IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

in fact, israel amesababisha madhara makubwa sana kwenye silaha na bases, ndio maana amekimbilia kusema tayari amelipiza, amemaliza, meaning anajua kwa madhara aliyosababisha iran lazima atataka kujirudishia. bahati mbaya, radar za iran na defence system zimefyekwa, hivyo myahudi sasaivi akitaka anaingia na kutoka bila kuonwa. hata iran awe na makombora namna gani kwa sababu air defence system zake zimesambaratishwa atapigwa kama mtoto mdogo na hatajua kama ndege zinakuja au zinatokea upande gani.
Acheni Uswahili wenu yaani haki kashambulio ndio aweze kurudi kuingia na kutoka bila kuonekana nchi kubwa ile bwashee kuanzia kieneo na kiulinzi
 
wamefanya hivyo. miundo mbinu yenyewe wala si ya kutisha sana, anachoringia iran ni vitu viwili tu, (1) nuclear facility ambayo ukipiga tu italeta madhara kwa raia wa Iran na israel au amrekani watalaumiwa milele (2) kiwanda cha kuzalisha mafuta kwenye kile kisiwa chao ambacho ukipiga tu mafuta yatasambaa baharini na bahari itachafuka, kwa wana mazingira hiyo itakuwa msala mkubwa sana.

inajulikana IRAN ana mahandaki ya kuhifadhia siala chini ya ardhi, lakini hata uwe na silaha namna gani kama air defence system yako ni mbovu, wenzio watakuja na ndege watakupiga na hautawaona. utasoma namba tu. Israel kasambaratisha air defence systems hata zile Mrusi alipeleka IRan zimefyekwa, sasaivi iran yupo uchi kabisa, Israel inaweza kumpiga ipendavyo na hatajua kama kuna ndege zinakuja wala zinatokea wapi.
Usitudanganye we jamaa.
Video zimeonesha ADS za Iran zikifanya interception.
Na wala mifumo yake haikuharibiwa kama unavyodai.
Pia ukumbuke Iran ina aina kama tatu za ADS.
Hivyo usijidanganye kama inaingilika kirahisi.
 
vile vilikuwa vinalipuka milipuko midogo? pole sana, unaambiwa zile sasa sio zile land to air defences, walikuwa wanarusha artilary na wengine walitumia hadi bunduki kujaribu kudungua. ndege 100 zilienda na zote zimerudi hakuna hata iliyopata mkwaruzo. Ukisema uliona iran inadungua makombora unakosea, kwa sababu Israel alienda na ndege hadi iran, hakurusha makombora. vile ulivyoviona walikuwa wanahangaika tu hao wairan.
Israel haikuingia kwenye airspace ya Iran.
Ule umbali sio wa kutumia artillery kudungua.
Bro huongei na watoto hapa,artillery shells haziwezi zikafyatuka mfululizo na kwa kasi ya namna ile.
Na ndege zilishambulia nje ya airspace ya Iran sio ndani ya airspace ya Iran.
 
Kwa kamoto kale ndio uclaim shambulizi kubwa!?
Tena umeleta kapicha kamoja!?
😂😂😂😂😂😂Aiseeee.
Hata sihitaji kubishana na wewe.
tufanye Israel hajapiga iran wala nini, na iran haijapata madhara yeyote. sio kwamba nashabikia mapigano la, ila ukweli ni kwamba iran ndiye anasapoti ugaidi middle east na ni adui wa dunia nzima. hataki amani.
 
Acheni Uswahili wenu yaani haki kashambulio ndio aweze kurudi kuingia na kutoka bila kuonekana nchi kubwa ile bwashee kuanzia kieneo na kiulinzi
hata iran wenyewe wanashangaa kama wewe imekuwaje. ila ndege zote zimerudi nzima, na ziliendeshwa na pilots wengine wanawake wadogo kabisa. kwahio iran kapigwa na wanawake/wasichana kwa lugha nyingine.
 
tufanye Israel hajapiga iran wala nini, na iran haijapata madhara yeyote. sio kwamba nashabikia mapigano la, ila ukweli ni kwamba iran ndiye anasapoti ugaidi middle east na ni adui wa dunia nzima. hataki amani.
Adui ni Israel na USA.
Kama isingekua USA kuingilia sovereignty za watu middle east yale makundi yasingezuka na kupigana na Israel na USA.
USA na Israel wamefanya uharibifu maeneo mengi sana pale middle east.
Unaweza ukanambia 1958 Syria iliwakosea nini USA na Israel hadi wakaiundia mgogoro!???
 
Back
Top Bottom