Uache uongo kaka unaongea na mtu mzima.
Kama Israel ni democratic kwanini imemfunga mwandishi wa habari wa USA aliyepost picha za kambi kulipuliwa!??
Kama Israel is democratic kwanini ilifungia waandishi wa habari kuripoti!?
Kama isingekua msaada wa simu za raia wa Westbank na Israel kwenyewe basi tusingeweza kuona lile shambulio la Iran ndani ya Israel.
Pia usisahau kuwa Israel akishambulia Syria na Lebanon huwa anatuma video,cha kusangaza shambulio hili zinasambaa staged videos and photos.
Hata hao CNN na BBC na vyombo vingine hawana cha kutangaza na wanao correspondent ndani ya Tehran.
BBC iko operational ndani ya Tehran ila cha ajabu hatujaona habari yeyote.
Israel ni sawa na a dying horse kicking its last kick.
Lebanon huko pamemshinda hadi askari wanagoma kwenda kupigana.