in fact, israel amesababisha madhara makubwa sana kwenye silaha na bases, ndio maana amekimbilia kusema tayari amelipiza, amemaliza, meaning anajua kwa madhara aliyosababisha iran lazima atataka kujirudishia. bahati mbaya, radar za iran na defence system zimefyekwa, hivyo myahudi sasaivi akitaka anaingia na kutoka bila kuonwa. hata iran awe na makombora namna gani kwa sababu air defence system zake zimesambaratishwa atapigwa kama mtoto mdogo na hatajua kama ndege zinakuja au zinatokea upande gani.