IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Safari hii Israel waondoke tu na huyo mzee mfuga madevu ndio washike adabu hao makafiri wa Iran.
 

 
aiseee nilitaka kuja na andiko la ivi ivi kuwa Iran kwa ukubwa wake inabidi amnyooshe tena dogo mana ataleta dhalau atakama akuna madhala sana lkn ayo ayo madogo na kufa wajeda wawili aiwezi kuwachwa kimya Iran inabidi atume viuma live tena kambi zibutuliwe mwana ukome bila shaka kwasasa Iran ashajua uwezo wake so kazi yasasa ni kuipanga upya air difen
Sana mdogoye.
 
Unasema uongo. Irani imesema Israel imeshambulia na Kuna "minimal damages" au kama lugha inakupiga chenga sema usaidiwe.
Sasa mbona hawaeleweki mkuu maana wanasema wamebomo yote angani??
Baadae askari wameuwawa??
Basi chukua hii
20241027_214153.jpg
 
Israel ni democratic country mzee usilinganishe na hao makobazi kila kitu ni kuficha. Wangekuonyesha hizo betri zilivyoungua tuone kama hakuna maafa kweli. Jamaa walifunga anga lakini kichapo wamepewa na onyo juu kama mwanaume arudie kurusha mavyuma yake. Na kichapo kinaendelea Lebanon Syria Iraq Yemen na Gaza kwa wakat mmoja. Nani kidume hapo sasa.
Unaelewa maana ya democratic? Usipagawe huyo ni US ndio anashikilia show
 
Uelewa wa watu ni mdogo sana.

Video zinaonyesha interception za guided missiles, maana yake missiles zikitoka somewhere far sio exactly kwenye Iran airspace, kama zingekuwa ni ndege tungeona surface to air missiles zikifukuza ndege na sio missiles to missiles.

Inaonekana Israeli alirusha guided missiles from outside Iran airspace au somewhere very far from the target, labda jangwani huko.

All in all tuombe amani na kuacha ushabiki dhidi ya maisha ya watu, maisha ya kila mtu yanathamani duniani na mbele za mwenyezi Mungu, Pasetians wapewe Taifa lao nao waishi kama binadamu kuliko yanayoendelea sasa.
Hao wapalestina ni kama magaidi tu, hawana taifa. Ningekuwa msemaji wa dunia ningelifuta hilo taifa la kuabudu majini
 
Wanaukumbi.

Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran.
Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni.

Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe hawezi kukubali na wako tayari kwa vita virefu.


View: https://x.com/timesof_lebanon/status/1850231493710262737?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

1730104236364.png

SASA UNATUCHANGANYA. ULISEMA HAKUNA MADHARA. ILA WENZIO WANAKUAMBIA LAZIMA WALIPIZE KISASI. NA WEWE UMESHAHAU KUWA HAWAKUPATA MADHARA... BWEGE SANA SHEIKH KITINKU ANAKUDANGANYA SANA

 
😂😂 Hatojaribu kufanya kosa hilo la karne vinginevyo Mazayuni wameamua kuifuta rasmi nchi feki iliyobuniwa 1948 na azimio la UN.

Yaani Marekani na ukubwa wake wote hawezi hata kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo sembuse kanchi ombaomba kama Israel?
Wewe mtafute SHOGA yako Faiza Foxy Mwambie nyote mnasubiliwa chumbani kuna baby Jonson oil kwa ajili yenu
 
Yani unaona moto halafu unauliza madhara Yako wapi aise we vipi?
Huna tofauti na Bashite, so ukiona moto basi akili yako inajiongeza kuwa kuwa madhara? Usikute kuna mtu anakuita baba, nchi ngumu sana hii kama raia wake ndiyo watu kama wewe
 
Back
Top Bottom