Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 633
- 1,256
Mrusi yupo Kibiashara tu... yeye mwenyewe kwake ana vita...Nyuma ya Iran kuna mrusi na allies wake, nyuma ya Israel kuna US na allies wake
Kazi ipo, ngoja tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrusi yupo Kibiashara tu... yeye mwenyewe kwake ana vita...Nyuma ya Iran kuna mrusi na allies wake, nyuma ya Israel kuna US na allies wake
Kazi ipo, ngoja tuone
Hakunaga revenge ya ratio ya 3:1.We jamaa umeweza vipi kuniquote akati mimi hii niiliifuta chap? Duuh anyway hio ni revenge wamefanya hamas kwa raia 50 wameenda
Hapo nadhani umesisitiza sisi tunawaambia kila saa humu ila hawatuelewi vitu vimeinukia Iraq km 100 from boda ya Iraq/Iran na muajemi kacheza navyo kama mlivyoona ila wazayuni wanapenda show off na nioungo hawajatumia ndege 100, mziki wa ndege mia hata Iran wenyewe ungewalemea japo kila ndege ingerusha missiles 5 tu. Hali ingekuwa mbaya na hapo kama zingeingiaUelewa wa watu ni mdogo sana.
Video zinaonyesha interception za guided missiles, maana yake missiles zikitoka somewhere far sio exactly kwenye Iran airspace, kama zingekuwa ni ndege tungeona surface to air missiles zikifukuza ndege na sio missiles to missiles.
Inaonekana Israeli alirusha guided missiles from outside Iran airspace au somewhere very far from the target, labda jangwani huko.
All in all tuombe amani na kuacha ushabiki dhidi ya maisha ya watu, maisha ya kila mtu yanathamani duniani na mbele za mwenyezi Mungu, Pasetians wapewe Taifa lao nao waishi kama binadamu kuliko yanayoendelea sasa.
Pambana na hali hii kwanzaNataman Israeli akimalizana na wavaa kobazi wa huko mashariki ya kati aje na huku awachape pia wavaa kobazi wa mashariki ya Afrika.
Hivi wewe unaakili kweli? Uliwahi kuona wapi bomu linadondoka halafu halitoi moto? Ukiona limedondoka na halijalipuka ujuwe halijaleta madhara acha kuwa mjinga.Kwa hiyo hata kombora likidondoka kwenye ghala la mahindi na ukawaka moto mwingi basi unahesabu hiyo kama ni pigo kubwa?
hasara inahesabiwa na collateral damage ya shambulizi husika na sio ukubwa wa moto ambao umetokea sehemu ya shambulio.
Kisasi muhimu hata kama wamefeli attempt ya kuingilia uhuru wa Iran na kurusha makombora yaliyodakwa na air defense ni kosa kubwa. Je yasingedakwa si madhara yangetokea? Lazima Israel atandikweNadhani kama wamefeli basi sitarajii kuona Irani ikitaka kulipa kisasi.
Tatizo mnasoma hata kumwelewi.Waliouliwa wamekufa as a result of interception.
Battery za interceptor ndio zimesababisha kifo.
Pia hata kwa uelewa wako embu pimia ndege 100 zilete madhara ya namna hiyo huoni kuwa nguvu kubwa outcomes ndogo sanaa!?
Unajua maana ya balestic ibm mzee. Pc 200 zilizorushwa Israel. Au unaongea tu au unafikir Israel kutumia ndege ni kwamba hana hizo madude.Waliouliwa wamekufa as a result of interception.
Battery za interceptor ndio zimesababisha kifo.
Pia hata kwa uelewa wako embu pimia ndege 100 zilete madhara ya namna hiyo huoni kuwa nguvu kubwa outcomes ndogo sanaa!?
Unaelewa hata maana ya significant!?Tatizo mnasoma hata kumwelewi.
Taarifa rasmi ya Iran inaseme, significant number of the misiles were intercepted. Haijasema kuwa all miles were intercepted. Unaelewa maana yake?
Mbona unajichanganya bro!?Unajua maana ya balestic ibm mzee. Pc 200 zilizorushwa Israel. Au unaongea tu au unafikir Israel kutumia ndege ni kwamba hana hizo madude.
Hana..hili ndo jibu jepesi tu maana hajawekeza sana huko wao wanaamini katika ndege .kwa nchi kama marekani kuwa na program kama hzio ni gharama kubwa sana. Kwa Iran missle 200 inaweza kufikia billion 60 mpaka 80 ila kwa nchi kama usa ambayo ndo supply wa ,silaha za isreli bei inaweza kufika hata billion 420Unajua maana ya balestic ibm mzee. Pc 200 zilizorushwa Israel. Au unaongea tu au unafikir Israel kutumia ndege ni kwamba hana hizo madude.
Kwahiyo Iran atakuonyesha kilichoharibika wewe sioUnaelewa hata maana ya significant!?
Significant is synonymous to sufficient.
Inamaana idadi kubwa ya makombora imedunguliwa.
Unaleta kitu hata hufahamu maana yake.
Mbona unajichanganya bro!?
Balestic ibm ndio nini!?
Iran ilirusha cruise na ballistic missiles za medium range tena light weight missiles.
Ndege 100 zinatosha kufanya uharibifu mkubwa sana.
Ile Gaza tu imeharibiwa na ndege zisizozidi hata tano.Ila ona ilivyoharibika.
Leo hii ndege 100 zifanye shambulio litoke outcome ndogo namna ile!?
Wanaukumbi.
Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran.
Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni.
Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe hawezi kukubali na wako tayari kwa vita virefu.
View: https://x.com/timesof_lebanon/status/1850231493710262737?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mbona kwa Israel tuliona!?Kwahiyo Iran atakuonyesha kilichoharibika wewe sio
Israel ni democratic country mzee usilinganishe na hao makobazi kila kitu ni kuficha. Wangekuonyesha hizo betri zilivyoungua tuone kama hakuna maafa kweli. Jamaa walifunga anga lakini kichapo wamepewa na onyo juu kama mwanaume arudie kurusha mavyuma yake. Na kichapo kinaendelea Lebanon Syria Iraq Yemen na Gaza kwa wakat mmoja. Nani kidume hapo sasa.Mbona kwa Israel tuliona!?
Mbona Israel ikishambulia Syria,Lebanon na Yemen huwa inaonesha sattelite images za maafa!?
Kwanini hatuoni hata kapicha ama kavideo kama ilivyo Oktoba mosi!?
Uache uongo kaka unaongea na mtu mzima.Israel ni democratic country mzee usilinganishe na hao makobazi kila kitu ni kuficha. Wangekuonyesha hizo betri zilivyoungua tuone kama hakuna maafa kweli. Jamaa walifunga anga lakini kichapo wamepewa na onyo juu kama mwanaume arudie kurusha mavyuma yake. Na kichapo kinaendelea Lebanon Syria Iraq Yemen na Gaza kwa wakat mmoja. Nani kidume hapo sasa.
HezHezboral anawazaba kila siku ila media za magharibi huqasikii wakiripot
Ulitegemea asemeChanzo ni ofisi ya Iran iliyoko Umoja wa mataifa.
Shida ya Israeli hapo Syria ni kufanya linalowezekana ili Iran isoweze kuwa na proxy yenye nguvu. Hata wasiposhambulia, bado Israeli ataendelea kuwapiga hapo.Iran ilishaapa kuwa italipiza kisasi itaposhambuliwa eidha madhara yatokee ama laa.
Kwani Syria wanavyorusha roketi na iron dome inapozipangua kwanini Israel anaenda kushambulia Syria licha ya kuwa amedhibiti yale mashambulizi!?
Kitendo cha kushambulia nchi nyingine hata kama shambulio limezuiliwa ni sawa na kutangaza vita.
Mrusi kalemewa na ukrain vita mpya kwake ni mzigo mzito yeye atauza tu silaha , mchina yeye anawaza tu kupiga hela issue za urafiki wa kipimbi sio pigo zakeNyuma ya Iran kuna mrusi na allies wake, nyuma ya Israel kuna US na allies wake
Kazi ipo, ngoja tuone