mm naamini Iran ingweza kuzuiya kushambuliwa kwa %100 lkn akaacha target kidogo wapate sababu hii waliotangaza lkn pia uwenda ata kutangaza vifo vya wajeda2 ni ktk kutafuta sababu ya kulipiza kisasi mana wangeuchuna nani angejua kuwa wao wamepoteza wajeda2 uwenda ata wamezuiya kwa %100 lkn ndio ivyo wanataka tu kutoa kipigo kwa kibonde wake mana akuna mlipuko umeonakena ndani y Iran zaid kilichoonekana ni uwezo mkubwa wa kuzuiya ujuma y Israel kwaiyo tuseme tu Israel ndio anatafutwa na Iran chokochoko zote mm naamini urusi ipo nyuma y hiii vita ikitafutwa sababu njiaa kuu ya mafuta na gas zifungwe na Iran kuchagiza mzozo mkubwa uko ulaya ambao pengine utakuja na suruuu ya kumaliza vita ya ukrain wazungu w ulaya wakikosa mafuta n gas ya qatar kwasasa aliikwao itakuwa tete. UsA nae inajikuta pagumu mana anajua anamikambi kibao na Iran anaweza kuzipiga zote mwingeleza nae ivyoivyo anajambi kubwa pale oman iyo kambi ni yamiaka mingi sana nyuma iran na oman wametenganishwa na bahari nyembamba sana so Iran inawezs kubutua kambi za ao mapacha wawili na kusababisha vifo vingi vyawajeda wao,,,,