wakuu tulielewa Iran alizuiya lkn akupenda kitendo cha Israel kujibu kwaiyo Iran anataka amnyooshe tena muIsrael sasa ndio unasikia Iran anasema yapo madhala nimepata kwmbi zimepigwa viwanda vya dreone wajeda wake, lengo nini ndio umeona Iran ameenda kulala UN kama ujaumizwa unalalamika nn lkn nimbunu tu Iran anataka kumkanda tena mnyonge wake mana bado anauwa watu ovyo promis3 itakuwa tofaut na ile promis2 hii sasa inalengo ya kulenga viwanda wanajesh namengine kwaiyo Iran kulalamika ni seem ya janja janja ili kushtaki UN ikitwanga iseme imelipa kisasi ndio unaona waziri w ulinzi w marakan kaja juu sana kuiyonya Iran asishsmbulie tena ns uko israel baada ya kujua wanaenda kupigwa tena mmesikia nawao wamesema watashambulia Iran upya sababu wanadai Iran iliusika ktk jaribio la kumuua Netanyahi., kwaiyo hali bado moto pande zote na muimu kuwa Iran na Israel kunawezekano zikaingia vitani.