Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

Hawa wadukuaji walikosea wangetakiwa huyu kiongozi kumweka akiwa amekumbatia mbuzi katolik hapo ndio moto ungewaka
Hapo wangeharibu maana mada ingebadilika,hio ndio nzuri maana inaendana na hasira za watu zilipolalia
 
kwamb unajitiq uchiz , wanajilinda au wanamsaidia Ukraine nchi iliyovamiwa , au yeye Urusi kubaka watoto ni sawa ila yey kubakw sio sw ?
Duuuh,why NATO isijipanue kuelekea Brazil au Africa?Kwanini wajipanue kumzunguka Russia?
Fungua akili Yako upate maarifa!
 
ametimiza miaka 103 ya usuperpower mpk sasa , we endelea kutumia ela za covid kujengea vyoo
Ndio anazidi kukutawala wewe na wajinga wenzako!SA walimgomea wakasema wazi kuwa hawawezi kuchaguliwa rafiki au adui,au kupewa ultimatums!Nenda kamsikilize waziri wa mambo ya nje wa SA alivyomchana Blinken!
 
Wana wamefana yao Iran, TV ya taifa kule iran, kama vile TBC imedukuliwa na kuonyesha sura ya yule dikteta wa kiislamu Ayatollah akiwa kwenye shaba ya kupigwa risasi halafu pembeni maneno yanapita ya kumtahadharisha kwamba damu ya vijana wa Iran anaowaua iko mikononi mwake.

river


Is it possible to hack television stations just like what we used to see in the movies?

One of Iran’s state-run TV channels was hacked on Saturday briefly displaying a message against Iran’s Supreme Leader Ali Khamenei, with a graphic of the Ayatollah in crosshairs, according to multiple news outlets.

The message displayed in Farsi read, “The blood of our youths is on your hands,” according to an English language translation by Al Arabiya.

The 10-second takeover of the airwaves was in support of the current uprising in Iran for the rights of women, which started after 22-year-old Kurdish woman Mahsa Amini was arrested by Tehran’s morality police on September 13 and died in the hospital three days later.

Amini, who was picked up for not covering her hair modestly enough, was allegedly beaten, but authorities in Iran insist she died of an unrelated heart attack.

The hackers, who call themselves Edalat-e Ali (Ali’s Justice), displayed on their Twitter, Instagram, and Telegram channels on the screen during the interruption. A white mask with a black beard and streaks of green and red paint, presumably forming the Iranian flag, also appeared briefly during the hack. And while it is not exactly a Guy Fawkes mask like the one that shows up in countless protests around the world, it is close enough that many news outlets have made the comparison.

The photos of four women were also displayed on the screen during the hack, including Amini.

The photos also displayed a 16-year-old Sarina Esmailzadeh who was killed by Iranian security forces on September 23, according to Amnesty International. The image also included the photo of 23-year-old Hadis Najafi who was killed during a protest on September 21.
 
Du! shida yako hupitii thread za wenzio.. hii habari kuna mtu alileta humu kama siku tano zimepita..... we ndo unaishadadia sasahivi... tunawambia mara kwa mara acheni kushabikia mambo ya wazee wa upinde akili ya kupata taarifa haraka huwa inapungua sana...
 
Du! shida yako hupitii thread za wenzio.. hii habari kuna mtu alileta humu kama siku tano zimepita..... we ndo unaishadadia sasahivi... tunawambia mara kwa mara acheni kushabikia mambo ya wazee wa upinde akili ya kupata taarifa haraka huwa inapungua sana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Du! shida yako hupitii thread za wenzio.. hii habari kuna mtu alileta humu kama siku tano zimepita..... we ndo unaishadadia sasahivi... tunawambia mara kwa mara acheni kushabikia mambo ya wazee wa upinde akili ya kupata taarifa haraka huwa inapungua sana...

Haina noma kama sikuona hiyo thread, ila ukweli wa taarifa uko pale, huyo "mungu" wenu mnatumia nguvu nyingi kumpigania, inapaswa mfahamu kuwa watu wa Iran wamemchoka, hata mkiua wangapi wameamua.....Huyo Ayatollah anaendelea kung'aka Marekani huku nchi ikifuka moshi.
 
WABONGO BUANA MMESHINDWA KUTOSHEKA NA DAMU ZA UKRAINE MNATAMANI ZIANZE ZINGINE MKINGE.USHABIKI MANDAZI UMEWAJAA.
 
Back
Top Bottom