IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Ndege 100 zimepenya hapo Tehran mana yake zimepita nchi yote "undetectable".
Yani mtu atume ndege 100 toka Entebbe zipite Kagera mpaka Sumbawanga na zirudi Entebbe bila kuonekana.

Israel imetuma ujumbe mzuri kwamba panaweza geuzwa majivu hapo Tehran na kuchoma kobazi zote hapo. 😁
Haya ukakojoe ukalale sasa
 
aiseee nilitaka kuja na andiko la ivi ivi kuwa Iran kwa ukubwa wake inabidi amnyooshe tena dogo mana ataleta dhalau atakama akuna madhala sana lkn ayo ayo madogo na kufa wajeda wawili aiwezi kuwachwa kimya Iran inabidi atume viuma live tena kambi zibutuliwe mwana ukome bila shaka kwasasa Iran ashajua uwezo wake so kazi yasasa ni kuipanga upya air difen
 
Kumbe wee ujui kuwa hiki ndo US anataka
Hata kule kwa wavaa mashuka Afghanistan pia US alikuwa anataka, lakini mwisho wa siku akakimbia mwenyewe bila kuaga. Tena aliowakimbia wavaa mashuka wasiokuwa na drone, mifumo ya ulinzi wala kifaru. So ije kuwa huku kwa watu wenye misilaha mpaka mingine wanampa mrusi bure awachape wavaa nepi huko Ukraine!!
 
Kama operation yenyewe inavyojieleza basi Iran hana ahadi hewa hapo vyuma vinawekwa sawa kwa ajili ya kupeperushwa kwenda Israel hakuna cha Iron domo wala THAAD itakayozuia makombora.

Iran hana taarabu nyingi bali vitendo tu.

Baada ya ahadi hii kutolewa kuanzia Nyetonyau hadi wananchi wake wapo mashimoni hawajui mzigo utashushwa lini na Muajemi.😂😂
 
Jehova anaenda na utukufu fake anaenda butuliwa live na mungu w Iran awa jehova wa uku kidudwe mbogo matombo sijui itakuwaje waamuni wakijua viuma vumeonekana live vikitwanga ichi ya haaad ya mchongo
 
Unapigwa Mgumi unarudishia Mshonyo hahaha
Isramarekan Vikao nivingi Kumbe Zero tu
Tulia dogo!
Israel alikuwa anapiga kwenye mshono.

🇮🇱🇮🇷The Israeli airstrike targeted Iranian air defense positions and a drone manufacturing facility.

Thus, one of the targets of the Israeli airstrikes was the enterprise of the company "Taksaz Industrial Innovators" in the city of Shamsabad southwest of Tehran. According to some reports, the enterprise is involved in the production of UAV components. Three employees of the enterprise's security are known to have been killed, the passage is currently closed.

Coordinates: 35.322378, 51.267930

Also, judging by the NASA FIRMS monitoring resource, the MIM-23 Hawk medium-range air defense missile system positioning area southwest of Tehran was hit.

Coordinates: 35.598952, 51.237192 .

In addition, official Iranian media reported the death of two officers : Major Hamza Jahandid and Sergeant Mohammad Mehdi Shahrokhifar. Both served in the Sarbandar air defense position area in the Bandar Mahshahr region of Khuzestan province.

If the identification of the affected targets is correct, then Israel has thus indicated that it is potentially capable of disabling Iranian air defense systems and striking key Iranian military-industrial complex enterprises without harming its own aircraft.
 
Israel noma sana. Yaani wamewaparalyse Hamas, Hezbollah na wengine sasa wanamtaka Iran. Kula vitoto ili ukianza kumla mama yao visilie
Mkuu hapo hakuna vita, yanayoendela huko, ni uharibifu tuu wa miundombinu.

Logically vita vya kweli ni wanajeshi kwa wanajeshi sio kulipua makazi. Kinachoendelea huko far east ni kutunishiana misuli tuu
 
Back
Top Bottom