wamefanya hivyo. miundo mbinu yenyewe wala si ya kutisha sana, anachoringia iran ni vitu viwili tu, (1) nuclear facility ambayo ukipiga tu italeta madhara kwa raia wa Iran na israel au amrekani watalaumiwa milele (2) kiwanda cha kuzalisha mafuta kwenye kile kisiwa chao ambacho ukipiga tu mafuta yatasambaa baharini na bahari itachafuka, kwa wana mazingira hiyo itakuwa msala mkubwa sana.
inajulikana IRAN ana mahandaki ya kuhifadhia siala chini ya ardhi, lakini hata uwe na silaha namna gani kama air defence system yako ni mbovu, wenzio watakuja na ndege watakupiga na hautawaona. utasoma namba tu. Israel kasambaratisha air defence systems hata zile Mrusi alipeleka IRan zimefyekwa, sasaivi iran yupo uchi kabisa, Israel inaweza kumpiga ipendavyo na hatajua kama kuna ndege zinakuja wala zinatokea wapi.