IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Ndege 100 zimepenya hapo Tehran mana yake zimepita nchi yote "undetectable".
Yani mtu atume ndege 100 toka Entebbe zipite Kagera mpaka Sumbawanga na zirudi Entebbe bila kuonekana.

Israel imetuma ujumbe mzuri kwamba panaweza geuzwa majivu hapo Tehran na kuchoma kobazi zote hapo. 😁
 
Ndege za Israel na marekani hazijaingia katika airspace ya Iran zimeshambulia km 100 kutoka border ya Iran na Iraq. Taarifa rasmi ya jeshi la Iran jioni hii
Screenshot_20241026-215915.png
 
Back
Top Bottom