraqi Popular Mobilization Forces base rocked by blast



View: https://m.youtube.com/watch?v=ffEV48zhkucReuters, citing army sources, reports that a huge blast rocked a military base used by Iraq’s Popular Mobilization Forces (PMF) to the south of Baghdad.

A statement released by the PMF in the Babylon province, south of Baghdad, stated that “American aggression bombed the Kalsu military base”. No casualties were reported.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…