IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Israel wamesambaratisha air defence system za iran kabisa, sasaivi iran akirusha chochote ndege zitakuja na kupiga na hataziona kabisa kabisa. Myahudi kasababisha madhara makubwa sana Iran, syria na Iraq ndani ya masaa mawili, ukiona israel inasema imeshamaliza retaliation, jua anafahamu alichokifanya kimeleta maumivu. sasaivi hata bongo tukitaka tunaenda na kurudi iran hakuna atakayetuona, manake air defence system na rada zao wamefyekelea mbali.
Unajiandaa kumrithi Mr. Bean.
Israel na NATO yake iharibu defense system za Iran halafu waisubiri inyanyuke wasichukue hiyo advantage kuisambaratisha?
 
Israel haikuingia kwenye airspace ya Iran.
Ule umbali sio wa kutumia artillery kudungua.
Bro huongei na watoto hapa,artillery shells haziwezi zikafyatuka mfululizo na kwa kasi ya namna ile.
Na ndege zilishambulia nje ya airspace ya Iran sio ndani ya airspace ya Iran.
Possibly hizo ndege zimetokea hapo Iraq kwenye base za US na ukizingatia air space ya IRAQ iko controlled na hao hao US.
 
Tushaona shambulizi dhaifu la Israel.
Wacha tuone mwanaume Iran anavyofanya kazi.
Dhaifu sio. Limeuwa wanajeshi wangapi. Na wanaume wameenda na ndege 100 mpaka Tehran. Cjui kama unaelewa huo mji ulipo na wakashindwa kutungua hata kutungua moja. Tena muda huu Israel imeonyesha wengi walikuwa wanajeshi wanawake.
 
Ndege zimeshambulia zikiwa anga la Iraq wala hazijaingia Iran.
Askari wawili waliouawa wameuawa kwa mlipuko wa batteries za ADS.
Video zimeoneshwa humu Iran iki intercept yale mashambulizi.
Huwezi ukaingiza ndege Iran ikatoka salama,USA analifahamu hilo.
Bavaar-373 iko operational.
 
Wewe kenge kweli. Kwanza wanajeshi waliokufa ni wanne. Pili Israel imepiga awamu 3 halafu usisahau Iraq na Iran kwa wakat mmoja walifunga anga lao. Na so ndani ya awamu tatu ushindwe kwenda kurusha hata ndege moja kwenda kupambana na adui? Ndege zenyewe pilot. Mademu
 
Iran kala shambulio la mauzauza, ye atajua israel karud anasunir majibu. Lakini amin israel opertaion yake ya ndani ya israel inaendelea kimyakimya, uraskia tu huyu kafa lama yule
 
Back
Top Bottom